Dar city fc

108 posts

Dar city fc banner
Dar city fc

Dar city fc

@Darcityfc1

Football is business.

Ilala, Dar es salaam Katılım Ocak 2022
35 Takip Edilen345 Takipçiler
Trumps Nephew
Trumps Nephew@ForgiatoBlow47·
Simple poll. Please be honest! As of today, how much do you still trust this man? A. 100 % B. 75% C. 50% D. 25% E. 0%
Trumps Nephew tweet media
English
8.1K
601
4.4K
311.3K
Iran time
Iran time@khanadan99·
Netanyahu's Death Has Been Confirmed..... See more
Iran time tweet media
English
4.5K
5.2K
50.2K
10M
nivrax🇳🇴
nivrax🇳🇴@nivraxx·
Do you need money? Answers: yes • yup • ya • yeah • sure • yessir🙃
nivrax🇳🇴 tweet media
English
17.2K
660
12.3K
2M
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Rais wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mohammed bin Zayed Al Nahyan, ametoa onyo kali kwa maadui wa nchi hiyo, akisisitiza kuwa taifa hilo lina nguvu na hali yake si rahisi kudanganywa. Katika hotuba yake, Rais alisema: “Msidanganywe na muonekano wa UAE, ina ngozi nene na nyama chungu, hatuko rahisi kama mwanya.” Kauli hii inafafanua msimamo thabiti wa UAE katika kudumisha usalama wake na kulinda masilahi yake, huku ikionyesha kuwa taifa linaweza kukabiliana na changamoto yoyote bila hofu. Viongozi wa nchi hiyo wamekuwa wakisisitiza utulivu wa kimataifa. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Filipino
15
9
347
30.9K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@chimbuko_ @millardayo Saaana na wengi wanaompotosha hawamtakii mema ndo watakuwa wakwanza kumcheka siku akijaaibishwa na ICC maana hata magu alipokuwa hai walijifanya wanampenda
Indonesia
1
0
1
55
𝐂𝐇𝐈𝐌𝐁𝐔𝐊𝐎 🔱
@millardayo Kuna mikenge ya CCM inajificha kwenye kichaka cha sovereignty. Wanafikiri ukishakuwa Rais unaweza kuamka Asubuhi na kuua wananchi kwa kichaka kuwa nchi yako ni taifa huru. Wajinga wanampotosha sana yule Bibi na wanamjaza upepo. 🚮🚮🚮
Indonesia
3
4
60
4.4K
millardayo
millardayo@millardayo·
Uingereza imetoa ombi kwa Umoja wa Mataifa (UN) kuhakikisha inaitaka Tanzania kuruhusu uchunguzi huru, ulio wazi na wenye ushirikishwaji kuhusu matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu yaliyoshuhudiwa October 29,2025 na baada ya tarehe hiyo uchaguzi ikiwemo tuhuma za mauaji na kufichwa kwa miili. Balozi wa Haki za Binadamu anayeiwakilisha Uingereza kwenye Umoja wa Mataifa, Eleanor Sanders amesema hayo wakati akitoa hoja yake kwenye Baraza la Haki za Binadamu la 61 la UN ambapo Uingereza imesema uchunguzi huru utasaidia kuleta uwajibikaji na kulinda uhuru wa Watanzania na Katiba ya Tanzania. #MillardAyoUPDATES
millardayo tweet media
Indonesia
123
152
1.4K
60.7K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@HildaNewton21 Yatakabal Ismail Yatabal Inshalah kumaamake huo wema mnaosema nyie LISU akitoka hana😂😂😂
Indonesia
0
0
0
83
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Mshua master ✊❤️
Hilda Newton tweet media
Indonesia
9
109
1K
9.5K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@Sativa255 Kwani SATIVA mwema,,, Huo wema mnaosema nyie Sativa hana… YATAKABAL ISMAIL YATAKABAL INSHAALLAH😂😂😂
Indonesia
0
0
1
193
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@Sativa255 Ukisoma Yaliyoandaliwa na PHD MAN unasikia raha adi raha japo sidhan kama vibaraka wao wanaowatumia kwenye attacking midfielder wataelewa lolote hapa maana wengi wao ni 4m4 felia kama mkubwa wao aliyejiwekaga waz mwenyewe bila kusurutishwa maskin ya Mungu🙄🙄🙄
Indonesia
1
0
1
178
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Ameandika Askofu Benson Kalikawe Bagonza NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?! 1. SAFARI YA VATICAN Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi. 2. MABEBERU: Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu? 3. AMANI YA NCHI Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi? 4.MARIDHIANO Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli? 5. CHADEMA na CCM Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa? 6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29 Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele. 7. TUNDU LISU Waliompiga risasi hawajakamatwa lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?! Tunajikanyaga mpaka tunajiudhi. 8. WIZARA YA MAMBO YA NJE Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu huko nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO. 9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe. Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa. Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme! REPOST
SIR TIVA tweet media
Indonesia
17
120
538
16.3K
John Nguti Chadema
John Nguti Chadema@JohnNgutiCDM·
Ilaaniwe ile siku aliyozaliwa huyu Mwanamke, Lilaaniwe tumbo lililombeba, Walaaniwe waibarikio siku hiyo, Ujio wake kwenye Dunia hii umekuwa ni msiba na kilio cha kudumu kwa maelfu ya Watanganyika. Leo Samia ametimiza miaka 66, Miaka 6 akijiita Raisi wa Tanzania, Ni ombi letu kwa MUNGU usiongezeke mwaka mwingine kwake, Machozi na Maombolezo ya Watanganyika yafike na kusikika mbele za Mungu. Wote tuseme AMEN.
John Nguti Chadema tweet media
Indonesia
182
177
1.2K
45.9K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@ChademaTdm @HildaNewton21 Serikali inajengwa na mihimili mitatu ambayo ni bunge mahakama na…. Sasa kama bunge ni miongoni mwa mihimili ya serikali unapata wapi nguvu ya kuniita ninaakili kisoda pale ninaposema mbunge ni part of government 🤔 jaman tunapowachukia wauwaji nawatekaji tupunguze gubu pia
Filipino
0
0
0
26
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
Hii ni jana mbunge wa mchongo Joseph Msukuma kamchapa kibao muwekezaji. Soon wauwaji wote watachanganyikiwa maana damu za Watanganyika zaidi ya elfu kumi hazitawaacha salama.
Indonesia
94
140
733
43K
Donald Trump Jr Q
Donald Trump Jr Q@Trump_Jr_Q·
Do you agree that President Trump is the greatest president in U.S. history or in your lifetime? A. Yes B. No
English
21.4K
2.4K
25.3K
638.2K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@Sativa255 Alishatwambia Gwajima haya yoote mpk wakaamua kumfungia kanisa leo tumejionea kwa macho yetu wenyewe😭😭😭
Indonesia
0
0
2
473
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Aliekemea UKAMATAJI WA POLISI kuzingatia sheria hajakaa hata miezi mitatu karudishwa STORE.
Suomi
44
158
1.9K
45.8K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@godbless_lema Nyimbo ya kuzikia ndio wanaiimba kwenye pless daah kweli hawa ni wa bei ya jion😂😂😂
Indonesia
0
0
0
439
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Wakatoliki wanaimba *😂😂😂😂😂MWAMBA , MWAMBA , MWAMBA . Nimecheka sana , mwenyewe chumbani kwa sauti,mtoto wangu akinuliza , Dad what? Nikamjibu CCM ni ……….sana.
Indonesia
157
146
1.1K
51.4K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@Sativa255 Wakatoliki wa bei ya jioooon😂😂😂 Shame on waliowatuma
Indonesia
0
0
0
74
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Wakatoliki wa KUCHEMSHA wanaimba nyimbo ya TAG. Hawa wakikaguliwa vizuri hapo utawakuta na Mafuta ya mwamposa hawa. Washapiga hela za MAFALA wamelaza mshale.
Indonesia
183
110
807
44.9K
Dar city fc
Dar city fc@Darcityfc1·
@Jindo_1307979 Missing number is any number that is not written in a place where it was supposed to be there That is a answer 👆
English
0
0
0
2
ZohaibAi
ZohaibAi@ZohaibAi__sf·
What is missing number? 99% will fail
ZohaibAi tweet media
English
18.4K
357
6K
3M