Babangida

13K posts

Babangida banner
Babangida

Babangida

@DaimuManafi

Content Writer = Online Freelancer = Advocate of GREAT NATION OF AFRICA

Africa is one Katılım Nisan 2019
4.1K Takip Edilen4.8K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Waziri Mkuu wa Ethiopia 🇪🇹 Abiy Ahmed amezindua kituo cha Televisheni cha Pulse of Africa (POA) kitakachozungumzia uzuri wa bara la Afrika, maendeleo yake na tamaduni zake ili kupambana na propaganda za nje zinazoonesha mabaya tu ya bara hili. Nikiwa kama mtetezi wa ONE AFRICA POLICY, hii ni habari kubwa sana na njema inayoonesha nia ya kuinua bara la Afrika na watu wake. Siku moja tutakuwa na media moja kubwa duniani ambayo itakuwa inafanya kazi zake kwa maslahi ya Afrika kwanza, yaani Make Africa Great Again. GOD BLESS AFRICA !!
Babangida tweet media
Indonesia
4
2
22
1.4K
Babangida retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Chama la wana.💪
Hilda Newton tweet media
Español
8
113
1K
8.3K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
KINGLION the best Motorcycle in Tanzania !!
Thom Mnkondya@Thommunkondya

Kuna mshikaji wangu, baada ya kumaliza chuo alipata kazi ya jiji. Wakati huo mimi naendelea na udalali wa kupangisha vyumba kwa wanafunzi. Siku moja, nimetoka mishe zangu Kigamboni, nikakutana naye mitaa ya Lumumba. Alikuwa amemkaba jamaa mmoja aliyekuwa na bodaboda. Nikamuuliza, “Oya, shida nini?” Akasema amepita sehemu ambayo hakutakiwa kupita. Nikamwambia, “Ni shilingi ngapi, nimlipie?” Wakagoma, wakaamua kuchukua pikipiki ya yule jamaa. Roho iliniuma sana. Nikamuuita rafiki yangu pembeni, nikamwambia: “Mwanangu, umechagua kazi ya kimaskini sana, na ya roho mbaya mno. Huwezi kufanikiwa kwa kazi hii. Umechagua kunyanyasa maskini wenzetu. Nchi yetu vijana wengi hawana ajira, elimu, wala exposure, na wengi ni maskini. Ili kuwacontrol hawa watu, ni lazima kuwe na mazingira wezeshi ya kupata riziki au uwape ajira. Lakini hivi hivi, hata uweke sheria kali vipi, kama hawapati kipato hawataweza kutii. Tafuta kazi nyingine. Hii si kazi ya kijana msomi wa chuo, tena UDSM.” Nikamuacha pale nikaendelea na mambo yangu. Kumbe yale maneno yalimgusa sana. Akaondoka, akaanza kujitafuta Kkoo, Mungu akambariki, akaanza biashara za kwenda China. Leo hii amefanikiwa sana. Juzi nilikuwa na kikao Palm Village na wachina wanaotaka eneo la kujenga kiwanda. Nikawapeleka kwenye site zetu, wakapenda. Tukakutana kwa ajili ya discussion kumbe jamaa ndiye aliyewaleta.😀 Nilipofika pale, akanishukuru sana. Akasema yale maneno yangu ndiyo yaliyombadilisha na leo ana maisha mazuri. Nikamwambia kwa utani, “Kama ni kunishukuru, hakikisha hawa wachina wananunua eneo letu nawasubiri!” 😂😂 Kwa kweli nilifurahi sana. Kwa Bongo, kufanya kazi za enforcement bila kutumia akili au huruma ni lawama tupu. Inahitaji busara kubwa, vinginevyo unajikuta unawaumiza watu maskini ambao tayari wanapambana na maisha.

English
0
0
0
51
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
It seems Supreme Leader Mojtaba Khamenei has no mercy as his Father !!
English
4
1
10
784
Babangida retweetledi
Jackson Hinkle 🇺🇸
Jackson Hinkle 🇺🇸@jacksonhinklle·
🚨🇨🇳BREAKING: "What moral authority does the US have over my country, which has lifted 800 million people out of poverty?" At the UN Human Rights Council in Geneva, Hong Kong Legislative Councilmember Dominic Lee calls out the West for using 'human rights' to attack other countries.
English
254
4.5K
15.6K
516.9K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Trump lied to the World that Iran missile capability has been totally obliterated 😀😀
English
0
0
2
61
Nickarama
Nickarama@nickaramaOG·
@SZade15 @IsraelMFA Lol, so then we had a right to attack them since they're been attacking us for over 47 years. Your post deflects from Iran being caught in a lie, a lie that shows they cannot be trusted and need to be fully defeated.
English
3
0
0
122
Israel Foreign Ministry
Surprise! Iranian regime caught lying again trying to hide that Iran developed missiles to threaten all of Europe. Feb 28, 2026 – Iran’s FM: "We kept the range of our missiles below 2,000 km." March 21, 2026 – Iran targets Diego Garcia, ~4,000 km away. 4,000 km from Iran reaches: Berlin. Paris. London.
English
2.5K
2K
5.9K
381.9K
David Collier
David Collier@mishtal·
This is what remains of a Kindergarten in Rishon LeZion are an Iranian ballistic missile attack today. Expect absolutely no media coverage whatsoever - and no angry condemnations from "human rights groups".
David Collier tweet media
English
4.8K
1.9K
5.5K
577.8K
Kenyans.co.ke
Kenyans.co.ke@Kenyans·
Israel says Iran's long-range missiles pose a threat to Europe, Asia and Africa
Kenyans.co.ke tweet media
English
355
386
3.6K
122K
Israel in Kenya
Israel in Kenya@IsraelinKenya·
The Iranian regime devastated Arad and Dimona by deliberately striking civilians with missiles. Over 100 people were injured, including children. A blatant war crime. Pure terrorism.
Israel in Kenya tweet mediaIsrael in Kenya tweet media
English
1.7K
95
635
197.2K
Arsen Ostrovsky
Arsen Ostrovsky@Ostrov_A·
Iran is not even indiscriminately firing at Israel. They are intentionally firing at entire civilian population areas, including residential homes, kindergartens and hospitals. Each of these missiles and cluster bombs is a WAR CRIME!
Arsen Ostrovsky tweet media
English
11.8K
628
3.2K
967.4K
NANCY✊
NANCY✊@9NewsNancy·
@RealCandaceO How were children being used as shields when it was entire apartment buildings housing families that were targeted?
English
152
11
580
161.4K
Candace Owens
Candace Owens@RealCandaceO·
Iran has a right to exist. Also, they warned they would strike which I have been reliably informed makes them the most moral army in the world. Lastly, the children harmed were used as human shields. Did I miss anything?
Israel Foreign Ministry@IsraelMFA

The Iranian regime devastated Arad and Dimona by deliberately striking civilians with missiles. Over 100 people were injured, including children. A blatant war crime. Pure terrorism.

English
6.7K
20.8K
103.1K
3.4M
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Taifa lolote ili lipige hatua za maendeleo lazima litumie vizuri vipawa vya elimu. Hatuwezi sisi kupiga hatua ikiwa kila siku tunaendelea kushindana kuchambua vita za US & Israel Vs Iran badala ya kushindana kuchambua sera zetu za kiuchumi, kisiasa na kijamii kama zinaendana na karne ya 21. Tuko proud kupromote uchambuzi wa soka, muziki, filamu na vita za middle east LAKINI hatuko tayari hata kuweka debate za wazi vyuoni juu ya sera zetu za uchumi, kodi, siasa na kijamii. Hatuko tayari kuweka mijadala ya kitaifa kwenye media ni namna gani tunaweza kupull investment za production kwenye nchi badala ya investment za ku-extract. Lini umewahi kuona paneli ya Maprofesa wa uchumi wametoa document yao wazi juu ya ushauri wa kuihamisha nchi yetu kutoka hapa kwenda uchumi wa juu ambao kila Mtanzania atasema hapa sawa. Kwanini vitu vingi ambavyo vina maslahi ya nchi kiuchumi na kijamii kwa wote ndiyo vinaendeshwa kwa siri lakini vitu vyenye maslahi kwa makundi machache ndiyo vinapewa vipaumbele?. Kwanini tunakubali kuzalisha wasomi ambao wanaingia ofisini wote wanakuja kufanya kazi zile zile za miaka yote ambao hazitupaishi. Kwanini tusibadili mfumo wa uzalishaji wasomi, wakawa empowered kufanya vitu vikubwa zaidi, Wizara ya Sayansi na Teknolojia inawaza hivyo?. Watu wengi wana mengi mazuri ya kushauri lakini hawaoni uwanja wa kufanya hivyo. KWANINI TUNAKUWA HIVYO?
Babangida tweet media
Indonesia
0
0
3
81
Babangida retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Barua ya Tundu Antiphas Lissu si maandishi ya kawaida, ni kengele ya hatari. Inatukumbusha kuwa haki inapocheleweshwa, si tu inaumiza, bali hugeuka mateso ya wazi. Wananchi, tusijidanganye. Ukimya wetu si neutral Bali ni upande ktk kukumbatia dhuluma. Kila tunaponyamaza, tunatoa nafasi kwa dhuluma kuendelea. Kila tunaposita, tunadhoofisha nguvu ya haki. Je, tutakubali kuwa watazamaji wa historia, au washiriki wa mabadiliko? Kama mbinu zetu hazifanyi kazi, zibadilishwe. Kama sauti yetu haisikiki, ipazwe zaidi. Haki haiombwi kwa sauti ya chini , hudaiwa kwa msimamo thabiti. Huu si wakati wa hofu wala kusubiri wengine wachukue hatua. Ni wakati wa kila mmoja kusimama na kusema inatosha.Kwa sababu ukweli uko wazi, haki ya mmoja inapovunjwa, msingi wa haki ya wote unatetereka. Na jamii inayokubali hilo, hujijengea hatari yake yenyewe. Simama. Ongea. Chukua nafasi yako. Wakati wa haki ni sasa.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
45
281
928
22.1K
Babangida
Babangida@DaimuManafi·
Hii tuniitaje kitaalamu?
Babangida tweet media
Eesti
2
0
3
75