Mrina Ngowi 🇷🇼
4.2K posts


@Sisimizi3 Ila kakonda Mungu amsaidie amalize huu mwaka wasije sema magufuli kamuita
Indonesia


@madaborjr @bonifacejoseph_ @lifeof_nono Nikawaida NMB hawatenganishi hata mimi ninaesms hazijatenganishwa
Indonesia

Utaacha lini utapeli? Eti @bonifacejoseph_ tuongee ukweli! Ushawahi ona wapi muamala wa kieletroniki unaandikwa hivi 2700000 badala ya 2,700,000 ? Nikiwaambia huyu Nono ni tapeli mnamtetea. @lifeof_nono komwe acha utapeli au nipe kazi ya kukutengenezea script. Nyoko wewee
Indonesia

Leo 04/03/2026 nimepata bahati na heshima ya kipekee kufika mbele ya Tume ya Mh Jaji Chand ya Uchunguzi wa matukio ya 29 Oktoba 2025 na kutoa maoni, mapendekezo na Ushauri wangu.
Tumekuwa na kikao kizuri chenye uwazi na uhuru wa kutoa maoni yangu.
Namshukuru Mwenyekiti wa Tume Mh Jaji Chande, Katibu wa Tume Mh Onorius Njole na Wajumbe wote wa Tume kwa Ujumla wake kwakunipa heshima hii muhimu.
Na Yericko Nyerere


Indonesia
Mrina Ngowi 🇷🇼 retweetledi
Mrina Ngowi 🇷🇼 retweetledi

@Jaguar_455 Tatizo walirushe halafu lizuiliwe angani inakua imepata hasara
Filipino

@Jojo48902517 @HildaNewton21 @Eng_Matarra Kwamwamposa kunamuhitaji
Au kama anaabudu mizimu na wazee wazaman basi akawaombe vizuri wamlinde na mabaya ya dunia
Indonesia

KUHUSU MATARA.
Jana kuna watu mlikuwa mnauliza kuhusu ukimya wa @Eng_Matarra baada ya kuwa hapatikani kwenye simu.
Leo nimemtuma mtu nyumbani kwa Mama yake mzazi, katujulisha kwamba Matara alipata ajali kwenye hiyo ajali alipoteza simu zake lakin kwasasa anaendelea vizuri.
Akipata simu, atarudi online.

Indonesia

@Sisimizi3 Bora Mungu angekupunguzia ukubwa wa matako akakuongezea kwenye akili
Filipino

👉Am sorry to say this ila moja ya kosa kubwa lililofanyika ni kumfungulia huyu Mzalendo wa Madhabahu.
👉Kuna kauli anaitoa mara ya 4 ambayo si bahati mbaya kuwa yeye ni Hazina ya CCM, akimaanisha President Material.
👉Jana kakiri Kabigumila ni kijana wake alimuagjza kuratibu uchomaji wa sheli, mabasi na vituo vya polisi.
👉 Urais anautafuta kwa nguvu sana tena kupitia Dini, kaplant Vipasta uchwara miaka 6 huko mikoani ili vimsambazie ajenda yake.
👉Asipodhibitiwa huyu anaenda kuwa kirusi kikubwa huko mbele hasa 2030

Filipino

@Sisimizi3 Acha utaka taka unajua pengo anamiaka mingapi? Unadhani pengo ataishi milele?
Indonesia

@mpenda_TANZANIA @Sisimizi3 Wamkatie wazipeleke wapi kwani wao watadumu milele?
Indonesia

@Sisimizi3 Serikali iache kuwaintertain wazee kama Mzee warioba,huyu Mzee ni kuacha kumuingizia posho na marupurupu yote,ni kumkatia tu
Ningekuwa mimi ningeshamkatia mara moja
Indonesia

MAZUNGUMZO YA RAIS NA WARIOBA
👉 Disemba 17, 2025 Mzee Warioba alimtumia ujumbe binafsi, Msaidizi wa Mama akiomba kukutana na SSH ana ujumbe mahsusi.
👉Kwa sababu ya heshima aliyonayo Mama kwa Wastaafu Mama aliagiza kesho yake saa 3 : 00 asubuhi, baada ya kikao cha ulinzi na usalama mtu wakwanza kukutana naye awe Warioba.
👉Siku ya kikao Warioba alichelewa kufika badala ya kufika saa 3 : 00 yeye alifika saa 3 : 45 ila Rais alimuheshimu akamsubiri na alipofika alimwambia Mama anajenda 4 ambazo ni hizo hapo
🎤Yaliyotokea Oktoba 29
🎤Kuomba akatibiwe Nje ya nchi
🎤Ujumbe Tundu Lissu kwa Rais
🎤Kumuombea kijana wake Ukuu wa Mkoa
👉 Kwenye maongezi yao kuhusu Oktoba 29, kwanza alianza kwa kumpongeza kwa ushindi kisha akaanza na yaliyotokea Oktoba 29, Rais alimsikiliza na akamshukuru kwa maoni yake akamshauri kama anaushauri akautoe kwa Tume, ili kuwe na muafaka wa pamoja na akampa namba ya Mwenyekiti wa Tume aombe appointement ya kutoa maoni. (Ila Hakwenda)
👉 Kuhusu kutibiwa nje ya nchi, Mama alimwambia hamna shida fuata tu taratibu, andika barua ukipendekeza kwenda kutibiwa nje.
👉Kuhusu Lissu, Warioba alimwambia Mama kuwa alikutana na Lissu Gerezani Ukonga, Disemba 16, na akaomba afikishiwe ujumbe wa kuomba msamaha aachiwe na akishatoka ataenda nje ya nchi, Mama alimjibu hapohapo hilo siwezi ni suala la Mahakamani hawezi kuliingilia.
👉Kumuombea ajira mtoto wake, Mama alimjibu clear ninateua watu kulingana na uwezo wao na kuangalia namna gani watakua na mchango kwa taifa, ataangalia CV yake kisha kama anavigezo atapewa utumishi wa kuwatumikia Watanzania.
Inshort mpaka Warioba anaondoka hakua na uhakika wa ajenda yake yeyote kufanikiwa, ukiitoa ile ya matibabu sasa inavvyoonekana hakufurahishwa kaamua kumchafua Mama.
Sikutaka kusema haya ila amenikera, tunamsitiri ila anaamua kuiharibu nchi badala ya kuijenga.


Indonesia

Mzee Warioba kuchonganisha vyombo vya Ulinzi na Usalama na Rais Dkt @SuluhuSamia ni kukosa busara na maadili ya uzee na uongozi.
Tume imeundwa, haijatoa majawabu yeye anachochea machafuko.
Mbaya zaidi uporaji, uharibifu wa mali kwake si cha maana.
APUMZIKE SIASA, ITAMGHARIMU‼️

Indonesia
















