𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲

141 posts

𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 banner
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲

𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲

@Squadcreative_

You are not broke. You just didn't have daddy's money, rich relatives, or connections. You are building everything from scratch. Dear bro, your time will come.

Tanzania 🇹🇿 Katılım Ağustos 2025
4 Takip Edilen3 Takipçiler
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
Kesho tunakwenda kufunga ukurasa. Mbunge anayesubiri kuapishwa, Ndugu Zitto Zuberi Kabwe @zittokabwe anakwenda kufunga hesabu katika viwanja vya shule ya Msingi Ujiji #Mwami2025 #SisiNiWashindi
Nyang'imba tweet media
Indonesia
21
13
21
4.1K
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
Oktoba 29 weka tiki ☑️ kwa Kabwe Z. Ruyagwa @zittokabwe #Mwami2025
Filipino
24
10
16
2K
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
ZITTO KABWE KULIPA UHAI WAZO LA UJIJI CITY @zittokabwe Kutekeleza wazo la Ujiji City, wazo litakalo fufua mji wa kihistoria wa Ujiji na kuurejesha katika hadhi yake ya zamani kama kitovu cha biashara. Ujiji inatarajiwa kuwa lango la kiuchumi kwa mikoa ya Magharibi #Mwami2025
Indonesia
24
10
11
517
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
JITU LA KALE
JITU LA KALE@Jitulakale_·
Zitto Kabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo @zittokabwe #Mwami2025
Indonesia
6
7
8
232
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
cevenah_challox🇹🇿
cevenah_challox🇹🇿@cevenah_challox·
@zittokabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo. #Mwami2025
Indonesia
6
7
9
275
𝗖𝗿𝗲𝗮𝘁𝗶𝘃𝗲 retweetledi
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
@zittokabwe anaamini kuwa mapinduzi ya sekta ya uvuvi ni msingi wa kuinua maisha ya Wananchi wa Kigoma. Kwa uongozi wake, anataka kuona wavuvi wakinufaika moja kwa moja na rasilimali zao, huku akihakikisha uwajibikaji na uwazi katika usimamizi wa sekta hiyo. #Mwami2025
Indonesia
24
11
12
295
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
Mkutano wa Babalevo jana Kata ya Bangwe 😂😂😂😂
Nyang'imba tweet mediaNyang'imba tweet media
Indonesia
20
11
23
1K
Nyang'imba
Nyang'imba@RahmaSalum255·
Oktoba 15, 2025 Kipampa, Kigoma. Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma mjini @zittokabwe leo amefanya ziara ya nyumba kwa nyumba na mkutano wa hadhara kuomba kura na kunadi sera kwa wananchi wa kata ya Kipampa. Aidha amemnadi diwani wa kata hiyo, Ndugu Lukumbu Msambya. #Mwami2025
Nyang'imba tweet mediaNyang'imba tweet mediaNyang'imba tweet mediaNyang'imba tweet media
Filipino
22
13
19
1.8K