Director 🥷

2.5K posts

Director 🥷 banner
Director 🥷

Director 🥷

@Mgonanzi29

TAIFA KWANZA 🇹🇿 🥷

Tanzania Katılım Mayıs 2016
1.2K Takip Edilen1.2K Takipçiler
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Broo..kati ya kumwambia mwanaume mwenzio "MAMBO" au "UNAITWA NANI.." Kipi kigumu kwako..?
Filipino
37
32
185
5.2K
Director 🥷
Director 🥷@Mgonanzi29·
@kishoka_ Jumapili nitakuwa kabwe,iringa nitapumzika kidogo ila j3 asubuh saa 1 Niko Dodoma
Filipino
1
0
0
458
METRO🎭
METRO🎭@kishoka_·
Niaje wakali, kuna mtu yoyote anaesafiri toka Mbeya kwenda Dodoma Jumapili? Kuna tweep ameitwa interview Dodoma J3 lakini hana nauli, na mimi pia kwasasa mambo ni magumu siwezi kumsaidia. Tafadhali kama unasafiri kwenda Dodoma Leo au kesho nicheki DM nikuunganishe nae. BLESS🙏🏿
Indonesia
17
65
276
12.2K
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI
Bado mtasema tu Yote na aliyemtumia mzito wa Kanda Video mjengeo mkipokea hela naye mumtaje aliyesanua kuwa kuna mwenzenu atakuja msibani kinyemela kupitia boda ya Tarime naye mumtaje aliyemtip DCI kwamba mama wa mmoja wenu anaumwa na mkali amepanga kuja kumuona naye mumtaje😅
13
17
160
13.2K
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Niambie umegundua kitu gani Cha utofauti kwenye picha hiii
kasesco☆ tweet media
Indonesia
84
36
317
29.7K
Director 🥷
Director 🥷@Mgonanzi29·
@fbuyobe @lifeofmshaba Mambo yakiwa mengi,ichapwe space Moja yenye maswali na majibu,Maana najua UMMA una maswali mengi ambayo hata wao hawana majibu😂
Indonesia
0
0
0
1.7K
Fortunatus Buyobe
Fortunatus Buyobe@fbuyobe·
@lifeofmshaba Ninaweza kuonekana kama mtu niliyekosa msimamo kwani nilishafunga huu mjadala. Lakini kutowasikiliza pia ni ubinafsi hivyo kwa manufaa ya wengi naweka poll Naipa poll zaidi ya masaa 6 kwani hapo katikati nitakuwa safarini struggling to meet my daily ends.
Indonesia
18
9
57
30.5K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Mwanzo alikuwa anajibu lakini baada ya kumuukiza issue za Msuya aliyekuwa naye Nairobi ametoa haya majibu Mwenye akili na atumie akili Buyobe wewe sio lazima ujibu hapa maana majibu yenu ni kwa kutumia vikosi Umeshindwa kumkana Msuya Umeshindwa kueleza ulikuwa unafanya nini Nairobi bila hata mkeo kujua Umeshindwa kueleza umma why ulikimbia Nairobi na Msuya Umeshindwa kueleza ulikimbia nini Tanzania na umerudi baada ya tukio Umeshindwa kuambia umma ulikuwa unaishi na Msuya na azizi Umeshindwa kueleza baada ya mateso yale tulipotaka kukupeleka Hospital ukakwepa appointment Uamuzi wa kukaa kimya ni sasa maana hata kumkata tu Msuya umeshindwa maamuzi ni kukaa kimya Umeeleweka Tumetunga mjadala Pia umeshindwa kuja kutukana pale kwa thread maana wewe si ni mbabe Hivi mtu anayekimbia hatari anaweza kaa Hotelini mwanza ? Mafwele anakimbiwa namna hii ? Uzuri huko mnavuja sana na umewahujumu sana hata wao
Fortunatus Buyobe@fbuyobe

After a thorough consultation and for the benefit of restoring total focus, I have decided not to anymore answer accusations directed towards me. It is against this background, this will be my last post to strongly condemn and denounce all weapons shaped and aimed at me. I do it for the love of unity in a community believing in democracy, rule of law, justice, and the likes. And, as we focus on fighting our common enemy, the dictatorship and bureaucrat government. Any divide between us benefits the enemy

Indonesia
9
24
209
26.7K
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
It is time kuwa na public notice kuweni makini na @fbuyobe Jiepusheni naye kwa namna zote mnazoweza, vyovyote vile natumia hekima sana, Buyobe ana sura ya pili wengi msiyoijua, anachopost hapo na mambo anayofanya hapa Online sio anachoishi gizani Huyu sio mpambanaji
Filipino
77
95
769
118.6K
Bojobojo
Bojobojo@Eddie_bojobojo·
@Mgonanzi29 @shucom20 @lifeofmshaba Yakubu hayupo active ni mstaafu, alf Mkingule yes yupo active ila alishaondolea kwenye maswala ya kijeshi sasa hivi yupo chini ya wizara ya mambo ya nje mkuu na hawezi rudi jeshini tena kwa namna yeyote ile
Filipino
1
0
0
86
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
Huyu Luteni General wa Jeshi yuko kwenye Stress kali kwa kuushishwa na Tume iliyofanya mambo ya kihuni Jeshini huyo uwa ni namba mbili, na uwa ni mtu mmoja tu mwenye cheo hicho Jeshini, Kwenye Jeshi ukiondoa CDF anayefuata ni Luten General Fikiria mtu mwenye uzoefu mkubwa hivyo yamemshinda yuko na stress kali namna hii Hawa wanashinikizwa kusema uongo hivi wanakubali kwa nini? Majeshi ya kigeni yalikuwepo nchini, kulikuwa na watu wanaongea lugha ya kigeni na wasiojua kiswahili na walipiga watu Risasi Dar, mwanza na Tunduma
Think Different tweet media
Filipino
22
88
641
55.4K
Bojobojo
Bojobojo@Eddie_bojobojo·
@Mgonanzi29 @shucom20 @lifeofmshaba Sio kweli kwasasa kamandi zote zipo chini ya mameja jenerali na pia luteni jenerali kwasasa yupo mmoja tu ambae anakuwa mnadhimu mkuu wa jeshi ambae ni active jeshini
Filipino
2
1
3
847
MasterMind255
MasterMind255@Mind255Master·
@Eddie_bojobojo @Mgonanzi29 @shucom20 @lifeofmshaba Wakati Mella bado ni officer, alikuwa Lt General pia, ingawa hakuwa CoS, alikuwa anaongoza walinda amani Darfur. Nadhani ndio muda pekee kulikuwa na 2 Lt Generals. Nje ya hapo ni General 1, Lt Gen 1 na Mj Gen wengi wengi tu siku hizi
Indonesia
1
0
0
61
Director 🥷
Director 🥷@Mgonanzi29·
@shucom20 @lifeofmshaba Major gen ni cheo kidogo kwa lut gen,hivyo lut gen hayupo mmoja but wapo wengi wanaongoza Kamandi na majukum mengine
Filipino
2
0
2
1.1K
The captain
The captain@shucom20·
@lifeofmshaba Acha uzushi, mnadanganya sana watu! Chini ya General kuna Major Genaral kisha ndo Luteni General! Mnalisha sana watu matangopori kwa kuongea vitu msivyovijua
Indonesia
20
0
0
5.2K
BeLINDA 🎬
BeLINDA 🎬@belindaPINDA01·
Nani yuko macho nimloge👌
हिन्दी
16
10
43
590
Director 🥷
Director 🥷@Mgonanzi29·
@Sirajitz1 Ni Jana TU nilitembeza mkono hatari akavunja Hadi glass zake😂😂
1
0
0
208
Headboy wa mtaa
Headboy wa mtaa@Sirajitz1·
Hapa Karume kuna jamaa anauza juisi sasa akikuona anakuita anaanza kukupigisha story kama anakufahamu afu anakupa juisi. Mnaendelea kupiha story huku anakuuliza habari ambazo utahisi labda anakujua ukimaliza kunywa anakudai pesa ya juisi wakati hukumuomba ulihisi labda ni mwanao kitambo kumbe ndo technique zake za biashara Sema kuna siku atakuja kujichanganya kwa walugaluga itakua kisanga 😂🙌
Indonesia
34
24
136
12.9K
Director 🥷 retweetledi
Savage Manhood
Savage Manhood@Savage_Manhood·
16 Mistakes You Should Never Make Regarding Women (and the Dating Market). 1- Never Eat a Woman's Vagina:
Savage Manhood tweet media
English
26
146
2.1K
1.4M
kasesco☆
kasesco☆@kasesco_tz·
Hivi wanaoingiza magari kweny contena huwa wanatokaje ndani ya Magari..?😀
kasesco☆ tweet media
Indonesia
52
37
568
59.1K
Narrowbeefly
Narrowbeefly@Narrowbeeflying·
Kuna mwanangu mmoja alinipa hii lesen since mwaka jana halafu nikamuazima hela naona ananizungusha kunilipa hebu niambieni hii ni leseni OG kweli au nimeshapigwa za utosi 💔🥹
Narrowbeefly tweet mediaNarrowbeefly tweet media
Filipino
22
8
113
14K