Topten retweetledi
Topten
5.7K posts


@Thommunkondya Hilo ni sawa kabisa, lkn mi nadhani tuache kwanza siasa za kuteka, kufira, kuua, kubabmbika kesi n.k hizi za matusi zinauafadhali kuliko hizo a KUFIRANA 🚮
Indonesia

Siku moja hapa kuna kijana alipost picha yenye kutweza utu wa Mheshimiwa Heche pamoja na viongozi wengine wa CDM. Nilimkanya hadharani kwamba aache siasa za kishamba. Yule kijana akanijibu, “Brother Thom, unawatetea CDM wakati wao ndiyo wanaongoza kwa kutukana na kutweza utu wa viongozi wetu, tena wakiongozwa na viongozi wao.” Nikapotezea.
Lakini ukweli ni kwamba mara nyingi baadhi ya viongozi au waliowahi kuwa viongozi wa CDM wamekuwa mstari wa mbele kwenye siasa za matusi na kudhalilishana. Vijana wengi wa vyama vya upinzani hasa CDM wamejikita zaidi kwenye siasa za hasira, chuki na kejeli kuliko hoja za msingi. Wengi hawana ajenda ya kujenga taifa zaidi ya kufanya mambo ya hovyo kwa jazba.
Imagine, huyu amewahi kuwa kiongozi wa BAVICHA Taifa 😄. Je, siku mkichukua nchi nae atakuwa kiongozi wa serikali? @Twaha_Mwaipaya siasa za namna hii waachiwe watoto, wapumbavu na washamba labda kama na wewe upo kwenye kundi hilo.
Nafahamu kuna madhira na changamoto ambazo mmepitia au mnazopitia, lakini hayo yasitufikishe mahali pa kupoteza utu wetu kabisa kwa kupost ujinga mitandaoni. Hii sio aibu kwa viongozi tu, bali hata kwako binafsi inapunguza heshima yako mbele ya jamii.
Tuache siasa za matusi na kudhalilishana. Kueni watu wazima. ACHENI USHAMBA.
Twaha Mwaipaya@Twaha_Mwaipaya
KOMBO anasema Waliouwawa Tarehe 29 OCTOBA waliwatishia Polisi mawe.
Indonesia
Topten retweetledi

Kombo mliua watu wote hawa, mkajitangazia ushindi wa uongo..
Hamjawahi kuomba radhi, hamjawahi kuwatafuta ndugu wa marehemu wala familia zao, kuwaheshimu na wengine mapaka sasa hawajawahi kuona miili ya ndugu zao kuzika..
Bado mnapanga mipango ovu dhidi ya watu wema, kuwambakizia watu kesi za uongo ya mauaji yenu, bado Mnateka na kudhuru watu..
Bila aibu kwasababu wewe na familia yako mnakula hela za damu unasema mmeheal!!!!
Unafikiri Watanganyika watasahau?
Hilda Newton@HildaNewton21
Wabunge haram wakiongozwa na @esteramosbulaya wanasema kwamba Serikali ya Marekani imewahukumu maccm bila kuwapa nafasi ya kujitetea. Sasa wao kabla hawajawapiga risasi na kuwauwa Watanganyika wenzetu zaidi ya elfu kumi waliwapa nafasi ya kujitetea.?
Indonesia
Topten retweetledi
Topten retweetledi

Mwenyekiti wa Kanda ya Magharibi @AdvMatata atakuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano wa hadhara ambao utafanyika jimbo la Kasulu mjini Mei 30, 2026

Indonesia
Topten retweetledi
Topten retweetledi
Topten retweetledi

@Kimbesa11 @millardayo Beberu, beberu Kwan nyie ndo majike? Jitu kama hili fikra zako ziko matakon Yan hata cm unayotumia wametengeneza hao mabeberu wako alaf et sovereignty, acheni kulishwa upumbavu tukiachwa hamna tunachokiweza.
NB: usikute hata hapo umevaa chupi used from beberu nation 😂😂😂🚮
Indonesia

@millardayo Waafrica tujione kama tunaweza kuishi bila mataifa ya magharibi, tuache kuwa na akili za kitumwa, we have to enjoy our sovereignty as Africans.
Hakuna haja ya kuwalilia mabeberu, kufanya hvo ni kuudhalilisha U Africa wetu.
Indonesia

Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Bulaya amesema endapo Muswada wa Maseneta wa Marekani uliowasilishwa kwenye Kamati ya Mambo ya Nje utapita unaweza kuleta athari katika ushirikiano wa Tanzania na Marekani.
Akizungumza Bungeni Jijini Dodoma leo Mei 26, 2026 Bulaya amesema “niwaombea Mabalozi sisi Watanzania ambao Taifa letu huru tunajua sisi sio Kisiwa, tunajua tunatakiwa kushirikiana na Binadamu wengine wa Mataifa mbalimbali kwa faida ya Nchi yetu lakini vilevile na nyinyi mnapokuja kushirikiana na sisi kuna kitu mnakipata kwetu, tupo tayari kushirikiana na nyinyi lakini tupo tayari kuilinda Nchi yetu kwa wivu mkubwa kwasababu hatuna Nchi nyingine ni hii tutazilinda haki zetu kwelikweli”
“Nilipitia muswada ambao umewasilishwa kwenye Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nchi za Nje hili ni jambo kubwa hatuzungumzii taarifa tunazungumzia muswada ambao ukipigiwa kura na Kamati unapelekwa Bunge la Seneti la Marekani inageuka kuwa sheria, natambua Tanzania tuna mahusiano ya kihistoria na Marekani na tutayalinda na sisi tutakuwa wa mwisho kuvunja mahusiano ya Kidiplomasia na Nchi yoyote”
“Leo unasema unapeleka Muswada uwe Sheria kufuta Viza kwa Viongozi wa CCM ambao wengine ni Wahanga wa matukio hayo ambayo wao wanaya-refer Viongozi wa CCM, unazungumzia kuondoa Viza kwa Viongozi wa Ulinzi wa Nchi yetu ambao hawakuhojiwa popote, hawakupewa fursa kama Serikali kupitia Wizara husika kutoa statement ya Serikali kwenye kamati”
“Hili sio jambo jema linataka kuharibu uhusiano wa Kidiplomasia kati ya Nchi yetu na Marekani, Mh. Waziri nina uhakika hawana taarifa sahihi wana taarifa za upande mmoja sisi hatuwezi kuhoji Vyombo vya Ulinzi wa Nchi zao”. Amesema Bulaya.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia
Topten retweetledi
Topten retweetledi

Ulinzi wa taifa si kulinda mipaka pekee.
Ni pia kulinda misingi inayolifanya taifa libaki taifa.
Taifa hulindwa si kwa bunduki tu, bali pia kwa:
Taasisi imara,sheria zinazoheshimiwa, mahakama huru, bunge lenye uwezo wa kuisimamia serikali, uchaguzi unaoaminika, na wananchi wanaoamini kuwa haki inaweza kupatikana bila nguvu wala hofu.
Kwa sababu mipaka inaweza kubaki salama…
lakini taifa ndani likaanza kuoza.
Mahakama zikikosa uhuru,
bunge likigeuka muhuri wa kupitisha kila kitu,
taasisi za umma zikianza kuogopa watu kuliko sheria,
ndipo taifa huanza kupata ufa wa ndani ambao ni hatari kuliko adui wa nje.
Historia inaonyesha:
mataifa mengi hayakuanguka kwanza kwa kuvamiwa
yalianguka pale ambapo taasisi zilianza kudhoofika, ukweli ukaogopwa, na mamlaka ikawa kubwa kuliko sheria.
Ulinzi wa taifa wa kweli ni kuhakikisha:
Hakuna mtu aliye juu ya sheria,taasisi zinafanya kazi bila hofu,na madaraka yanabaki kuwa dhamana ya wananchi, si mali binafsi ya watawala.
Kwa sababu mwisho wa siku:
jeshi linaweza kulinda mipaka,
lakini ni taasisi huru zinazolinda roho ya taifa.”
Indonesia
Topten retweetledi

Wait, let me get this straight.
So this woman ordered the killing of over 10,000 of her own citizens, then turned around and claimed the presidency.
Just days after the massacre, she stood on a podium and proudly declared that “the correct force” had been used against protesters. Then, in one of the coldest moments imaginable, she questioned grieving parents by asking: “Why did you allow your children to protest? This is why they are dead.”
When the European Union condemned the killings, she arrogantly responded: “Who are you to tell me what?”
Then the United States condemned her regime. Unlike her response to Europe, she was far more careful with America because she fears Washington. Instead of insults, she sent lobbyists to try and convince President Trump and the U.S. government to look away from the bloodshed.
As we speak, Tanzania continues paying tens of thousands of dollars every month to a Trump-aligned lobbying group in Washington, hoping Americans will ignore the massacre. But despite the lobbying, President Trump has not looked away. Members of the U.S. Congress have continued standing with the victims and condemning the killings.
When lobbying failed, she moved on to offering mineral and business deals to American companies, believing economic interests would erase the blood of innocent protesters. Some companies accepted the deals, yet still the pressure from the United States did not disappear.
And now, after failing to silence international outrage, what is her latest move?
She has turned to some of the world’s most notorious online scammers to help rewrite history , to shift blame away from her regime and somehow pin responsibility for the killings on America and President Trump. She has hired a NIGERIAN SCAMMER to do a documentary to whitewash the killings. All reputable journalists and media houses in the world refused to do her dirty work, except Nigerians, OFCOURSE!!!!
Imagine that. A government after massacring its own people now paying NIgerian scammers to attack the very countries demanding accountability.
@POTUS, @realDonaldTrump Tanzanians are begging the world not to abandon us. A country cannot heal, prosper, or remain stable while the person who ordered mass killings continues to hold power without accountability.
The people of Tanzania deserve justice. And above all, they deserve the chance to reclaim their country and live without fear.


English
Topten retweetledi

Kakipengele haka ndio kanawaumiza vichwa.
Hapa penye "Asset" hapa ndio ishu ilipo.
Hawa wanaiba bongo wanaenda kuwekeza huko. Wamehamisha familia zao zote zinaishi huko huku tumebaki sisi TUNAPIGWA RISASI ZA VICHWA.
Kwahiyo vilio vya jana usijefikiri vinakuhusu wewe mwananchi wa kawaida kutokea NTOKELA.
Na hatua tuliyofika sasa CHAWA hawana kazi tena-chawa wanaenda kupoteza KAZI SOON.
Tuliwaonya sana kuwa tutafika hapa mkatamba nyie mnae "KABUDI" mtaalamu wa sheria atawasaidia. KIKO WAPI?
Na BADO soon kuna ndoige nyigine inashuka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia

"Tuliwahi kumpiga Jakaya Kikwete miaka yote mitano tena kwenye uwanja wake Kawe. Yani tunatumia uwanja wake bure hatulipi hata mia na hakuwa na la kutufanya alafu uje wewe kidampa tu uanze kutusumbua"
🗣️ Askofu Gwajima.
NB: Biblia inahimisa Tuheshimu Viongozi wetu.
Toa maoni yako hapa_____________________

Indonesia
Topten retweetledi

Ila walokole bhna et na wamama wanalia na wengina wanakua kama wameshukiwa na roho mtakatifu 😂😂😂🚮🚮
Makonda ni tapeli lililokubuhu
MWENYENCHI 🇹🇿@mwenyenchii
ila Bashite ni tapeli la hovyo sana😂
Filipino
Topten retweetledi

@_kingOFstreet Uvccm ni taka ngumu, wambieni Hawa green guard kwamba hizi propaganda zilishapitwa na wakati wangezifanya miaka ya 80 zinge make sense 🚮
Indonesia











