Kim
1.3K posts

Kim
@CharlesBatuel
Owning Bachelor of Technology in Analogic Systematic computation
Es Castell, Spain Katılım Şubat 2020
344 Takip Edilen46 Takipçiler

Earlier today I spoke to Prime Minister @netanyahu and reiterated our support for Israel’s security following Iran’s reckless attack at the weekend.
Further significant escalation will only deepen instability in the region.
This is a moment for calm heads to prevail.
English

@neemalugangira @mfa_tanzania @usembassytz @USAmbTanzania @USAIDTanzania @NDI @VitalVoices @WPLeadersOrg @SpeakerPelosi @SuluhuSamia @EPWashingtonDC That Nancy pelosi is a Satan....katili mbwa huyo kibibi🚮😩😰
Filipino

@mfatumah1 You are looking for what your father failed to have or provide to you🤣🤣
English

@GuntherEagleman Did Iran have the right to respond to israel's attack on their embassy?
English

@Mwishowadunia Rais bogus kabisa yule ambaye eti hajui kama mama yake ni mwanamke 🚮🚮🙌
Indonesia

📍Dar es Salaam
▪️ Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameushukuru Umoja wa Ulaya kwa kutenga zaidi ya Euro milioni 703
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akizungumza wakati wa kikao chake na Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Chritine Grau, aliyefika Ofisini kwa Waziri wa Fedha kwa ajili ya kujitambulisha, katika Ofisi Ndogo za Hazina jijini Dar es Salaam, ambapo wamejadiliana namna ya kukuza zaidi ushirikiano kati ya Tanzania na Umoja wa Ulaya katika sekta mbalimbali za kiuchumi na kijamii kupitia misaada ya kibajeti na miradi mingine ya maendeleo.
- -
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba ameushukuru Umoja wa Ulaya kwa kutenga zaidi ya EURO milioni 703 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo katika kipindi cha miaka 7 kuanzia mwaka 2021 hadi mwaka 2027.
Dkt. Nchemba ametoa kauli hiyo jijini Dar es Salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na Balozi mpya wa Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Mhe. Chistine Grau aliyefika kujitambulisha rasmi.
Mhe. Dkt. Nchemba alisema kuwa fedha hizo zimegawanywa katika awamu mbili ikiwemo awamu ya kwanza ya kipindi cha miaka 4 ilitengewa zaidi ya euro milioni 426 ambapo mpaka sasa Umoja huo umetoa zaidi ya euro milioni 373 ambazo zimeelekezwa katika miradi kadhaa ikiwemo uchumi wa buluu, ujenzi wa miji ya kisasa, upatikanaji wa mitaji, utawala wa fedha, upatikanaji wa mitaji kwa sekta binafsi, usawa wa kijinsia na mradi wa kuendeleza masuala ya kidigiti.
Aliiomba EU kuangalia uwezekano wa kutumia sehemu ya fedha, zaidi ya euro milioni 200 zitakazotumika katika awamu ya pili ya program hiyo itakayoanza mwakani kitumike kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya barabara ya kutoka Mikumi hadi Kidatu yenye urefu wa kilometa 35 ili kuchochea uchumi na maendeleo ya wakazi watakaonufaika na barabara hiyo.
Kwa upande wake, Balozi mpya wa Umoja wa Ulaya, Mhe. Christine Grau, alisifu mageuzi makubwa ya kiuchumi na kijamii yanayoendelea nchini kupitia kwa ungozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya MUungano wa Tanzania, yaliyoifanya Tanzania kuendelea kuwa imara na kuvutia uwekezaji na mitaji kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Aidha, Mhe. Balozi Grau aliarifu kuwa majadiliano ya awali ya ushirikiano mwingine wa miaka 7 unaotarajiwa kuanza mwaka 2028 hadi 2034 yataanza rasmi mwakani 2025.
Mhe. Balozi Grau aliipongeza Tanzania kwa kuridhia na kusaini mkataba mpya wa ushiriakiano kati yake na Umoja huo ujulikanao kama SAMOA ambao pamoja na mambo mengine utaiwezesha Benki ya Uwekezaji ya Umoja wa Ulaya kuendelea kufanyakazi zake nchini.
📸:W/Fedha
📄:W/Fedha
📄: @EUinTZ

Indonesia

@ThabitSenior Note haya wameyataka Makolo baada ya kuweka WhatsApp group kama mafanikio yao ya msimu
Indonesia


@Wizdomtz Samahani ya mwanaume kwa mwanamke huwa ni kubadili vile vitendo vyenye umehisi kukosea pasipo kuitamka kwa mdomo! Kusema mke wangu nisamehe huo ni ufala sijawahi fanya mwaka 12 kwe ndoa now. Hata kwe kuvalishana pete Huwa nawaona misukule wanaume wanaowapigia goti wanawake.
Indonesia

KUINGIA KWENYE NDOA😁
Kijana: Baba, nataka kuoa
Baba: Sema samahani
Kijana: Kwanini baba?
Baba: Sema samahani
Kijana: kwanini lakini?
Baba: sema kwanza samahani
Kijana: kwani nimefanya kosa gani baba?
Baba: Kwanza sema samahani
Kijana: Angalau ningejue kosa langu kwanza.
Baba: Sema samahani kwanza
Kijana: Sawa Baba, nisamehe
Baba: Sasa umekuwa tayari kuoa mwanangu. Mafunzo yako yamekamilika. Umefunzwa kusema samahani bila sababu yoyote,
Maana kuna wakati kwenye ndoa utakuwa ukiomba msamaha pasipo na kosa😂😂

Indonesia

@millardayo Kuwanunulia mchele wanafunzi shuleni ni ngumu adi tupewe msaada🚮🚮ila magoli 😳
Filipino

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza hamasa kwa Klabu za Yanga na Simba kwenye mechi zao za robo fainali katika mashindano ya Kimataifa ya Klabu Bingwa Afrika ambapo atakuwa anatoa Tsh. milioni 10 kwa kila goli litakalofungwa kutoka Tsh. milioni 5 aliyokuwa anatoa katika hatua ya makundi.
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Damas Ndumbaro amesema hayo leo March 20,2024 alipokutana na kufanya mazungumzo na Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Bodi ya Ligi Kuu (TPBL) na Wawakilishi kutoka Klabu za Simba na Yanga ili kujadili masuala mbalimbali kuhusu maendeleo ya michezo hapa Nchini na kuweka mikakati ya Klabu za Tanzania zinazoshiriki michuano ya Klabu Bingwa Afrika kufanya vizuri katika michuano hiyo.
Ndumbaro amesema “Mnaona kabisa Mama yetu Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza dau hilo ili timu zetu mbili ziweze kufanya vizuri na zipate mafanikio zaidi, tumeziambia timu zote mbili zishirikiane na Serikali katika kipindi hiki ili kupata mafanikio kwahiyo timu mbili zitakwenda kujipanga watasema wanahitaji Serikali ifanye nini ili kuhakikisha zinafanya vizuri kwa upande wa Serikali tuko tayari, uwanja uko tayari, masuala yote ya kiusalama yako tayari, maandalizi ya tiketi yako tayari na masuala mengine ambayo ni muhimu kwa Serikali kuyafanya ili mechi hizo ziwe kufanyika vizuri “
Simba inatarajiwa kucheza dhidi ya Al Ahly ya Misri katika mchezo utakaopigwa March 29,2024 huku Yanga akijiandaa kuvaana na Mamelodi Sundowns kutoka Afrika Kusini katika mchezo utafanyika March 30,2024 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dare es salaam.
#MillardAyoUPDATES

Filipino

@ErnestKavol4 Hii ndio ile nchi masikini sana duniani 😎 ikitengeneza haya madude 😃..au wanatengenezea udongo😳
Indonesia

@djuric_zlatko Marrying an older spouse is a disaster.. macron had already started to show it live😞
English



























