Dee Brineth

6.8K posts

Dee Brineth banner
Dee Brineth

Dee Brineth

@DeeBrineth

Wauzaji Wa Simu na Electronics :CEO @DavidMtweve 🔴Instagram 🔴Facebook:Dee Phones∆Duka Lipo,Kariakoo/Hashtag #DeePhones Whatsapp https://t.co/6mmSrjjX5K

Kariakoo, Aggrey Street Katılım Eylül 2014
2.6K Takip Edilen2.5K Takipçiler
Sabitlenmiş Tweet
Dee Brineth
Dee Brineth@DeeBrineth·
Dee Phones Tunauza Simu MPYA (Sealed) zenye warrant kwa Bei Nafuu Samsung iPhone Infinix Tecno Vivo OnePlus Huawei Oppo Nokia etc Tupo Kariakoo 📍Uhuru na Msimbazi ☎️ 0689 019 550 0717 589 018 🏍 Delivery Bure (Dar) Mikoani tunatuma 10,000 Please help for RT/like Bei Zetu;
Indonesia
5
29
53
0
Dee Brineth retweetledi
Adventure-360
Adventure-360@Adventure_36·
Nikisemaga chochote kuhusu Mburahati huyu brother @Ninja_Damour lazima aje kuchangia. Stay safe mzee 🙏 #FreeNinja
Indonesia
3
66
323
8K
Dee Brineth retweetledi
Tito Magoti
Tito Magoti@TitoMagoti·
Nini tunachoweza kufanya? Tumzungumze Ninja bila kukoma. Hivi ndivyo, eventually, walipatikana watu waliotekwa, nikiwemo mimi. Free Ninja Now. Muachieni Ninja jamani! Ninja uko wapi bro? Umekula? Ulipata usingizi? Are you okay, bro?
Tito Magoti tweet media
Indonesia
8
261
539
6.7K
Dee Brineth retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Moyo wangu unauma sana toka jana baada ya kupokea taarifa za kutekwa kwa ndugu yangu DAMOUR siku ya jana nyumbani kwao MBURAHATI!! Bado hatujui wamekupeleka wapi na unapitia situation gani wakati huu!! Haya matukio yanaumiza mno familia zetu, na kutuachia machungu yanayojenga hofu na chuki dhidi ya mamlaka zinazohusika na ulinzi wa raia na mali zake!! Haya mambo yanaweza yasikuguse sana kama muhusika hatoki kwenye familia yako, until limkute mtu wa circle yako! Na haipaswi kuwa hivyo! (Selfishness) Imagine unavamiwa na kutekwa na watu 7 wenye silaha unapigwa pingu mbele ya mama yako mzazi, na anakua hajui umepelekwa wapi kila kituo cha polisi wanasema hawana taarifa zako!! Mzazi anabaki na trauma ya milele…..Sad😌 Bado nitaendelea kupaza sauti yangu kukemea Utekaji/Ukamataji holela. #BRING_DAMOUR_BACK_ALIVE. #FREE_NINJA Nakuombea sana urejee nyumbani salama mdogo wangu, Damu ya Yesu kristo ikakufunike na kukulinda huko uliko!!❤️
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
Indonesia
44
407
1.2K
23.6K
Dee Brineth retweetledi
Taivina James
Taivina James@Thereal_taivina·
Tofauti na washikaji wa karibu wa Ninja msiamini Info za Strangers kuwa Ninja alikuwa wapi akaenda wapi zile info sio za Bahati mbaya ni sehemu ya plan za kupoteza Maboya au kumtafutia kosa mwana. Unaamini mtu mmoja anaweza kuzomea kwenye Festival na sauti yake ikaenda? RAT
Taivina James tweet media
Indonesia
12
153
552
21.1K
Dee Brineth retweetledi
#NIPENI_MAUA_YANGU💐
#NIPENI_MAUA_YANGU💐@Roma_Mkatoliki·
Ain’t see it coming kabisa!! A good day turning bad…. Be safe damu yangu 🤲
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 tweet media
English
16
273
1.8K
36.8K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Nikisikia hizi habari za watu kutekwa najisikia vibaya sana. Watu zaidi ya saba mnakwenda kumteka kijana asiyekuwa hatari kwa usalama wa nchi nyumbani kwao mbele ya familia yake? Mnaelewa kweli trauma mnayotengeneza kwa hizi familia? Mnajua chuki mnayoipandikiza kwa jamii? Watu waliomteka Damour Nyakairo, @Ninja_Damour muachieni huko mafichoni aendelee na maisha yake. Hatutaki kuona kijana mwingine anatekwa na kupotezwa. Hatuwezi wote kufikiri na kuwaza sawa. Taifa letu litajengwa kwa msigano wa mawazo. #FreeNinjaDamour
Martin Maranja Masese tweet mediaMartin Maranja Masese tweet media
Indonesia
22
346
1.3K
42.3K
Dee Brineth
Dee Brineth@DeeBrineth·
@IAMartin_ Naumia sana Ninja Jamaa yangu sana, Mtu poa sana, mtu wa watu mnoo week 2 nyuma nilifiwa na mdogo wangu aliacha shughuli zake nilikuwa nae mwanzo mwisho, Mungu amtangulie kwa kweli 🙏 Haya matukio yakingese sana
Indonesia
0
0
0
143
Dee Brineth
Dee Brineth@DeeBrineth·
Kama Mvivu kuosha osha gari, nunua gari ya rangi Nyeupe
Indonesia
0
0
0
16
Dee Brineth
Dee Brineth@DeeBrineth·
@iamkizzyh Kabisa Muhimu sana kuheshimu kazi ya mtu. kama huwez kumlipa, tafuta mwenyewe, simple tuu.
Indonesia
0
0
0
2
Travis
Travis@TravisKitengo_·
Ukibahatika kufanya kazi katika moja ya mashirika haya kukunja 5m per month ni jambo la kawaida sana 👇
Travis tweet media
Indonesia
67
66
209
18.5K
Dee Brineth
Dee Brineth@DeeBrineth·
@McinikaWaLamar @MarekaMalili sure Maisha ya kuunga unga saving changamoto kwangu ku save 50k bora ninunue kuku wakienyeji wadogo 10 wajikuze kutokana na nilipo ni fresh
Indonesia
0
0
0
56
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
@MarekaMalili Unasave 50,000 kwenye 100,000 halafu unakuja kupata tatizo la kusolve kwa 100,000 Kwa maisha yetu haya ya kuunga unga kusave ni changamoto
Filipino
3
3
37
1.5K
Lubasha Jr
Lubasha Jr@MarekaMalili·
Leo nimefundishwa kitu kinaitwa "Habit" Ukiweza kusave 500 kwenye buku 2. Utaweza kusave 5000 kwenye 20k Na 50k kwenye 200k. Jenga tabia.
HT
36
228
1.6K
32K