Mzee wa busara
43K posts

Mzee wa busara
@Busara29_
dream is to change home before impressing the street
nikikwambia utakuja? Katılım Ekim 2022
331 Takip Edilen9.2K Takipçiler

Mzee wa busara retweetledi
Mzee wa busara retweetledi
Mzee wa busara retweetledi

Tangu nitoke mahabusu ya polisi leo ni siku ya 6 line yangu @VodacomTanzania haifanyi kazi.. Hakuna simu inayoingia wala mimi siwezi kupiga simu ikatoka, hata namba 100 ya huduma kwa wateja haitoki:
Nimekuja Voda shop kujua na wao wanasema hawaoni shida au nisubiri masaa 24.
Kuna uwezekano mkubwa yakawa yale ya ndugu yetu Erick.
Voda ni muhimu mkaniambia kuna tatizo gani.
Nimeweka kwenye public ili kila mtu ajue.
Indonesia
Mzee wa busara retweetledi
Mzee wa busara retweetledi

‼️🚨THEY ARE PLANNING TO DEMOLISH MORTUARIES TO BURY EVIDENCE‼️
What are you waiting for @SusanNamondo @UnitedNationsTZ you need to step up RIGHT NOW!
@SuluhuSamia and her murderous cabal are planning to demolish mortuaries to hide evidence
You need notify the world and that international team needs to come in now! We will update you of every move
‼️WAHAINI WAUAJI WAMEPANIC‼️
Wanataka sasa kubomoa mochwari! Tusiruhusu! Madaktari na wafanyakazi wote wa afya msikubali kuwa sehemu ya uovu! Leteni taarifa na ushahidi - hawana uwezo wa kusoma Whatsaapp na tutawasaidia kuwa salama
Msifute picha kabla ya kutuma - tumeni leo kila kitu
👉🏽Tuma ujumbe whatsapp +1 (862) 438-3337👈🏽
Tutawapa short instruction za kuweza kukaa salama baada ya kututumia ushahidi
Hakuna kukubali upumbavu
#TanzaniaMassacre #SamiaMustGo

English
Mzee wa busara retweetledi
Mzee wa busara retweetledi

Kujuzana muhimu ila mnapowatumia picha au video wasanuaji kama Mange
,Muna Maria nk hakikisha Ukipiga picha au kurekodi video na simu yako Kuna kitu kinaitwa
META DATA (EXIF DATA) picha au video inabeba taarifa zinazoitwa META DATA, taarifa hizo zinabeba taarifa zote za picha

CHURA MYUNANI MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact
Dogo J wa intern hapo hospital iliyovujisha miili unaombwa kukaa rada,wameamua kutokudili na tatizo bali aliyelibumburua tatizo,si unakaa kwa shangazi yako sio? Basi Leo una ugeni MUNGU akutangulie unapopambana na watesi na sisi hatukudai umeujuza umma vyema na kizalendo sana.
Filipino


















