Agricultural01

33.1K posts

Agricultural01 banner
Agricultural01

Agricultural01

@farming0708

Leaner, Motivated. Agriculture is my only hope, my winner. Up and Down is the way. 📩[email protected] Call: +25577886......7, +255623771.....9

Tanzania Katılım Ağustos 2022
2.1K Takip Edilen2.1K Takipçiler
Agricultural01 retweetledi
ABD
ABD@SamataJr_12·
Kuna mwanangu wamemchapa 20tonnes ya Mchele daah @Njoroge761 Madereva wa local jau sana sometimes🤦‍♂️
ABD tweet media
Indonesia
10
7
63
2.9K
Agricultural01 retweetledi
Swahili Times
Swahili Times@swahilitimes·
TANZIA Aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilwa Kusini, Seleman Bungara (Bwege) amefariki dunia leo wakati akipatiwa matibabu mkoani Dar es Salaam.
Swahili Times tweet media
Indonesia
0
7
81
2.8K
Agricultural01 retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Gm Wapambanaji Leo Imekuwa ni siku mbaya sana kwetu Ng'ombe wetu, anaeitwa Ngude amekufa asubuhi ya saa 11 Chanzo cha kifo ni uzee, huyu inabidi tumzike kwa heshima zote kama njia moja wapo nzuri ya kumuenzi make alifanya vizuri sana upande wa kutoa maziwa mengi na kuzaa watoto wazuri sana. Na amekufa akiwa ana mimba kubwa dah!
Thomas-Josephat tweet media
Indonesia
17
3
36
3.2K
Agricultural01 retweetledi
Sonnino⚡
Sonnino⚡@sonnino123·
Achana na Suala la Gari, Dar Hii Ukiona Unaishi Sehemu Unaweza Kufungua Madirisha na Upepo Ukaingia Iwe Mchana au Usiku, wewe umeyapatia.
Indonesia
27
61
736
25.3K
Agricultural01 retweetledi
M.D (🅨)
M.D (🅨)@ReganTesla_·
Nipo kwenye kipindi ambacho REPOST yako 1 tu inaweza kuokoa maisha yangu mpaka nikashangaa please do not skip REPOST 🙏🏽. Urban Chill Music T8 2nd GENERATION TZS 220,000/= Call/Whatsapp 0716006808
M.D (🅨) tweet media
Indonesia
6
284
278
7.3K
Agricultural01 retweetledi
krix krox
krix krox@salandis89·
Mungu jaalia niwe mfugaji mkubwa, niweze kutoa ajira na nijiingizie kipato cha kutosha. Ameen
krix krox tweet media
Suomi
7
28
217
4.1K
Agricultural01 retweetledi
Adamoo
Adamoo@Addy_Adams·
LG Tv inawaka lakini inaonesha Dark Screen ghafla tu,,, Msaada wenu wakubwa. Nimegoogle hapa inasema niHold button ya chini 15sec lkn button vijana waliitoa so nachindwa fanya chochote NB:- Kioo chake ni 253cm ,,, Fundi aje yeye
Indonesia
3
4
30
7.5K
Agricultural01
Agricultural01@farming0708·
@MaxTz255_ 100K Kwa siku, Kwa mwezi ni 3M, Kwa mwaka ni 36M. Kwa Miaka mitano ni 180M. Mtaji mtaji wa 180M kupata return ya 36M Kwa mwaka ni UHUNI
HT
1
0
4
522
Myunani
Myunani@MaxTz255_·
Uki-invest 100k kila Siku UTT , kwa Miaka 5 bila Kuchukua Faida , Utakuwa Utakuwa Unachukua Million 36 kwa Mwaka Kama Gawio 😂
Indonesia
10
10
223
16.6K
Agricultural01 retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Hapa kuna njia kadhaa za kuwanufaisha wakulima kupitia kilimo biashara kwa mfumo wa endelevu, ukizingatia soko na ufanisi wa uzalishaji:
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
10
17
75
3.1K
Agricultural01 retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Hesabu ilipigwa miaka mitatu nyuma Sasa ushindi upo mikononi mwetu. 📝 Ukipenda faida ya Leo tu utaishia kupata hela ya kula tu. Wekeza kwaajili ya kesho.
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
20
17
143
7.5K
Agricultural01 retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Viva wakulima Tunafanya vitu vizito mpaka wachawi wanatuogopa.
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
9
7
39
1.3K
Agricultural01 retweetledi
Thomas-Josephat
Thomas-Josephat@ThomasJosephat3·
Nina amini sana kwenye kilimo biashara Leo tuzungumze kidogo kuhusu kilimo biashara Kuna vipengele muhimu vya kilimo biashara: 1.Utafiti wa soko – Kabla ya kulima, ni muhimu kujua ni mahitaji gani yako sokoni. Hii inasaidia kuepuka upotevu.
Thomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet mediaThomas-Josephat tweet media
Tanzania 🇹🇿 Indonesia
5
26
116
6K
Agricultural01 retweetledi
𝗭𝗘𝗗
𝗭𝗘𝗗@zed_officially·
5M inatosha kabisa Kutoka kuwa mlinzi hadi mnunuzi wa dhahabu mkubwa ndani ya miaka 5 tu jamaa yangu sana yupo Chunya sasa Hivi Unajua ilikuwaje na nini Siri mpaka kufanikisha Kanielekeza vitu vingi sana,,, Anasema kwamba unaweza kuanza na mtaji wa 500k-5M inatosha. Ila sasa👇
Indonesia
15
49
343
31K
Agricultural01 retweetledi
Comrade Kicheche Jr
Comrade Kicheche Jr@Kicheche_jr·
Niwape machimbo ufuta mwezi wa 5 sasa imebaki mwezi 1 tu. Au nyie haya makitu ya porini hamzitaki? Mimi sina mtaji tu ila suala la machimbo na ufanyaji biashara hilo nina uzoefu usio na shaka.
Indonesia
13
5
82
4.5K
Agricultural01 retweetledi
John kalage 🇹🇿
John kalage 🇹🇿@kalage_jr·
Kachumbari ni Nyanya, kitunguu, limao pilipili kidogo na chumvi kwa mbali, haya maswala ya kuweka hoho, karoti, sijui cabbage ni kuikosea heshima kachumbari.
Indonesia
22
10
325
21.1K
ABD
ABD@SamataJr_12·
Mbepo niliwapenda ila kuchajiwa 2000 ya kulipia tiketi yenu hapana aisee😆 @TBoundBuses @SouthernBuses Acha nitafute Bus lingine la kupanda makato ya kulipia tiketi sio zaid ya 500/=
ABD tweet mediaABD tweet media
Indonesia
9
2
27
6.4K