Mr Arsenal
5K posts

Mr Arsenal retweetledi

@fundi_rang @abelsima45 Oya bro aliumwa nn huyo make alikuwa anafika gerejin kwetu vzr na misur yake
Indonesia

@ChademaTdm @abelsima45 Umemposti ndugu yangu alikufa akiwa na Maradhi yake na hakuuwawa kama kitu hukijui uliza kwanza. Alikufa mda kabla ya hata maandamano
Indonesia
Mr Arsenal retweetledi

Namuomba Mungu sana nisife bila kushuhudia anguko la CCM 🙏
Mangi wa Kichaga@MangiwaKwanza1
Namuomba Mungu sana nisife bila kushuhudia anguko la CCM 🙏
Filipino
Mr Arsenal retweetledi
Mr Arsenal retweetledi
Mr Arsenal retweetledi

Kwa mujibu wa JAJI KYANDE ni kwamba Waandamanaji walipata mafunzo na walilipwa.
Nimemkumbuka ndugu MASTA TINDWA (R.I.P) aliefuatwa nyumbani na Kupigwa risasi hadi kufariki.
Usiku wa jana NYALANDU kahojiwa na Sky news ya uingereza anaulizwa "nani alitoa amri ya kuuwa?" Anasema Askari walienda kutuliza wananchi ambao walikuwa wanauwana wao kwa wao.
Ikumbukwe kabla ya mauwaji yote kuendelea "IGP WAMBURA" Alitoka na press iliyoruka live akiwataka wananchi waingie kulala saa 12 jioni, na kwamba wana "KAZI MAALUMU YA KUFANYA".
Baada ya hapo watu walianza kupigwa risasi za vichwa sio tuu waandamanaji mpaka watu waliokuwa majumbani walifuatwa na kupigwa risasi za vichwa.
Mtandao ukazimwa na baadhi ya maeneo umeme pia ukazimwa nchi ikaingia GIZANI kwa siku 6.
Haya yote ushahidi upo na dunia inajua. Sasa endeleeni kuleta NGONJERA kwenye maisha ya watu, hakuna kitu kigumu kama kutetea UONGO.
Leo mnasema watu walipanga haya maandamano nawalipata mafunzo na walilipwa, nafikiri mnatakiwa kutuambia ni wapi mafunzo yalifanyika? Pesa hizo ziliwafikiaje waandamanaji?
Tume ilikuwa na MAJAJI wawili na IGP mstaafu ambae pia ni mwanasheria wote hawa ni wataalamu wa Sheria ila ukisikiliza Ripoti ni kama imeandikwa na Watoto wadogo wanaoanza kuota VUZI.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Indonesia

@Adv_innocent Katika sehemu ulifeli n hyo mm Zambia wakinipa uraia crud tena bongo nchi yenye waremavu wa akili
Indonesia

@AlexSamoja Umeeleweka wao wanachojari n upwiru tuu hawawaz kesho yao
हिन्दी

Dada zetu tunajua mko huru kuchagua bwana, lakini tunaomba muwe mnaangalia watu wa kuwavulia vipago, sisi ni wanaume ila tunajua kuna wanaume wenzetu hawastahili hata kugusa kinena kwa bahati mbaya, tunachoka kila siku Anko yako hajala tunaomba hela ya chakula wakati baba mtu yuko hai, Tukisema hatuna hela Undugu lawama unaanza, Kaka zangu hawanipendi.
Tunachoka kbbke📌
Indonesia

@sukununu01 Oya tuliza huo mkundu maana naona umepoteana sasa kama hujui aliemuweka ndan Lisu usichangie hoja unadharirisha ukoo wako
Indonesia

@Eliamatonda @sukununu01 Amenichanganya ujue kwamba Chadema wamemfunga Lisu
Indonesia

@sukununu01 We mjinga, haujui kwamba CHADEMA sio waliomfunga Lissu, wanawezaje kumwachia hebu acha ujinga wako bwana
Indonesia

@fbuyobe CDM akili zenu bana unahis Lisu ana lipi la kuweza kumpa mashart rais kiufup mwenzenu anaomba msamaha ili atoke ukonga leo mariziano imekua ajenda yenu mlipomsema FAM kua kalet mariziano mbaya kwa iyo nyie kichwan mna waza nini kama haikua chuki na chama kimerud nyuma sababu yenu
Indonesia

Tundu Lissu ambaye yupo ndani ya kuta za gereza Ukonga asingeweza kwa njia yoyote ile kumtafuta Dr. Chakwera
Kwa hiyo hapa hoja ya nani alimtafuta mwenzake it’s obvious ni Chakwera ndiye aliyemtafuta Lissu ama kwa maelekezo, au utashi binafsi.
Kauli ya Lissu “Nipo tayari kwa mazungumzo nikiwa huru”
Kwa wasioelewa hii ni lugha yangu kisheria kuhusu makubaliano.
Makubaliano yanayotambulika kuwa halali kisheria ni yale yanayofanyika under FREE and genuine consent. Neno FREE hapo linasimama likimaanisha FREE from COHESION or UNDUE INFLUENCE
Lissu anaamaanisha kuwa, kwa yeyote anayetaka kuzungumza na yeye kuhusu lolote, asifanye hivyo wakati Lissu kwa kutumia ukosefu wa Uhuru wa Lissu kama UNDUE INFLUENCE kuchagiza maamuzi yake.
Kwa hiyo kwa ambao hamjaelewa, Lissu bado amekaza kutuuza kwa mazungumzo yenye ushawishi wa kumpa Uhuru.
Lissu anataka UHURU KWANZA ndipo umpelekee hoja mezani aamue kukubali au kutokubali akiwa HURU.
Lissu hajataka akatokee Ikulu.
Anataka atokee kwenye malango ya Ukonga. Sio kwa huruma, bali on merit either kwa serikali kufuta kesi yake yenyewe ambayo mpaka sasa wameipakisha basi kwa Pilato bila sababu, au hukumu ya NOT GUILTY.
Nimeona mnajimu mmoja wa mizimu anatafsiri tofauti ikabidi niweke sawa.
Yours,
The Hoofman
Filipino















