COSMASI MBABA

8.3K posts

COSMASI MBABA banner
COSMASI MBABA

COSMASI MBABA

@CosimasMbaba

Msemaji wa Manchester City TZ🔥🔥

Katılım Mart 2025
1.1K Takip Edilen1.4K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
COSMASI MBABA
COSMASI MBABA@CosimasMbaba·
Arsenal tuendelee kuwakumbusha au tuwaache?😁
COSMASI MBABA tweet media
Filipino
164
63
1.2K
78.9K
COSMASI MBABA retweetledi
Manchester City
Manchester City@ManCity·
🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 🏆 Just the number of trophies Pep’s won as our boss 👑
English
662
4.8K
55.3K
555.2K
COSMASI MBABA retweetledi
Manchester City
Manchester City@ManCity·
2026 LEAGUE CUP WINNERS!!! 🏆
Manchester City tweet media
English
1.6K
15.9K
73.5K
1.7M
Ayubu Madenge
Ayubu Madenge@ayubu_madenge·
Siku ya Arsenal kubeba kombe la kwanza la msimu huu kati ya mengine mengi ambayo itabeba imewadia. Siku ya Arsenal kuithibitishia dunia kuwa msimu huu ni msimu wa kuweka heshima imefika. Leo ni heri Man City wasije uwanjani wakapoteza kombe kwa heshima au waje tuwafunge kwa aibu.
Ayubu Madenge tweet media
Indonesia
119
31
572
19.5K
COSMASI MBABA retweetledi
Ruthie💙🦋
Ruthie💙🦋@fynRuthie·
We are praying for a man city win tonight 🫣😸 if you see this and you're a Manchester City supporter, comment and I'll follow you instantly! We grow by following each other.
Ruthie💙🦋 tweet media
English
115
68
967
12.5K
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Katika mitandao ya kijamii na majukwaa ya burudani hata kwenye baadhi ya mahubiri kumejitokeza tabia inayotia wasiwasi , kuwafanya wanawake kuwa chanzo cha mzaha na lawama kwa jina la vichekesho na maonyo. Mara nyingi wanawake wanabezwa kwa mwonekano wao, maamuzi yao ya maisha, na hata kuonekana kama sababu ya kushindikana kwa baadhi ya ndoa nyingi. Hali hii imeanza kuzoeleka, ilhali kwa uhalisia ni udhalilishaji unaojificha nyuma ya kicheko. Kinachoumiza zaidi ni ile hali ya mizani isiyo sawa. Kwa mfano Mwanamke akinunua wigi la gharama huonekana kama mfujaji asiye na sifa za kuwa mke bora, lakini mwanaume anayetumia fedha kila siku kwenye ulevi huonekana wa kawaida, na wakati mwingine hata kuonekana “anajua maisha.” Hii si haki, ni dalili ya fikra zilizopinda ndani ya jamii. Zaidi ya hapo, baadhi ya vichekesho vimevuka mipaka kwa kudhalilisha miili ya wanawake na kutoa kauli za jumla zinazowahusisha wanawake wote au hata makabila yao kwa mtazamo hasi. Hii si burudani tena, bali ni sumu inayopandikizwa taratibu katika akili za watu, ikijenga picha potofu juu ya mwanamke. Athari zake ni kubwa na za ndani zaidi kuliko inavyoonekana. Inaua kujiamini kwa wanawake kimya kimya, inapunguza heshima yao katika jamii, na inajenga mazingira ambayo dharau inaonekana kuwa ya kawaida. Mbaya zaidi, wengine wanaanza kuamini kuwa mwanamke ni chanzo cha matatizo mengi, jambo ambalo si kweli wala si haki. Kama jamii, hatupaswi kunyamaza. Ni wajibu wetu kukemea hali hii kwa busara, kuhimiza burudani yenye mipaka, na kuunga mkono maudhui yanayojenga heshima badala ya kudhalilisha. Si kila utani ni mbaya, lakini utani unaovunja utu wa mwanamke haupaswi kuvumiliwa. Ni muhimu pia tukumbuke kwamba mwanamke si mtu wa mbali, kwani ni mama, ni dada, ni mke, ni binti, na ni rafiki. Kumdharau mwanamke ni kudharau misingi ya jamii yenyewe. Kwa hitimisho, heshima ya mwanamke si jambo la mzaha. Jamii inayomdharau mwanamke, hata kwa kisingizio cha burudani, inajidharau yenyewe. Ni wakati wa kubadilika, kusimama kwa haki, na kulinda heshima ya mwanamke kwa nguvu zote.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
43
28
295
27.7K
COSMASI MBABA
COSMASI MBABA@CosimasMbaba·
@godbless_lema Hatuwadharau sema wenyewe wanajidharau na kujizalilisha na sisi tunaruka nao kutokana na mabaya yao wanayo tuachia. Mwanamke anayejiheshimu ataheshimiwa akileta mizaha nasi tunaenda nae hivyo hivyo
Indonesia
0
0
2
303
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Mtu anakuletea zawadi halafu akitaka kuondoka anarudi nayo kwake🤔
Djkid_b_____ tweet media
Filipino
5
7
49
2.4K
COSMASI MBABA retweetledi
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Nobody is Safe😂🫵🚶
Djkid_b_____ tweet media
English
23
16
100
8K
COSMASI MBABA retweetledi
Manchester City
Manchester City@ManCity·
📸⏳
Manchester City tweet mediaManchester City tweet mediaManchester City tweet media
QME
42
107
1.5K
195.3K
COSMASI MBABA retweetledi
The mandevu
The mandevu@ze_mandevu·
"Aaah! Wali na pilau vijiko viwili ila matambi kibao"😂 💔
The mandevu tweet media
Filipino
8
14
195
3.5K
COSMASI MBABA retweetledi
Engkabora
Engkabora@Engkabora·
*#Helllow.....📞📞* ✍️.. *Mwambie anipigie ni mimi mama yake!!,* Mwambie sina simu ila nimeona picha zake kwenye simu ya jirani ....... Mwambie amenenepa sana Yesu amutunze...... mwambie nimeona gari lake ni zuri sana!!!! ila mwambie mama yake bado naishi kwenye lile banda
Engkabora tweet media
Filipino
6
16
48
1.4K
COSMASI MBABA retweetledi
Djkid_b_____
Djkid_b_____@BlessdGrooveKid·
Content creator mmoja wa bongo kapost video akiwa anaenda kwa wadada wanaojiuza kuwashawishi waache kujiuza awatafutie kazi nyingine, Sasa kwenye comment nimemkutana na Hanscana anamuuliza janja👇 "SISI WATEJA UNATUTAFUTIA MADEMU AU?" Na hajaweka emoji ya kucheka😂Yupo Siriazi
Indonesia
8
18
185
20.3K