King David

6K posts

King David

King David

@DavidIsaya17

A Husband/Blaster/ OSH Specialist / Chelsea FC /Simba sc

Mwanza, Tanzania Katılım Eylül 2021
165 Takip Edilen258 Takipçiler
King David
King David@DavidIsaya17·
@Baradhuli2 Heri yako mwezetu umezaliwa na baba wiwili na mama wawili
Filipino
0
0
0
23
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
katika hali tu ya kibinadamu unaweza kuongea na baba au mama yako hivi? Huyu kichaa alikua mzalendo sana wa bangi.
Indonesia
13
15
69
3.3K
Mr.Mbeya
Mr.Mbeya@baraka_asege·
Kaanza kuwa Mbunge mwaka 1995-2026. Hapa tutumie neno gani Kumuaga Hayati LUKUVI?
Mr.Mbeya tweet media
Filipino
12
1
19
1.7K
adamlutta
adamlutta@adamlutta·
Comments ziwe fupi
adamlutta tweet media
Polski
61
13
86
10.8K
saint malone
saint malone@second_born02·
@HildaNewton21 Hivi mm naomba niulize hizi kufungua. Kesi kwenye mahakama kubwa kubwa mfano Hy mahakama kuu masjala kuu ya dodoma si pesa mingi sasa chadem hela wanatoa wap kufungua hizi kesi zote hizi pesa za kuendeshea kesi naomba kujua wakubwa
Indonesia
2
0
0
484
King David retweetledi
Hilda Newton
Hilda Newton@HildaNewton21·
TAARIFA KWA UMMA Sisi mawakili Maduhu William,, Nashon Nkungu na Paul Kisabo tumefungua shauri la Kikatiba ambalo ni Shauri No. 7300dhidi ya Kamishina Jenerali wa Magereza, Mkuu wa Gereza la Ukonga na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Shauri hili limefunguliwa katika mahakama kuu masijala kuu ya Dodoma. Tumefungua shauri hili kuhoji uhalali wa Jeshi la Magereza kuzuia na kuwawekea,,,vingiziti au vikwazo mawakili pale wanapotembelea Magereza kwa ajili ya mashauriano ya kisheria na wateja wao ambao ama ni wafungwa au Mahabusu. Shauri hili litatajwa kwa mara ya kwanza tarehe 14 Aprili 2026 mbele ya jopo la Majaji watatu ambao ni Mruma,, Dr. Rumisha na Dr. Longopa, JJJ's. Tutaipigania Heshima na hadhi ya uwakili usiku na mchana na bila kuchoka. Wakili Maduhu
Hilda Newton tweet media
Filipino
22
217
704
23.3K
MR BEN
MR BEN@Eric__Bernard·
Huu Mkutano wa Mwenezi wa Chama cha Mapinduzi Kenani Kihongosi Manispaa ya Bukoba Wananchi wameitika kumsikiliza, kuwasilisha changamoto zao na kupokea Salamu za Upendo na maendeleo kutoka kwa Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia. Wakati CCM ipo kazini CHADEMA wanashangilia Vifo!
MR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet mediaMR BEN tweet media
Indonesia
39
11
52
6.3K
BARADHULI🇹🇿
BARADHULI🇹🇿@Baradhuli2·
No Reform No Election kiswahili chake ni nini? Hakuna Mabadiliko Hakuna Uchaguzi sio hatutasusia Uchaguzi Ni Hakuna Uchaguzi. Maneno Ya Bwana Mnyaturu AkA Mropokaji AkA Chiba AkA Mchicha Mwimba. Watanzania soon kutakuwa na tafrija msikate tamaa.
Indonesia
21
20
43
3.8K
MO 29 TV
MO 29 TV@MO29TV·
Wahenga walisema kulia kupokezana, wakati watanganyika wanalia Baada ya ndugu zao kuuwawa October 29.2025, mke wa LUKUVI alikuwa anashangilia ushindi batili wa MUMEWE.
Indonesia
60
97
449
78.2K
Ezekiel ‘Oura’ Kamwaga
Ezekiel ‘Oura’ Kamwaga@ezekiel_kamwaga·
Bunge limekuwa yatima Katika tamaduni za kibunge za Jumuiya ya Madola, mbunge me aliyedumu kwa muda mrefu kuliko wengine hujulikana kama Baba wa Bunge. Mwanamke huitwa Mama wa Bunge. Kwa Bunge hili la sasa, Baba alikuwa William Lukuvi na Mama alikuwa Jenista Mhagama. Wameondoka
Ezekiel ‘Oura’ Kamwaga tweet media
Indonesia
56
3
137
13K
King David
King David@DavidIsaya17·
@cutysuzana Na bado mnashindwa kumnyonga, nanili yako ameweka mpira kwapani
Indonesia
0
0
0
8
SSH 2530
SSH 2530@cutysuzana·
Mtu alisema watafute binduki Leo aachiwe vipi?? Huyu anyongwe tu maneno yanamfunga haswa wanachadema hoi.
Indonesia
32
16
31
4.1K
Abbas Mtavya
Abbas Mtavya@AbbasMtavya·
Maendeleo hayana chama. Hizi treni UFIPA wamekuwa wakizipiga vita tangu zimeanza kujengwa, lakini sasa hivi wanazitumia kwa kazi zao na wanafurahia huduma. Sisi tumeshafanya kazi yetu, Mungu atatulipa, hata nyie msipotupongeza kwa kazi nzuri.
Abbas Mtavya tweet mediaAbbas Mtavya tweet media
Indonesia
16
9
17
2.4K
Kipanga
Kipanga@Kipanga1986·
Gwajima ni mchungaji wa hovyo sana kuwahi kutokea kwenye ardhi ya Tanzania, chuki zidi ya usilam ndio muongozo wake tangu anajificha na sasa ni dhahiri kabisa Tunamuambia Gwajima uislam ulipigwa vita tangu enzi za Nabii Muhammad na hadi leo upo na utaendelea kuwepo, hiyo ni Ahadi ya Allah kabisa, vizuri angejikita kutafuna kondoo zake huko kwenye mabanda yake ya njiwa mwenyewe akiita makanisa
Kipanga tweet media
Indonesia
48
7
42
24.2K