
ALHAMDULILLAH!!!
Shukran kwa mola muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo.
Baraka ya uhai na afya hutoka kwake kama zawadi.
Uongofu na imani huutoa kwa mtu amtakaye.
Mmiliki wa siku ya malipo tunapiga goti kukuomba maghfira.
Sijida hii iwe ishara ya utiifu kwako wakati wote wa maisha.
Jumaa mubaraq wa swaum maqbul.



Indonesia



















































