🚨𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄
Nchi ya iran 🇮🇷 inazidi kushangaza kwa namna walijipanga wakati Marekani 🇺🇸 na Israel 🇮🇱 anapiga maeneo yake ya Kijeshi wakiamini ndipo Makombora na silaha zilipo.
Kumbe Iran 🇮🇷 wana makombora chini ya ardhi yanatoka bila launch pad kama uinavyo videoni👇
Hii inakuwa Ngumu sana kumlaumu Mshika kibendera moja kwa moja😄😄
Hapa ambacho kingesema ukweli ni VAR tu lakini Kibinadamu kuna Muda Unaona ni OFFSIDE alafu kuna Muda Unaona ni ONSIDE ✍️
70% OFFSIDE (kwa Jicho la harakaharaka)
30% ONSIDE
Kwenye prime yenu mlitolewa na Jwaneng gallaxy na udisongo kabla ya makundi.
Kwenye prime yenu hamjawahi kupangwa na waarabu watatu wa moto,kwenye prime yenu uchawi mlionyesha hadharani.
Kwenye prime yenu mlifungwa goli 14 mechi 3.
Yanga haijawahi kufikia rekodi yenu
@Sulphuric_aci17 Da kaka kwa kujifanya unajicho la kipekee, 1v1 kweli unasimama kwa ujasiri kusema jamaa hawezi fanya hayo... hakika ukishangaa ya musa ujayaona, ya sulphuric acid.
Baadhi wa mashabiki wa simba spoo wanaona huyu jamaa ni mchezaji hatari, ila kwa jicho la kiufundi huyu ni mchezaji wa kiwango cha kawaida sana,mzito,easy kumuwin 1 v 1,ball control haipo vizuri,tutakuja kuelewana vizuri lakini saaizi hamtu nielewa
@SimbaSCTanzania Poa, na hongera kwa wachezajinkumaluza na ushindi. Ila naomba nishauri kitu. Physic ya wachezaji ipo chini, kila mechi tukitoka half time uwa mpira auonekani. Kipindi cha pili tunapotea kabisa. Ombi langu ndanibya izi wiki mbili kabla ya derby apatikane mtu special wa physic
@EsirEid Wapi ambapo makanisa yanahamasisha watu wao kusherekea hii siku. Mbona ninyi ndugu amuwezi kusimamisha hoja ya kuwaonya watu wenu bira kuweka mopaka na ukristo. Mim sijawahi ona makanisa au Bible inasisitiza habari za hii siku. Acjeni chuki