Savage mode
6.3K posts

Savage mode
@Denzelmwatha
📚 💻🧠|Extreme Logic Zone| J. Cole’s 2014 Forest Hills🥶|Arteon Boy 😁|

🍒🇫🇷 No teenager has ever scored more goals in their debut Premier League season than Junior Kroupi, with 12 goals.




wewe ulienda kupiga sherehe Alfakeer, yet unajua vizuri huko watu wengi huenda na agenda ya kuiba na kuibiana .Alafu unataka kuniambia uliweka opulence kando? Wacha hizo 😏 Ulinunua liquor ya bei juu.. ikakuja na DORIMR ! ukazunguka kila corner ya place kama boss, umebeba key ya BMW mkononi kama trophy, uki-flash kila mtu. Na bado hukujali kuweka simu zako za bei mbaya na gadgets zingine safe,ulikuwa nazo tu hapo wazi wazi. Yaani ulikuwa unaonyesha vile umeomoka, flexing bila brake, mahali watu wengine wako kazi yao ni kutafuta opportunity ya kukusafisha. Ni kama uliingia battlefield bila armor, ukisema “kujeni tu” 😂 Omwami @mbiti_mwondi uko na bahati sana ,huko unaweza ata toka nje ufike kwa parking ukose gari yako . 😂😂😂🤣







As Many as of this Opinion say Aaaai.


























