Sabitlenmiş Tweet

@Kibet_bull For me I was broke alikuja aninvited although n'likuwa nah rice n'kakopa waru kwa kibanda supper ikaisha, asubui n'kapiga maesabu what to do na juu bado alikuwa amelala n'kaangali kwa handbag nkaona ako nah Doo nkachomoa thao n'kabuy breakfast change nlimpea kama fare akienda
Filipino























