𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞
56.2K posts

𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞
@DavidChaula
Proudly Tanzanian, heavy weight Born again. Arsenal ⚪🔴 & Yanga🔰🔰 fan. Optimism, Focus, Love and Respect.
Tanzania Katılım Haziran 2018
7.5K Takip Edilen15.4K Takipçiler

@Zephania_Ndaki Samaki hawezi kutapatapa akiwa kwenye maji maana ndipo mahali pake sahihi pa kuishi. Akikutana na mazingira tofauti ndipo shida inapoanzia. 😋😋
Indonesia

Upo serious kweli kuuliza swali?
Nisehemu gani inaogoza watu kuanguka na majini ni Misikitini au Makanisani.
Rudia kifanya uchunguzi kisha urudi hapa.
Fumbo Khan@fumbokhanJr
Huwa najiuliza kitu kimoja Kwanini asilimia Kubwa watu wengi wenye majini ni waislamu?
Indonesia

@DanyeMufasa @kilepi_tweve Nadhani ingekuwa hivi
"Ni ngumu sana kutimiza ndoto zako ukiwa kwenye Ndoa/mahusiano yasiyofaa"
Indonesia

@kiboko77 Nidhamu ipi inayorudishwa hapo, ukijaribu kutumia ufahamu kidogo tu? Na ambao wanazalisha hao single mothers na kutoa hizo bikra ni kina nani?
Kuna watu wanafaa wawajibike ila kuna mbuyu tu unazungukwa.
Indonesia

@DavidChaula Uoni we ndo unatatizo?
Wenzio wanajaribu kurudisha nidhamu kwenye jamaa we unapinga
Indonesia

@sapro_phyticus4 Afadhali hata hawa wa mpira unaweza kuwaelewa ile ni hobby.
Indonesia

@BlacDaady Hapo body ya gari ndiyo ina mwonekano wa upya ila engine ilishachoka zamani.
Usafi uko rohoni na moyoni mwili unafuata maelekezo kutoka ndani tu.
Indonesia

@zou_berry @chapo255 @kavishePb Uzuri naelewa sana kuna kitu kinaitwa "Uhuru wa maoni" na "kuheshimu maoni ya mtu" bila kujali mtazamo wake hata kama ni tofauti na wa kwako.
As long as ulichokiandika kina make sense kwako wewe mwenyewe basi sina budi kukuacha nacho bila kukutikisa maana hatuwezi kukubaliana.
Filipino

@DavidChaula @chapo255 @kavishePb Hakuna shetani mzee wangu, ile ni subconscious mind.. yule jamaa ambae huwa anatake over ukilewa ndie subconscious mind.. kwaio shetani ni ile hali ambayo conscious mind imezidiwa ujanja na subconscious mind.. ila kwa layman ililetwa kama shetani kwa makusudi yao flank flani
Filipino
𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞 retweetledi
𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞 retweetledi

@Your2qh @Kil0voltI So ukiwa na hizi mbili unaweza kuvuta mpunga wako wote?
Filipino

@Kil0voltI Kama kafukuzwa kazi ( Job termination) .
Ila job resignation hupati.
Anaweza pata cha muhimu awe na barua mbil toka kwa mwajir termination letter na certificate of service,
Indonesia

@kasesco_tz @taifahuru98 Siku akitaka nifukuzwe kazi atatumia mfereji huo huo.
Hapana kwa kweli
Suomi
𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞 retweetledi

𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞 retweetledi
𝔇𝔞𝔳𝔶 ℭ𝔥𝔞𝔲𝔩𝔞 retweetledi

@APSTDRLUCKYENI @JustKingss She deserved to be upgraded to a wife. 😊
English

@JustKingss Yeah, my wife did it severally while we were dating
English

Weusi ni alama ya strength, endurance na stability. Matairi ya gari yanafanya kazi kubwa sana kulibeba gari na kukabiliana na joto na hali tofauti ya barabara.
Kuwa kwenye maombolezo kunabitaji moyo wenye nguvu ili kuvuka, black is strong.
Nguo nyeusi hazihitaji mambo mengi.
ProsperNow.@prossoff
Racism haitaisha kama tunanunua gari nyeupe tunatumia taili nyeusi Racism haiwezi isha kama tunavaa nguo nyeupe katika harusi na nyeusi katika mazishi Racism haitoisha kama wakati wa kufua unaanza na nguo nyeupe unamaliza na nguo nyeusi.
Indonesia
















