Daniel Mathias.

44.6K posts

Daniel Mathias. banner
Daniel Mathias.

Daniel Mathias.

@DanielmathiasTz

Tweets May be archived. With or without connection with you, I still love you.

Arusha, Tanzania Katılım Mart 2017
1.2K Takip Edilen4.6K Takipçiler
Daniel Mathias. retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Freedom is coming, Hii Nchi sio ya kikundi cha watu wachache kupora na kuua watu kama sisimizi. Vijana hii ni Nchi yenu pia.
John Heche tweet media
Eesti
34
297
1.8K
23.7K
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ@Nindi_Jr·
Tuaminishe Kuwe Wewe Kweli Ni Mnazi Wa Muvi Na Series Hapa Wapi...?!
Nindi.Jr ㄷㄱㅑㅊ tweet media
Filipino
75
12
356
19.2K
Trica Online Store
Trica Online Store@TriciaAbou·
Arteta ni msenge sana KLMY 😡 Team anatuwekea nje fala huyu tuna draw na city mbovu hivii
Indonesia
24
8
132
4.6K
Malkia Nyuki 👑
Malkia Nyuki 👑@nyuki_malkia·
Mjane wa Mengi amekuwa mcharo kama mdada wa miaka 20 🔥🔥
Malkia Nyuki 👑 tweet media
Indonesia
26
31
959
61.3K
KIDUKU
KIDUKU@TanzaniaOneJezi·
@RahmaMwita Mchango Wangu Kwako Ni Mafuta Ya UPAKO Nitakupaka Hadi Umeremete
Filipino
7
0
28
2.1K
N I N J A
N I N J A@Ninja_Damour·
Movie za kichina ilikua ukiangalia bosi anakua anapiga ngumi kuliko bodyguards zake, sterling akimaliza kupiga bodyguard bado ana mlima mkubwa kwa bosi wao 😄😄
Filipino
40
35
440
17.9K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni Jumapili hii tarehe 21 Septemba 2025 uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kigamboni. Uwanja wa Serikali ya Mtaa Mbutu Kichangani. Wanakigamboni njooni mpate sera za mgombea Ubunge na malengo yake makuu kwa Wanakigamboni. Kigamboni Mpya ni Sasa!
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
3
0
3
1.6K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni Jumapili hii tarehe 21 Septemba 2025 uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kigamboni. Uwanja wa Serikali ya Mtaa Mbutu Kichangani. Wanakigamboni njooni mpate sera za mgombea Ubunge na malengo yake makuu kwa Wanakigamboni. Kigamboni Mpya ni Sasa!
Yericko Nyerere tweet media
Indonesia
48
2
37
25.5K
Daniel Mathias.
Daniel Mathias.@DanielmathiasTz·
@Tinolove15 Sema jamaa kajieleza sana hakukua na sababu ya kujieleza vile.
Indonesia
0
0
9
1.9K
Daniel Mathias. retweetledi
Fabrizio Romano
Fabrizio Romano@FabrizioRomano·
🚨🔙 Rúben Amorim confirms Matheus Cunha and Mason Mount are back and available against Chelsea.
Fabrizio Romano tweet media
English
1.5K
4.4K
74.5K
2.3M
Neypaul🤎
Neypaul🤎@Neypaul01·
Nina maswali mengi sana, nilikutana na video mtu anasema tuache kumuomba Mungu nyumba, pesa, magari nk. Kwasababu hivyo vitu hata mwanadamu anaweza kukupa. Na tuanze kumuomba Mungu kibali, Neema, na upendeleo Maana hakuna mwanadamu wakukupa hivyo
Filipino
67
98
1.1K
40.5K
Yericko Nyerere
Yericko Nyerere@YerickoNyerereT·
Ni Jumapili hii tarehe 21 Septemba 2025 uzinduzi wa Kampeni za Ubunge Jimbo la Kigamboni. Wanakigamboni njooni mpate sera za mgombea Ubunge na malengo yake makuu kwa Wanakigamboni. Kigamboni Mpya ni Sasa!
Yericko Nyerere tweet media
Filipino
29
0
29
9.4K
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
#TajiriLaKihaya Mwakani nampango wa Kujenga Ghorofa Kinyerezi… Hii itakua Maalum Kwa ajili ya Michepuko yangu kumi na tatu Nlionao hivi sasa baada ya kupunguza saba mwaka Juzi. Maana kila manzi nmempangishia Nyumba ya Laki nne Kwa mwezi. 13@400,000/= Ni 5,200,000/= kila mwezi Kwa mwaka ni 5.2m @12 months ni TZS 62,400,000/= Yaani natumia 62.4m kila mwaka KWA ajili ya RENT tu ya manzi wangu 13. Mwakani niwaHamishie ghorofani kwangu kila mtu aishi Chumba chake… itanisaidia kuSave hela saana- nitakua najilipa kodi.
Indonesia
121
34
553
28.2K
I ❤️ Dar Es Salaam
I ❤️ Dar Es Salaam@FaradayMtz01·
@EsirEid Hizi huyu tajiri la kihaya yupo seriously kweli au ni utani? Maana muda wote anaposti ujinga mtupu usio na faida, nani yupo karibu na huyu mtu huenda labda ana Changamoto ya afya ya akili huyu.
Indonesia
1
0
2
558
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲@Squadcreative_·
@kalage_jr Watu wa Kigoma Mjini hawana shaka tena. Zitto Kabwe is the way forward. Yeye ni kiongozi mnyenyekevu. Hii ndiyo nguvu ya mabadiliko ya kweli.
Indonesia
2
0
0
311
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Sasa si wamuachie tu Tundu Lisu maisha yaendelee
John kalage 🇹🇿 tweet media
Indonesia
29
37
485
11.5K