Captain Cancelo 🇧🇪
25.6K posts

Captain Cancelo 🇧🇪
@CanceloCaptain
fantastic captain NDAMA JEURI


Watu wa macho nne ivi ndio huwa mnaona?

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia kijana Baraka Hassani Juma (19), kwa tuhuma za kumtorosha mwanafunzi wa kidato cha pili mwenye umri wa miaka 14 (jina limehifadhiwa). Mtuhumiwa huyo, ambaye ni mkazi wa Kagongwa, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, anadaiwa kutenda kosa hilo Januari 05, 2026, katika Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo, Januari 18, 2026, na Kaimu Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam, SACP Faustine Mafwele mtuhumiwa alikamatwa kufuatia ufuatiliaji wa kina uliofanywa na askari polisi. Baraka alinaswa Januari 17, 2026, katika nyumba moja ya kulala wageni (Guest House) iliyopo eneo la Ukonga Mombasa, Dar es Salaam. “Kutokana na ufuatiliaji wa kina Januari 17, 2026 mtuhumiwa huyo alikamatwa katika nyumba ya kulala wageni eneo la Ukonga Mombasa Dar es salaam akiwa pamoja na mwanafunzi huyo akijiandaa kuondoka nae kwenda Kagongwa Wilaya ya Kahama Shinyanga” Jeshi la Polisi limeeleza kuwa bado linaendelea na hatua zaidi za kisheria dhidi ya mtuhumiwa kwa kushirikiana na mamlaka nyingine husika. Aidha, Polisi mkoa wa Dar es Salaam imetoa onyo kali kwa jamii, ikisisitiza kuwa haitasita kuchukua hatua kali za kisheria kwa mtu yeyote atakayebainika kutenda makosa ya namna hiyo, yanayolenga kuwaharibia mustakabali wa maisha na elimu watoto wa kike.







@CarynKhan7 😂😂😂😂kuna Wengine acha tu wakue pick me ,ukimuangalia unaeza jua ni mkaka kumbe ni mdada😂💔💀


















