Chris

8.7K posts

Chris banner
Chris

Chris

@ChristanMapunda

Arusha, Tanzania Katılım Ocak 2019
5.3K Takip Edilen2.6K Takipçiler
Chris retweetledi
ACTWazalendo
ACTWazalendo@ACTwazalendo·
TAARIFA KWA UMMA "Tumepokea kwa masikitiko taarifa ya tukio la kutekwa kwa msaidizi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Ndugu David Jumbe. @ACTwazalendo tunalaani kuendelea kukithiri kwa matukio ya utekwaji wa watu." N/Katibu wa Idara ya Haki za Binadamu @Mbaralagande #HakiItendeke
ACTWazalendo tweet media
Indonesia
2
16
45
628
Chris retweetledi
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati)
Pole sana @daviddjumbe kwa tukio hili baya na la kusikitisha. Tukio hili linapaswa kupingwa na kukemewa na kila mpenda haki regardless of the political affiliation. @tanpol bila aibu mnaenda kudai pingu zenu. Shame
Associate CPA Catherine Ruge (Msubhati) tweet media
Indonesia
27
52
250
18.3K
Chris retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:GOLUGWA:MAFWELE ALIJUAJE KAMA JUMBE ALIFUNGWA PINGU KWENYE JARIBIO LA UTEKAJI “Wakati naendelea na mazungumzo nayo, nikampigia, Afande ZCO, Afande Mafwele nikamwambia…ambaye nimemtafuta usiku kucha sikumpata…nikampata leo asubuhi, kitu cha kwanza akaniambia Golugwa nimeambiwa Jumbe yupo hapo amefungwa pingu hizo pingu ngumu sana mtoeni afunguliwe pingu. Nikamuuliza Afande Mafwele umejuaje amefungwa Pingu? Ni maswali hayo”- Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, akizungumzia tukio la utekaji wa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
4
40
193
7.6K
Chris retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Boda Boda leo wameokoa Maisha ya mtanzania mwezao aliekua ametekwa Naomba Repost kama appreciation kwa boda boda wote
Dr Calipso tweet media
HT
12
249
1K
8.1K
Chris retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:GOLUGWA:KUTEKWA KWA JUMBE NI ISHARA KWAMBA WATAWALA WAMESHINDWA KUDHIBITI MATUKIO HAYA “Tukio lililotokea jana ni tukio la utekaji, ni tukio la uharamia hakuna jina jingine, na tukio ambalo limekuwa mahususi likiwa linamlenga ndugu David Jumbe ambaye ni msaidizi wa Mwenyekiti wetu Tundu Lissu.Fununu na tetesi kuhusiana na ndugu Jumbe kuwindwa na kufatwa zimekuwepo kwa muda mrefu watu mbalimbali wengine wakijitambulisha kuwa ni askari Polisi, wengine bila utambulisho wamekuwa wakienda pale nyumbani na kuweka matishio hayo aua wakati mwingine wakisema tunamuhitaji ndugu Jumbe. Sasa jana jambo hili limetokea limetufedhehesha, limetusikitisha, limetukasirisha huu ni utekaji na inatoa taswira ya kwamba watawala na wanaowajibika na masuala ya usalama jambo hili halichukuliwi kwa umakini”-Naibu Katibu Mkuu Bara, @amanigolugwa , akizungumzia tukio la utekaji wa msaidizi wa Mwenyekiti wa @ChademaTZ2 , Tundu Lissu.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
4
19
59
2.6K
Chris retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:GOLUGWA:MOJA YA WATU WALIOMTEKA JUMBE ALIKUWEPO ASKARI ALIYEVAA SARE. “Ndugu Jumbe ametekwa, moja kati ya hawa watu sita alikua amevaa nguo ya askari polisi na wengine walikua wamevaa kiraia na wakatenda jambo hili la kiharamia. Sasa toka usiku mpaka leo asubuhi pamekua na mambo mengi.Tulipoingia hapa ofisini alikuja ndugu Macha kutuelezea jambo hili lilivyotokea na hakufanikiwa kuona nini kiliendelea baada ya ndugu Jumbe kuingizwa kwenye gari ile na watekaji hawa kukimbia nao. Lakini watekaji hawa katika harakati za kutaka kuwakamata walikuwa wakiita wafungwe pingu wafungwe pingu.”- Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, akizungumzia tukio la utekaji wa msaidizi wa Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu.
MwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
3
64
327
12.9K
Chris retweetledi
GASTON SHUNDO GARUBINDI
GASTON SHUNDO GARUBINDI@ShundoGaston·
Kaka @daviddjumbe aliyekuwa jana. Watekaji walimfunga pingu na akaumizwa kama inavyoonekana hapa. Amepelekwa Polisi kufunguliwa hizo pingu. David Djumbe ni Msaidizi wa @TunduALissu . Taarifa zaidi zitafuata.
GASTON SHUNDO GARUBINDI tweet mediaGASTON SHUNDO GARUBINDI tweet mediaGASTON SHUNDO GARUBINDI tweet media
Indonesia
1
28
88
804
Chris retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
“Asubuhi hii familia imenijulisha kwamba Jumbe amepatikana akiwa katika hali mbaya sana akiwa na pingu mkononi, Jeshi la Polisi ndani ya dakika 45 muende Nyumbani kwake mkamfungue pingu, ni pingu ngumu kweli, amegongwa kichwani, anavuja damu, amevunjwa upande wa kulia, hayupo vizuri.”-; Mhe. @amanigolugwa
Indonesia
7
112
388
15.7K
Chris retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
David Jumbe ambaye ni Msaidizi wa Mwenyekiti Taifa Mhe. @TunduALissu aeleza kilichotokea katika tukio la kutekwa kwake jana usiku tarehe 20 Mei 2026.
Indonesia
33
177
447
8.6K
Chris retweetledi
Mwinshehe 🕊️
Mwinshehe 🕊️@Mwinshehe07·
Hata wao wanaona aibu 🙌
Indonesia
69
237
1.1K
39.3K
Chris retweetledi
MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus@MwanzoTvPlus·
#TANZANIA:MSAIDIZI WA LISSU APATIKANA AKIWA NA PINGU BAADA KUWATOROKA WALIODAIWA KUMTEKA Chama cha Demokrasia na Maendeleo (@ChademaTZ2 ) kimesema msaidizi binafsi wa mwenyekiti wa chama hicho taifa, David Jumbe, ambaye alidaiwa kutekwa usiku wa Mei 20, 2026, amepatikana baada ya kufanikiwa kuwatoroka watu waliodaiwa kumshikilia kwa nguvu. Kupitia taarifa yake, Chadema kimesema Djumbe ambaye ni msaidizi wa @TunduALissu , alifanikiwa kutoroka akiwa bado amefungwa pingu mikononi, baada ya waendesha bodaboda kulifuatilia gari lililokuwa limemchukua. Chama hicho kimeeleza kuwa Jumbe amejeruhiwa vibaya kufuatia tukio hilo. Aidha, Chadema kimesema Jeshi la Polisi lilifika katika makao makuu ya chama hicho na kumtaka Jumbe kwa ajili ya mahojiano. Hadi sasa Jeshi la Polisi halijatoa tamko rasmi kuhusu madai hayo ya kutekwa kwa Jumbe wala mazingira ya tukio hilo.
MwanzoTvPlus tweet mediaMwanzoTvPlus tweet media
Indonesia
0
10
28
1.5K
Chris retweetledi
John Pambalu
John Pambalu@John_Pambalu·
Jeshi la Polisi Oysterbay limemfungua pingu David Jumbe, ambazo zilikuwa zimembana kisiasi cha kusababisha mikono kuvimba. Djumbe alitekwa usiku wa kuamkia leo akafanikiwa kuwakimbia watekaji. Maumivu haya Mpaka lini, sasa Djumbe apelekewe hospitalini.
John Pambalu tweet mediaJohn Pambalu tweet mediaJohn Pambalu tweet media
Indonesia
1
26
104
1.3K
Chris retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
David Djumbe anatakiwa kuwa hospotali apate matibabu. Lakini wauwaji, baada ya jaribio lao kufeli, wamemkamata kwenda kumhoji polisi Oysterbay. Hawa watu ni wajinga na makatili kiwango gani? Mnamhoji nini wakati mnajua mlikusudia kumuuwa? Justice For David Djumbe!
Indonesia
7
157
826
9.7K
Chris retweetledi
Jamii Forums
Jamii Forums@JamiiForums·
DAR ES SALAAM: Kupitia Ukurasa wao wa Instagram, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (#CHADEMA) kimetoa taarifa kuhusu David Djumbe ambaye ni Msaidizi wa Mwenyekiti wa Chama Taifa, Tundu Lissu.   Taarifa zaidi zitafuata.   Zaidi tembelea jamii.app/PichaDavidDjum…   #JamiiForums #JFMatukio
Jamii Forums tweet mediaJamii Forums tweet media
Indonesia
7
32
157
4.1K
Chris retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Jeshi la Polisi Oysterbay limemfungua pingu David Jumbe, ambazo zilikuwa zimembana kisiasi cha kusababisha mikono kuvimba.
Chadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet mediaChadema Tanzania tweet media
Indonesia
30
149
572
16.8K
Chris retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jana usiku, David Djumbe (@daviddjumbe), ambaye ni msaidizi binafsi wa Mwenyekiti wa CHADEMA, @TunduALissu, alitekwa na watu wenye silaha nje ya lango la nyumba yake iliyopo Bunju, Dar es Salaam. Hata hivyo, kutokana na ujasiri wa madereva wa bodaboda waliolifuatilia gari la watekaji hao, wahalifu hao walilazimika kusimama na kufyatua risasi hewani ili kuwatawanya. Licha ya kufanyiwa ukatili na kuumizwa vibaya, David Djumbe alifanikiwa kutoroka mikononi mwao akiwa bado amefungwa pingu. MaCCM mnataka nini hasa? Hamtaki kabisa tufanye siasa? Hamtaki uwepo wa vyama vya upinzani?
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
23
159
656
23.1K