Uncle Mauja

198.9K posts

Uncle Mauja banner
Uncle Mauja

Uncle Mauja

@Captain_almando

| Land Consultant | | Certified Manchester City, FC Barcelona & Simba SC Fan |

Tanzania Katılım Aralık 2013
1.2K Takip Edilen3.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Uncle Mauja
Uncle Mauja@Captain_almando·
Kila mwenye pumzi na amsifu BWANA. Haleluya. Zaburi 150:6
Filipino
16
87
87
11.8K
Uncle Mauja
Uncle Mauja@Captain_almando·
Mungu ni mwema sana, tumshukuru kwa siku ya leo ikafanyike baraka kwenye harakati zetu za utafutaji.
Indonesia
0
0
1
19
Uncle Mauja retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Humu ndani mmeamkaje, Muwe na siku njema jamani
8
12
53
2K
Uncle Mauja retweetledi
Splendor Kyrios🌴
Splendor Kyrios🌴@Skyfly_gains·
Good morning 🌞 “Maisha ni safari ambayo haipimi kasi yako, bali uelekeo wako. Ukichagua kwenda mbele, hata hatua ndogo ina thamani”.
Filipino
36
43
83
1.5K
Uncle Mauja
Uncle Mauja@Captain_almando·
Good morning brothers and sisters. Mungu atutangulie katika harakati zetu za upambanaji 🙏🏿
Indonesia
0
1
1
41
Uncle Mauja retweetledi
Sarafina
Sarafina@Finah_Business·
Good morning wapendwa Shoe rack TSH 25,000 0755693113 📍 Ubungo External, mikoA yote tunatuma @MiriamMkanaka @Sativa255
Sarafina tweet media
Filipino
15
50
52
3.8K
Pearlr_
Pearlr_@msritha_·
Ritha wa 2016 na Ritha wa 2025 wakikutana wanaweza wakapigana aiseee.😂
Filipino
3
0
35
1.1K
Uncle Mauja retweetledi
Fumbo Junior. فومبو جونيور
Good Morning Ladies and Gentlemen Continuous learning is the minimum requirement for success in any field!
English
31
22
45
848
Uncle Mauja retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Umetumika kisenge na ninafikiri you knew what you did. Samia ameuwa maelfu ya Watz. Ni upumbavu kuchukua pesa kutengeneza diversion, au kuibua mjadala wa kijinga wakati tuko msibani. Acha ushirika wa kipumbavu na watu wanaotaka wakuuwe pia. They’re so desperate. Learn or perish
Madenge@rollymsouth

@fredkavishe Freddy hakuna sehemu nimesema wamelipia maandamano, I was trying kuelezea kuwa hizi fund zipo kila mwaka so tusiambiwe zimetoka kwa ajili ya maandamano..uko sahihi kabisa zinatolewa Kwa taasisi mbali mbali.. Watu wamejaribu kuipindisha kulingana na wanavyotaka wao

Indonesia
94
176
1K
88K
Uncle Mauja retweetledi
MIRIAM💜
MIRIAM💜@MiriamMkanaka·
Kila nikimuona Niffer moyo wangu unavuja damu, huyu ni msichana ambaye hakustahili hata robo ya maumivu anayobeba leo, kwa kipi haswa cha ajabu alichofanya😡 Tumemwangusha kama jamii tumemnyima sauti, tumemnyima ulinzi, na tumemuacha apigane na maumivu peke yake, imagine hawa wasanii na watu maarufu wa Tanzania wako busy na vibao kata hata kupaza sauti hawawezi 🚮 Ni uchungu kuona namna ambavyo angeweza kung’aa, lakini akasukumwa gizani na ukatili wa watu waliokataa kuona utu wake. Mungu azidi kumpa nguvu ya kuvumilia magumu anayopitia naaamini she will come back stronger 🙏❤️ #FreeNiffer
MIRIAM💜 tweet media
Indonesia
93
277
1.6K
44.2K
Uncle Mauja
Uncle Mauja@Captain_almando·
@fadhilikangusi Acha tamaa kaka, vizuri vinagharamiwa shauri yako 😂
हिन्दी
1
0
1
31
Uncle Mauja retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Kwamba watu wanawaonea wivu kwasababu ya rasimali zenu!!!! Rasimali zipi? Bandari mmekabidhi kwa mwarabu Dubai. Madini wanamiliki watu wa nje wazungu na migodi midogo wachina. Vijana wa Tanzania wananufaika vipi na hizo rasimali tofauti na nyie na familia zenu? Wakitaka kuweka Mwenyekiti wa mtaa atakaewasemea mnaiba. Wakitaka Diwani, mbunge au Rais atakaebadili maisha yao mnapora na kuwaua.. Msifikiri Watanzania wa sasa ni wajinga.
Indonesia
52
494
2.1K
46.7K
MKAMANGI🦒🇿🇦
MKAMANGI🦒🇿🇦@___sonianana·
@Cowwbama fanya odds 2 kwa siku kumi em Nina harusi ya gafla Naenda kama shangazi😂🥱
Indonesia
2
0
2
122
Eng.Mapunda Jr
Eng.Mapunda Jr@EngMapundajr·
Mwaka gani ilibaki kidogo Mapenzi Yakuuwe,Ilikuwaje.?😹😅😅
Eng.Mapunda Jr tweet media
Indonesia
27
6
51
12.7K
Uncle Mauja retweetledi
Johnbest Mwahaja
Johnbest Mwahaja@JohnieZeBest·
Nimekumbushwa kuwa tusiache tunachekiana jamani, maana mtaani ngoma ngumu watu wanateseka na Depression..
Filipino
6
19
127
3.6K