Chabuluma_Paytz

524 posts

Chabuluma_Paytz banner
Chabuluma_Paytz

Chabuluma_Paytz

@Chabuluma_paytz

Weka|Toa pesa 888 Starz | 1xbet | Melbet | Spinbetter | Deriv | Exness | Buy/sell USDT & other cyptos kupitia Mpesa, Tigopesa, Halopesa, Airtel, Nmb|Crdb 24/7

Arusha, Tanzania Katılım Ekim 2021
414 Takip Edilen538 Takipçiler
Pi News
Pi News@PiListingNews·
Pick a lucky number from 1 – 40. 10 numbers hide a surprise of $20000 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 21 22 23 24 25 26 27 28 29 30 31 32 33 34 35 36 37 38 39 40 Hey @grok, Please pick 10 random people from comments in 48 hours Make sure you are following me so I can DM you
English
14.3K
463
3K
1.7M
Chabuluma_Paytz
Chabuluma_Paytz@Chabuluma_paytz·
Unahitaj kuweka pesa au kutoa pesa 888Starz kwa urahisi na haraka Wasiliana nasi WhatsApp 0657628194
Chabuluma_Paytz tweet media
Indonesia
0
0
0
10
Chabuluma_Paytz retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
So Sad.
English
138
369
991
99.5K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Another year older, another bag closer. I don’t wish for it — I grind for it. Happy Earthday VINA🚀🚀
Taivina James tweet mediaTaivina James tweet mediaTaivina James tweet media
English
173
115
443
52.4K
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Tusomeshe watoto.
Taivina James tweet media
Filipino
80
19
728
32.5K
Williard
Williard@prolific_88·
🙏🏽💔🕊
Williard tweet media
QME
92
64
945
90.7K
Chabuluma_Paytz retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Hili bango lisambae Nchi nzima. Kila mpenda HAKI hawezi kuchekea na kukalia kimya UTEKAJI. #kataautekaji #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
4
332
618
16.2K
Chabuluma_Paytz retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Ndugu Watanzania, Kwa heshima na taadhima, ninawaandikia barua hii nikiwa mwenye uchungu wa kweli juu ya hatima ya nchi yetu. Sauti yangu ni sauti ya mamilioni ya Watanzania waliokata tamaa. Ni kilio cha taifa lililonyimwa haki, likakandamizwa kisiasa, na sasa likielea bila dira.Leo tunashuhudia kilele cha udanganyifu wa kitaifa unaoitwa uchaguzi. Kinachoendelea mbele ya macho yetu si uchaguzi, bali ni maonyesho ya kisiasa yaliyotengenezwa na CCM kwa ajili ya kudumisha utawala wake wa mabavu. Mfumo wetu wa uchaguzi umepoteza uhalali. Tume ya uchaguzi haijitegemei. Sheria zimejaa upendeleo. Na uhuru wa wapinzani unadhibitiwa kwa vitisho, vifungo, na masharti ya hovyo. Katika hali hii ya giza, chama kikuu cha upinzani CHADEMA tumechukua msimamo wa kishujaa na wa kizalendo: “No Reforms, No Elections.” Hakuna mageuzi, hakuna uchaguzi. Hakuna tume huru, hakuna ushiriki. Hakuna sheria ya haki, hakuna maana ya kura.Msimamo huu wa CHADEMA si wa ukaidi. Ni msimamo wa kulinda heshima ya wananchi, wa kupigania demokrasia ya kweli, na wa kusema ukweli kwa ujasiri wakati ambapo wengine wanaogopa. Lakini kinachouma zaidi ni hiki: wakati CHADEMA wanasimama imara kwa ajili ya taifa, wimbi kubwa la watu — hasa vijana — linakimbilia kuchukua fomu za kugombea. Wengi wao hawana sera, hawana maadili, wala hawana dira ya taifa. Wanaona kutokuwepo kwa CHADEMA kama fursa ya kupenya bila ushindani. Wanadhani kuwa uchaguzi bila chama kikuu cha upinzani ni “mteremko wa kisiasa.” Hawajui kwamba wanashiriki katika kufunika kaburi la demokrasia. Na kilicho cha aibu zaidi ni kuwepo kwa baadhi ya vyama vinavyojiita vya upinzani vinavyoshiriki uchaguzi huu huku wakijua fika kuwa hakuna usawa, hakuna haki, na hakuna matumaini. Hawa si wapinzani — ni wasindikizaji wa watawala. Wamesahau wajibu wao wa kupigania haki ya wananchi. Wameamua kuuza heshima ya siasa kwa tiketi ya kugombea. Sisi ndio tulipaswa kuwa mstari wa mbele kulinda msingi wa “No Reforms, No Elections.” Sisi ndio tungepaswa kulia na kudai tume huru. Tungepaswa kuandika, kuandamana, kuhamasisha na kushinikiza mageuzi ya kweli ya kisiasa. Lakini badala yake, tumekuwa mashabiki wa mfumo huu wa hovyo. Tumeingia kwenye siasa bila kusoma historia ya taifa letu. Tumejitosa kwenye uchaguzi wa aibu tukidhani kuwa siasa ni jukwaa la sifa na Fedha badala ya uwanja wa majukumu. Nawauliza leo: Je, ni ujasiri au ni ujinga kugombea uchaguzi ambao tayari umepangwa? Ni uadilifu au ni tamaa kugombea pasipo haki wala sheria ya haki? Na ni uzalendo au ni usaliti kushiriki uchaguzi ambao unawadhulumu mamilioni ya Watanzania kwa kimya? Wito wa “No Reforms, No Elections” si wimbo wa CHADEMA peke yake. Ni wito wa kila Mtanzania anayejua tofauti kati ya haki na hila, kati ya uongozi na ulaji, kati ya siasa safi na siasa ya hovyo. Watanzania wenzangu, huu si wakati wa vigeugeu. Si wakati wa kusubiri kufaidika kwenye mfumo uliopinda. Ni wakati wa kusema ukweli, hata kama ni kwa uchache. Wito wangu, tuunge mkono kauli ya “No Reforms, No Elections” kwa vitendo, si maneno. Tuwakemee vijana wanaogeuza siasa kuwa jukwaa la kutafuta umaarufu badala ya majukumu Tuwalaani wapinzani bandia wanaosaidia CCM kudumisha mfumo huu wa mabavu. Pasipo mageuzi, uchaguzi ni mzaha. Pasipo uchaguzi huru, hatuna uhuru. Pasipo ujasiri wa vijana, hatuna kesho.
Indonesia
413
1K
3K
97.3K
Chabuluma_Paytz retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Wanangu wa #NoReformsNoElection naomba nipige LOKOO naona mmeanza USALITI. Naomba tujuane hapo kwenye Comment.
SIR TIVA tweet media
Filipino
386
476
2.3K
50.8K
Chabuluma_Paytz retweetledi
SONKO
SONKO@Sonko_tips·
LUCKY SATURDAY 🤑🤑🔥 Jisajili upewe Tshs 35,000 papo hapo 📮Usajili ni rahisi zaidi 📮Bonus ya 100% kwa kila Deposit 📮Masoko mengi zaidi Nchini 📮Kuweka na kutoa pesa kwa kutumia Simu yako 📮2UP na Cash Out zipo full time Promo Code👉MABULULU28 888shrt.com/code-MABULULU28 📌
SONKO tweet mediaSONKO tweet media
Filipino
0
12
7
323
Chabuluma_Paytz retweetledi
Madenge
Madenge@rollymsouth·
We RT tu
Madenge tweet media
Indonesia
96
3.9K
6.5K
158.4K
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
January wakati mwanangu @Thereal_taivina ananunua CROWN nilimpa challenge mwanangu @prolific_88 kabla ya mwezi wa 4 nae amiliki CHUMA. Sisi wote tunafanya kazi moja “KAMALI”, kwahiyo tunajuana. Nashukuru alinisikiliza. Leo tunatambulisha NEW BENZ IN TOWN (WHITE HORSE 🐎). Sisi wote watoto WA MBEYA, tumetoka maisha ya kawaida sana. Haya mambo tuliyaota tuu. Ndiomaana nilipotekwa WANANGU hawakulala. Hongera @prolific_88 , asante kwa kunisikiliza. MUNGU AKABARIKI HUSTLE ZETU, HUU NI MWANZO WA MENGI MAKUBWA MBELE. Sasa NEXT BIG TING IS ME. #TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet mediaSIR TIVA tweet media
Indonesia
61
138
1.2K
85.8K
Chabuluma_Paytz retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
"Mheshimiwa Spika, Tanzania ni nchi maskini kiasi cha kupewa heshima ya kujadiliwa kwenye baraza letu la Seneti au Bunge la kitaifa. Ina rasilimali nyingi, lakini ina viongozi wasioweza kutumia rasilimali hizo kusaidia wananchi. Hivyo, hatupaswi kupoteza muda kujibu ukosefu wa adabu wa wabunge wao. Wabunge ambao sifa yao ni kujua kusoma na kuandika, unategemea watasema nini zaidi ya kutukana? Wabunge wengi wa Tanzania hawaelewi chochote kuhusu mkataba (treaty) wala itifaki (protocal) ya Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ni Wabunge ambao, badala ya kuisimamia serikali, wanajipendekeza kwa serikali. Taarifa ya CAG ikionesha ufisadi serikalini, badala ya kuhoji, wanaitetea serikali na kumuita CAG bungeni ajieleze. Hivi unadhani wanajielewa kweli hao? Mimi nadhani kwa sababu wananchi wa Tanzania na Kenya hawana ugomvi na wanaelewana, hilo linatosha. Hii jumuiya ni ya wananchi sio ya viongozi. Lakini wabunge wasiojielewa hatuna muda wa kubishana nao. Kubishana na watu ambao sifa yao ni kusoma na kuandika ni kujikosea heshima. Labda Mabaraza yetu ya Kaunti ndio yanaweza kuwajibu, sio sisi." Eddy Gicheru Oketch, Seneta wa Migori.! TUTAKUWEPO🫵🏾😎
SIR TIVA tweet media
Indonesia
244
597
3.5K
187.4K
Chabuluma_Paytz
Chabuluma_Paytz@Chabuluma_paytz·
Site: 888Starz Code: 4M845 Odds: 2.5 Kama hauna account Jisajili hapa: shorturl.at/CCiGs Promo code: GIFT45 (bonus 200%) DON'T MISS THE TICKET
Chabuluma_Paytz tweet media
English
0
0
0
20
Chabuluma_Paytz
Chabuluma_Paytz@Chabuluma_paytz·
Site: 888Starz Code: 7ECK5 Odds: 2.5 Kama hauna account Jisajili hapa: shorturl.at/CCiGs Promo code: GIFT45 (bonus 200%) DON'T MISS THE TICKET
Chabuluma_Paytz tweet media
English
0
0
0
17