D🇹🇿

3.7K posts

D🇹🇿 banner
D🇹🇿

D🇹🇿

@Daninga009

Insight on personal growth//Psychologist/Educator/Content creator

Tanzania Katılım Eylül 2020
3K Takip Edilen1.9K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
Mama amka twende💔💔😭 #Maandamano
Türkçe
0
1
2
122
CHAUMMA Tanzania
CHAUMMA Tanzania@ChaummaT·
Picha kutoka Kikao cha CHAUMMA na Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bwana Parfait Onanga-Anyanga. Katibu Mkuu, Mhe Salum Mwalim, akiambatana na Katibu wa Sekretarieti, Ndugu, Edward Kinabo, waliwakilisha Chama. Chaumma inaamini kwamba "mazungumzo" ndiyo njia sahihi zaidi ya kuliponya na kulikwamua Taifa kutoka kwenye mtanziko wa kisiasa wa tangu na baada ya uchaguzi Mkuu wa 2025 na kuweka misingi madhubuti ya Haki na Demokrasia ya kweli kupitia kuandikwa kwa katiba mpya na kuimarishwa kwa mifumo huru na ya kuaminika ya uchaguzi.
CHAUMMA Tanzania tweet mediaCHAUMMA Tanzania tweet media
Filipino
17
6
36
6K
BeLINDA 🎬
BeLINDA 🎬@belindaPINDA01·
Do you follow back?
English
22
7
33
1.3K
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
Hivi kuna binadamu mwingine anayepitia magumu kama @ChademaTZ2 hapa dunia? CHADEMA ingekuwa ndio binadamu sijui angekuwa na hali gani, Chadema ni JIWE, Chadema ni CHUMA, CHADEMA ni kila kitu unachojua ni kigumu, acheni masihara wazee😅 Sema mimi nawaambia "Mungu sio mwanadamu"
D🇹🇿 tweet media
Indonesia
0
0
1
8
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
Usikubali kufanana na shida zako📌
0
0
0
3
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
Some chapters in life end without explanations
English
0
0
0
5
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
*Universe is wisely ordered that every man is a part of it and must conform to that order which he cannot change*
D🇹🇿 tweet media
English
0
0
1
7
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
@mj0058 Waulize kwanza kwanini huwa wanatumia namba ya TCCL tu na sio voda, tigo, airtel au Zantel?
Filipino
2
0
1
69
MJ ™
MJ ™@mj0058·
Leo nimepata ujumbe wa kujiunga na FREEMASON, mnanishaurije wanangu?
MJ ™ tweet media
Indonesia
5
1
11
252
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
@Masstown_ Huyu kwanza anafaa aamkie MILEMBE, Sura imekomaa kama koromeo alfu anataka mwenye hela
Indonesia
1
0
5
268
D🇹🇿 retweetledi
MJ ™
MJ ™@mj0058·
Hivi ndo wanaitaga MBOGA SABA
MJ ™ tweet media
Filipino
7
6
43
927
D🇹🇿 retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
MEDIA ZA BONGO ZIMEGEUKA KASUKU-Anachoongea MADELU wao wanakiandika kwa maneno kwenye Caption. Ni kama watanzania wote ni VIZIWI hawasikii. Wamejipa kazi ya kutranslate yanayosemwa na wakina MADELU kwenye Caption. Hayo ndio maisha wa Waandishi wa habari wa BONGO. Hawana akili ya Kuhoji kama anavyohoji huyu muandishi wa Kenya. Kazi ya uandishi sasa kwa bongo inafanywa na mtu yeyote anaejua kusoma na Kuandika. TUTAKUWEPO🫵😎
Indonesia
5
90
480
11.1K
D🇹🇿 retweetledi
Tanzania Abroad TV
Tanzania Abroad TV@AbroadTanzania·
Kuna tetesi nyingi zinaendelea, lakini kuna matukio yanalazimisha hata wale waliozipuuza tetesi hizi waanze kuhisi zina ukweli. Kama hizo picha na huyo Balozi, inakuwaje tai zipo tofauti?
Tanzania Abroad TV tweet media
Indonesia
32
37
352
26.4K
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
Hamjamaliza wapinzani lakini tayari mmeanza kupigana wenyewe kwa wenyewe.
HT
0
0
0
25
D🇹🇿
D🇹🇿@Daninga009·
TUSOME COMMENT ZA RAIA HAPO CHINI Tumefikia pabaya sana 👇
D🇹🇿 tweet media
Filipino
1
0
1
19