David Mfugwa

399.1K posts

David Mfugwa banner
David Mfugwa

David Mfugwa

@DavidMfugwa2

Mwalimu(Bachelor of Arts with Education), katibu wa chadema Jimbo la Kilolo mkoa wa Iringa, diwani niliyemaliza muda wangu 2015 - 2020.

Katılım Haziran 2020
1.3K Takip Edilen24.9K Takipçiler
David Mfugwa retweetledi
Godbless E.J. Lema
Godbless E.J. Lema@godbless_lema·
Hapa ni KIWIRA leo Tarehe 17/05/2026 , hakuna kiongozi yoyote wa KITAIFA.
Godbless E.J. Lema tweet media
Indonesia
12
122
885
8K
David Mfugwa retweetledi
mwananchidr
mwananchidr@mwananchidr·
VIONGOZI wameuwa watu wengi, taifa limetenda dhambi HAWATOI HAKI
Indonesia
1
28
82
1.8K
David Mfugwa retweetledi
Think Different
Think Different@lifeofmshaba·
@HecheJohn : Tangu Jana jioni Kiogozi wetu Lissu anaumwa sana Tumbo, linamkata sana, japo aharishi lakini tumbo linamsumbua vibaya sana. Walimkamata akiwa na afya Njema wakatuzuia tusionane naye, kwa sasa ni wanafamilia wachache sana wanaweza onana naye. Hatutokubali wakimuumiza Lissu MAONI YANGU Kumekuwa na taarifa za muda mrefu za majaribio ya kumuumiza Lissu, Leo tunasikia anaumwa sana huko magereza
Indonesia
17
128
519
16.3K
David Mfugwa retweetledi
Chadema Tanzania
Chadema Tanzania@ChademaTZ2·
Makamu Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn akiwasili Geita Mjini katika uwanja wa Phantom ikiwa ni mwendelezo wa operesheni #KatibaMpya #FreeLissu katika Kanda ya Victoria.
Indonesia
2
30
137
1.8K
David Mfugwa retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
KATORO – GEITA. Viwanja vya SATELİTE. CHADEMA tumekusanya #ToneTone kiasi cha TZS 2,071,000. MSAJILI USITUTISHE. Huwezi kamwe kutupangia namna gani tushughulike na MaCCM. RUZUKU ya kiwaki HATUTAKI. Angusha TONE lako hapo kupitia 0744446969; Jina - CHADEMA HQ. #PeoplesPower. 👊🏾
Indonesia
16
254
1.3K
24.8K
David Mfugwa retweetledi
SIR TIVA
SIR TIVA@Sativa255·
Narudia kumsikiliza Makamu Heche akiwa KATORO naona kabisa shida zangu kama mtanzania zinazunguziwa nafarijika sana. Afu kuna mpumbavu anaitwa Sista NYAHOZA anataka kunyamazisha sauti hii inayoongelea shida za WATANZANIA. Aisee jaribu uone.🫵🏾
Indonesia
9
132
949
12.5K
David Mfugwa retweetledi
Mtikila Jr
Mtikila Jr@Legend_Mtikila·
Kwa mujibu wa taarifa nilizopata muda mufupi uliopita, huyu bwana ni TISS. Jamaa ni mbogamboga damudamu. Kaeni naye mbali. ✌️
Mtikila Jr tweet media
Indonesia
103
139
1.3K
75.9K
David Mfugwa retweetledi
John Heche
John Heche@HecheJohn·
Matishio dhidi yetu ni halisi, tunayasikia na tunajua… unaposhindana na watu ambao wameshindwa kushawishi umma. Wanabaki na njia moja tu, mabavu, mauaji, kuteka, kutisha na kubambikizia watu kesi.. Kwa uhakika yote haya yatashindwa na haki ya Mungu itasimama kwenye Taifa lake… Watanzania msiogope tutashinda. Asante Katoro
John Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet mediaJohn Heche tweet media
Indonesia
42
343
1.5K
21.3K
David Mfugwa retweetledi
Dr Calipso
Dr Calipso@nulphin·
Nilimuona Msuya Nairobi akifanya mazoezi nikamuita kwa jina Msuyaaaaa. Ila Buyobe unatuonaje bro 😁 unatuona mafala sana. Imagine busy city kama Nairobi aya bana sema ulijitahidi mzee ila ndo hakuna marefu yasokua na ncha. @lifeofmshaba Sali sana kaka Mungu amekuepusha na hatari
Dr Calipso tweet media
Filipino
51
97
814
32.7K
David Mfugwa retweetledi
The Chanzo
The Chanzo@TheChanzo·
Heche: Huwezi kuua halafu mambo yakaisha tu Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CHADEMA, huko Katoro, Geita. Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amesisitiza juu ya msimamo wa chama hicho wa kutaka uchunguzi huru wa kimataifa juu ya matukio ya Oktoba 29. "Tunataka tume huru ya kimataifa ambayo haina upendeleo ije kuchunguza kilichotokea Tanzania, na tuchukulie hatua watu waliofanya haya mambo. Damu ya wenzetu, nataka niwahakikishie: hakuna siku CHADEMA itanyamazia uovu mkubwa uliotokea," alisisitiza Heche. Na kuongeza: "Nataka niwaambie ndugu zangu, huwezi kuua halafu mambo yakaisha. Kaini alipomuua ndugu yake Habili, Mungu alimuambia mambo matatu: hautakuwa na amani, hata ukilima hutapata mazao, na jambo la tatu la mwisho, popote unapokwenda utawekewa alama."
Indonesia
25
166
665
13.3K
David Mfugwa retweetledi
joseph_selasini
joseph_selasini@joeselasini·
Hiki chama kinaleta taharuki huko KATORO kifuteni 😂😂; hata kile kinachosaidiwa na dola hakifui dafu. Walidhani wanamfuata LISSU wakamkamata imekuwa balaa. Raia wako na chama chao. Hata mipango ya kumkamata @HecheJohn haitawarudisha nyuma. Ni jeshi linalozidi kusonga mbele.
Indonesia
13
140
955
31.3K
Kwame Kivaisi
Kwame Kivaisi@kwamekivaisi·
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwame Kivaisi tweet media
QME
9
11
12
714
David Mfugwa retweetledi
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Imagine being us. Hapa ni Katoro – Geita. Hapa ni mkutano wa kwanza wa oparesheni #KatibaMpyaFreeTunduLissu. Wananchi wa Katoro wamefurika kwa wingi sana katika viwanja vya Satelite kusikiliza nondo za viongozi wa CHADEMA. Kituo kinachofuata ni Kahama – Shinyanga. #PeoplesPower
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
46
305
1.6K
20.2K
David Mfugwa retweetledi
Maria Sarungi Tsehai
Maria Sarungi Tsehai@MariaSTsehai·
🔥🔥KATORO IMEITIKA NA HECHE YUPO👊🏽‼️ Katoro imefurika na ninamwona brother @HecheJohn Watanzania WAMECHOKA na wako tayari kwa mabadiliko! Hawaombi wanadai kwa vitendo #TutaelewanaTu
Maria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet mediaMaria Sarungi Tsehai tweet media
Filipino
35
238
967
11.2K
David Mfugwa retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
We are so back like we never left, broken but same energy. People’s ✌️
Tito Magoti tweet media
English
17
307
1.6K
12.7K