Buluma
2.3K posts

Buluma
@Buluma15
Lord servant, entrepreneur, philanthropia
Dunya today Akhera tomorrow Katılım Ağustos 2019
4.2K Takip Edilen135 Takipçiler

@Life_of_vike Kwamba madaktar hawafanyi physical examination (per abdominal)
Indonesia

@Life_of_vike @denismicky22 Miso kwa ulcers??? Daktari yupi angefanya prescription ya hivyo hizo kamba ebu kafungie viatu baana umezidi
Indonesia

@denismicky22 Shida alipewa MISOPROSTOL kama dozi ya ulcers hapo ndio kimbembe
Filipino

@Life_of_vike @JosephMasa40641 Uongo huo kabisa miso halafu mjamzito miezi nane unampa ya nini halafu miso yenyewe miezi sita ifanye yoote hayo
Filipino

@christopherjul8 @CoolestDudeOnX @MkulimaKante Kuwa father of astronomy haimanishi utakuwa father founder of all aliyoyafanya hipparchus na copernicus galileo hakuyafanya kaka
Filipino

@christopherjul8 @MkulimaKante Nicolas copernicus unamfahamu kaka ebu muulize hata brother AI akusaidie
Indonesia

@Buluma15 @MkulimaKante , Galileo Galilei (1564–1642) was a pivotal Italian astronomer, often called the "father of observational astronomy".
RUDI SHULENI NDUGU YANGU
English

@christopherjul8 @MkulimaKante We jamaa galileo hakuhusika na mambo ya dunia kuzunguka
Indonesia

@MkulimaKante Alexander Graham bell aligundua simu 07 March 1876
Galileo yeye aligundua kuwa dunia ndo inazunguka jua sio vice versa
Indonesia

@AbdulAlly253493 @DanyMsigwa @kasesco_tz Sema mnakariri siyo creative sasa ungekuja na idea ya kuokoa in case of emergency siyo kudogmize existing ideas tungepataje simu njanja
Indonesia

@DanyMsigwa @kasesco_tz Upande wa pili kuna counterweight (uzito wa kusawazisha) ili kupunguza nguvu ya motor.
Kwenye pande kuna guide rails zinazoiweka lifti isitikisike.
Pia kuna breki za dharura ikishindwa, zinakamata na kuizuia isianguke.
Filipino

@MakulaJr_ @IAMartin_ Kama unataka ibada ya kweli upo sahihi lakini kama unataka uchanganye na siasa au mambo ya dunia kidogo ya mungu kidogo nenda RC kanisa langu limejitenga kabisa na siasa halitaki kuhusika kabisa na siasa japo huko nyuma manabii mbali mbali walikemea baadhi ya mataifa mfano amos
Filipino

@IAMartin_ I'm very sorry kwa kanisa katoliki la mitume, nilihamia Sabato nikiamin huku ndo kuna hiphop, all over the suddenly since last year nimejua exactly wapi mtu mwenye akili timamu anatakiwa kuabudu.!
Filipino

@Muhanuzi16 @DadaEstie @mgalatiaturbo1 @BenyKelley Jamaa liongo sana wewe ni msukuma kweli?? Utakuwa msukuma wa kuchoma
Mbuta ni wale sangara wakubwa sana wenye mnofu mzito sana unakuwa kama unakula kama kiazi kitamu cha unga unga
Mbute ni muhogo ulioozeshwa ukaozwa vizuri unabonyea sehemu zoote ambao huparuriwa na kupikwa
Indonesia

@DadaEstie @mgalatiaturbo1 @BenyKelley Umeitwa Mbute wewe sio mbuta, maana yake upo upo tu/umezubaa. Ni kama ile uitwe kiazi
Indonesia

@IAMartin_ Nikahisi kanali polepole halafu caption inaanza na nimefurahi so nikawa na vibe kama loote daah mwisho wa yote daaa
Filipino

Nimepata morali zaidi. ✊🏾
Mwenezi wa wahuni wa mbogamboga anapiga marufuku Watanzania wasituchangie, sisi tunaongeza kasi. Usiku huu nimebarikiwa chochote kitu na kuchangia Tsh 100,000 kuunga mkono harakati za ukombozi wa kweli.
Ikiwa 'Tone Tone' inawanyima usingizi kiwango hicho, basi tujue tuko kwenye mstari sahihi. Ungana nami kuwezesha mabadiliko leo. Kama unaguswa na mustakabali wa nchi yetu, usisite kutoa ulichonacho.
Uhuru wa Kifedha: Chama cha siasa kinachofadhiliwa moja kwa moja na wananchi wenyewe kinawajibika moja kwa moja kwa wananchi, si kwa wafadhili wakubwa au mifumo ya siri. CHADEMA ni mali ya Watanzania.
Ujumbe wa Kisiasa: Kuchangia harakati za kisiasa ni kura halali ya maoni kabla ya sanduku la kura. Michango ya fedha na mali ya hiari inatuma ishara kwamba kuna watu wako tayari kugharamia kile wanachokiamini.
Nguvu ya Umma: Dhana ya ‘Tone Tone’ inajenga bahari kubwa. Shilingi 1,000 kutoka kwa watu milioni moja ni nguvu kubwa kuliko bilioni moja kutoka kwa mtu mmoja. Tusiogope. Tuchangie wengi. Wameogopa.
Kila tone linahesabika. Namba ya Kuchangia: 0744446969 (CHADEMA HQ).
Indonesia

@thenationguy Fetus and a baby catch the difference you cannot call womb bound fetus a baby to be called a baby must be having experienced 9months of fetus
English

@MarekaMalili Nilifikiri unaweza kuwa na ofisi hapa nilihitaji wa kula tuu
Indonesia

@Buluma15 Hapo karibu hadi raha, hata fresh wanafika bipa stress
Indonesia

@MarekaMalili Bei gani nione kama kwa umaskini nilionao naweza kuwamudu
Indonesia














