Nikiwa mdogo vitu mbili zilikua zinanistua sana ni mum anitume kwa shop alafu nipoteze pesa ama mum anitume alafu akose kunipea pesa aniambie nikifika niseme ni yeye amenituma .😭😂
Your 8 to 5 babes wamejazana hapa backstreet Ni KC ginger na Oris wakiwa na office husband before weekend ianze. Alafu akirudi Kwa nyumba saa nne anaingia bedroom kuvaa baggy shirt ya Omo na kinyasa ya Arsenal kama amelala asiulizwe amekuwa wapi.