Cleo Codez
1K posts




Huyu mmama wa famasi, jirani yangu, ananitafutiaga wateja na kuipamba kweli biashara yangu..kumbe sio kwangu Tu..🙌 Leo kaniomba nimchomee ndizi zake kwenye MIN OVEN YETU, maana alikua anaonjaga tu akinifumania nakula😜.. Ntawaletea mrejesho zikiiva maana hapa tu zinanukia hmm





@gabyconscious Nimefuatilia kwenye vyombo vya habari havina mahusiano na cryptocurrency mkuu wewe ndio huna maarifa sahihi umekurupuka






Mmeona watu wanaokuwa wajuaji hospitalini eegh? Ukisoma hapo vizuri Sara hakuna anachokijua ila kakwepa treatment kwa kudhani yeye anajua kila kitu kuliko anaemtibu Tuheshimiane kwenye majukumu wakuu medicine ina uwanda mpana sana,tusiwe wajuaji

Daredevil: Born Again Season 3 (2027)



Hello @thekiranoir, if another episode of machine gunner is gonna happens, please include me in the cast list. I don’t need any payment only i need is you. If you’re reading this, please reply.🙏🏿😁

















