Balozi
2.9K posts

Balozi
@madaborjr
Follow me back, I am not your fan.
Barabarani Katılım Temmuz 2024
504 Takip Edilen510 Takipçiler
Balozi retweetledi

Nchi inaingia shimoni kwa sababu ya genge la watu wasiozidi 10-15
Alafu kuna watu wazima wamekaa wanasubiri mishahara nono mwisho wa mwezi wanataka tuwapambanie! Acheni ufala!
Msipokee maagizo HARAMU! Mtu unaambiwa mfungulie kesi mwenzako au kamata weka ndani au teka, ua - unatii tu ka zuzu? Kataa kuwa sehemu ya dhulma! Leo Mafwele asilalamike! Wote ninyi mliotekeleza maagizo haramu mtaliwa kichwa sooner than later! Aliyewapa maagizo anafuata kupata anachostahili ila ninyi ndo expendable - mabangusilo!
#TutaelewanaTu

Indonesia

@mTusiOriginal Huyu anaitwa mzee Bwire, alipata kujulikana sana pale Mawasiliano kwenye kesi ya Mbowe. Huyo ndo alikuwa anashughulkia protocol zote, chakula na pia kupatanisha polisi na wanachama ulitokea mzozo mahakamani.
Filipino
Balozi retweetledi

“Msimamo wa mwanadamu haupaswi kuwa gereza la dhamira yake.
Kuna nyakati ambapo ukimya huwa mzigo kuliko maneno.
Sidai kuwa mimi ni mkamilifu, lakini nimeamua kutii dhamira yangu kuliko kuigiza consistency isiyo na ukweli. Si busara kushinikizwa kuonyesha “uanaume wa kisiasa” kwa kubaki sehemu ambayo dhamira yako haiwezi tena kutulia”
Filipino
Balozi retweetledi


@DavidHundeyin I have never seen a man with earrings possess a credible mind. Have some shame you SOB.
English

@EduTalkTz Suala la Msigwa ni dogo sana kuliko those mapovus mnatoa. Amejielezea, angekuwa na tamaa au undumilakuwili angekimbia CDM enzi za mkwe wake Magu. Aliyemuahidi uwaziri lakini hakununulika.
Stop those propaganda za maCCM
Indonesia

BARUA YA WAZI KWA CHADEMA
Chama cha siasa ni ideology; uanachama wa chama cha siasa ni values.
Chama cha siasa kinajipambanua kwa vile kinavyoamini kuhusu sera ya umma na namna jamii inavyopaswa kuenenda.
Uanachama na ufuasi wa chama cha siasa unatokea pale ambapo values za mtu binafsi zinalandana na ideology ya chama cha siasa.
Ideology ya chama cha siasa ni kama sumaku, inavuta values zinazolandana nacho.
Katika tafsiri hii, haiwezekani mtu leo akawa CHADEMA kesho akawa CCM halafu keshokutwa akawa CHADEMA.
Haiwezekani leo ukawa progressive kesho ukawa conservative halafu keshokutwa ukawa tena progressive.
Haiwezekani leo ukawa mjamaa kesho ukawa mbepari halafu keshokutwa ukawa tena mjamaa.
Hata ikitokea kwamba mwanachama wa chama cha siasa hakubaliani na mambo fulani ndani ya chama chake kiasi cha kutaka kujiondoa, ni vigumu kwa mwanachama huyu kujiunga na chama cha siasa chenye ideology tofauti kabisa na ile ya chama chake.
Ni vigumu kwa sababu values zake zilizomvuta na kujikuta amekuwa mwanachama wa chama chenye ideology A hazilandani na chama chenye ideology B.
Ikifika hatua mtu akawa na uwezo wa kuhama vyama vya siasa atakavyo, tena vyama ambavyo ni two extremes sawa na mashariki na magharibi, kuna vitu vikubwa viwili:
1. Huyu mtu sio mwanachama wala mwanasiasa, ni opportunist. Ni ile aina ya wanasiasa ambao Mwalimu Nyerere aliwaita “wanasiasa malaya malaya.”
Ni malaya malaya kwa sababu hawana values; hawavutwi na ideology. Kama hauna values maana yake ni kwamba unafit popote, ni mercenary kwa lugha ya Mwalimu. All you care about is money, fame, and material rewards. That’s all.
2. Chama kinachomruhusu yeyote kutoka na kuingia atakavyo sio chama cha siasa, ni version ya chama dola.
CCM ni mfano mzuri wa chama dola kwa sababu hakina ideology wala wanachama wake hawana values. Kinachowaleta pamoja ni kitu kimoja tu, MADARAKA; ni MASLAHI BINAFSI.
Yeyote anaweza kusajiliwa CCM, muhimu awe tu na uwezo wa kupata madaraka. Pesa na fame ndio values za CCM, yeyote mwenye haya anaweza kusajiliwa.
Hii inamaanisha pia chama cha siasa kama CHADEMA kikianza kuwa na tabia hizi za chama dola nacho kinageuka kuwa version ya chama dola.
Yani kinakuwa chama dola kisichokuwa na dola. Which means kama kikipata dola nacho kitabehave vile vile kama chama dola.
Kwa mantiki hiyo kitafit kabisa ile tafsiri ya “CCM B.”
Na ukitaka kuupima ukweli wa hili, sikiliza ile kauli ya “CHADEMA NI CHAMA CHA SIASA, MALENGO YAKE MAKUU NI KUSHIKA DOLA.”
Hii ni kauli inayoweza kutolewa na watu wasiokuwa na values ndani ya chama dola. Yes, malengo makuu ya CHADEMA KUSHIKA DOLA kama wasemavyo watu hawa hayatofautiani kivyovyote vile na malengo makuu ya CCM KUENDELEA KUBAKI KWENYE DOLA kwa njia yoyote ile.
Wote wana through line moja, DOLA KWANZA UMMA BAADAE. Hii inamaanisha pia watu hawa hawajali matatizo halisi ya umma, isipokuwa wanayatumia instrumentally kufikia malengo yao (I TRULLY HOPE THIS IS NOT THE CASE).
Hata hivyo changamoto kubwa hapa ni kwamba CHADEMA ikiamua kuwa na tabia za chama dola, kamwe haiwezi kuwa mbadala wa chama dola kwa sababu kitabia na yenyewe inakuwa chama dola.
Ikifikia hatua hiyo, CHADEMA inabadilika na kuwa mtaji mzuri sana wa kuhalalisha matendo ya chama dola na malengo yake ya kuendelea kubaki kwenye dola.
Kazi ya chama dola itakuwa kusema tu, “si mnawaona hata wao? Kuna chochote cha tofauti mnachokiona kwao?”
Matokeo yake ni kuukatisha umma tamaa kwa kuufanya ufikie hitimisho kuwa “wote ni walewale.”
Natamani CHADEMA ingejipambanua kama CHAMA CHA SIASA CHENYE IDEOLOGY NA WANACHAMA WENYE VALUES badala ya version ya chama dola inayorudufisha umalaya wa kisiasa.
Ideology inatengeneza integrity, na matokeo ya integrity ni imani ya umma.
Natumaini CHADEMA haitawafikisha watanzania kwenye ile Orwellian state ambapo wanyama waliwaangalia wanadamu kisha wakajiangalia wenyewe kisha wakawaangalia tena wanadamu na kushindwa kuelewa wapi ni wanyama na wapi ni wanadamu.
Ahsante!


Indonesia

@PolycarpMDM @EngMapundajr Naanza ku question your ability to analyze issues.
English
Balozi retweetledi
Balozi retweetledi

Ujio wa peter msigwa umekuathiri vipi wewe kama mwanachama? Ameondoa wanachama? Amevunja chama? Au tatizo ni hisia binafsi?
Kama mtu ana uwezo wa kuongeza ushawishi, kuongeza nguvu kwenye kampeni zinazoendelea, connection, mali na kuisaidia CHADEMA kufika kwa wananchi wengi zaidi, shida iko wapi?
Peter Msigwa siyo mwanachama wa kawaida kisiasa. Anaweza akatusaidia mambo mengi ya kimkati yaliyofanyika kabla na baada ya uchaguzi, ameshaijua system ya CCM, ameshajua propaganda zao, mbinu zao za kisiasa na namna wanavyocheza game ya ushawishi. Hayo mambo hayaonekani kwenye Facebook au Twitter lakini ndani ya siasa ni silaha kubwa sana
Kama kweli lengo ni kukijenga chama na kushindana kisiasa basi tunatakiwa kuangalia mtu ana value gani kwenye mapambano ya sasa tusiwe na visasi na emotions kwa wakati kama huu na tukianza kubeza kila aliyewahi kukosea hatutapata tunachotaka kukisikia kutoka kwake
CHURA WA MILEMBE MKALI PAPPARAZI@Maestrowafact
Chama kimeanza kujijenga kwa operesheni kali nchi nzima gafla kinaletewa Tapeli mbabaifu nacho kinashangalia tune za CCM ni ngumu sana kuacha kuzicheza 😅😅
Indonesia

Nimepokea message DM nyingi za wananchi wakieleza mashaka na hata hasira kuhusu Msigwa kurudi kwenye chama na kupokelewa
Naweza kuziweka baadaye msg hizi ila mi nawaambia kuna sababu mi sijawahi kuchukua kadi ya chama chochote ila nitasapoti chama kinachosimamia misingi na kuitetea! Muhimu tupambanie MISINGI! Mfano nina imani na Tundu Lissu kwani ameonyesha kuwa mtu wa msimamo asiyeyumbishwa na hadi leo wanamwita baadhi ya wanasiasa wenzake RADIKO 😁
Hata akitoka leo Lissu ataongea yaleyale na ndiyo maana hawawezi kumwachia! Ni juu yetu kumpambania! Ila kesho
akiwa Rais na kuanza kuzingua na kututeka nitamchapa spana hivyohivyo tena hadharani!
Ila kwa zama hizi hatuhitaji wanasiasa wa backroom deals! Tunahitaji wanasiasa wanaharakati! Huu ndo ukweli ingawa wanasiasa hawapendi kusikia haya ila ndiyo maana wananchi tunasimama ktk hiki! Na ndiyo maana wengi wenu mko disappointed! Don’t be! Tusimame kwenye misingi!
#freeTunduLissu
This is our focus! That’s all! Unamhitaji mtaani jana si kesho au mwezi ujao!
NOW!

Indonesia

@MariaSTsehai Aunt umezidi kuonesha ukomavu, umeongea vyema kabisa. Focus focus focus!
Balozi retweetledi

@PolycarpMDM @Maga_Spana Mamdogo relax, CDM siyo mali ya mtu binafsi. Anyone anakaribishwa
Indonesia

HALIMA MDEE hatujui walishawishiwa na nani kwenda bungeni, Yawezekana Mwenyekiti mstaafu ni moja ya watu waliokua wakijua nini kinaendelea.
HALIMA hajawahi kuwa CCM, labda kama nakosea niambiwe, HALIMA aliwahi shiriki Kampeni akiwa CCM? aliwahi msifia mtawala?, Aliwahi ikandia CHADEMA?
Yeye alipofukuzwa Uanachama aliamua kwenda Kulima mahindi, sababu kujiunga na CCM ni kusaliti misimamo yako uliyokua ukihubiri.
Sasa MSIGWA alienda CCM akaikandia CHADEMA, kasifia watawala.
Mara 1000 bora HALIMA kuliko MSIGWA.
Indonesia

@bonifacejoseph_ @Savasec @Thereal_taivina @hildo28967 Hii ni kweli, watu wanawekeza hisia kwenye siasa matokeo yake ndo hayo. Siasa inahitaji watu, kurudi Msigwa kundini ni pigo kwa CCM.
Indonesia

Taivina kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu Wala Adui wa kudumu, hutakiwi kutumia sana Hisia, Chama cha siasa sio chama cha kiharakati na chenye misimamo mikali.
Labda TU anaweza kurudi yes na akapokelewa lakini asipewe nyadhifa za juu za uongozi kwa sababu tayari ashakuwa mamluki, SIASA ni mchezo mchafu sana. Wewe sapoti sera za chama pale unapoona wanahitaji praise na kufungwa mkono, mambo mengine kama hayo yatakupa sonona TU 😂
Indonesia

@MariaSTsehai @MwauraRobert2 @Joseph82305939 Lakini walivo mambumbumbu hawaoni kuwa ndo watazidi kumpa umaarufu wa kishetani Samuya kwa kuuwa, kulawiti na kuteka wananchi!
Filipino

@MwauraRobert2 @Joseph82305939 Huyu ajiandae yamkute ya Musiba mi sitaki ujinga safari hii!
Indonesia

@Thereal_taivina Janja siasa ni kama betting. Siasa ni watu, kurudi Msigwa ni advantage kwa siasa za Tz. Kwenye siasa lolote lawezekana.
Indonesia
Balozi retweetledi

Let’s talk about #Facts!
The Chande report is fictional horsesh*t - we all saw hundreds of youth arrested
Yet one of the lawyers who defended them says he saw 1,651 charge sheets and none of them were foreigners yet Kabudi and now his hired bloggers and hack job film crew are trying to allude to foreign involvement! This will never fly!
Again everyone who participates in this cover up will be held accountable!
The evidence is overwhelming and there are witnesses to tell the Truth!
Get ready to be held accountable!
Sasa kwa hiki ndo wajue akina Abdul kuwa hakuna pa kujificha! Mnatumia kodi zetu kuleta watu mashuhuri na kukodi wanaija kuwasafisha ila Ukweli haufichiki! Mtawajibika! Mliwakamata na kuwatesa wananchi wenu na kuwapa mashtaka ya uhaini mnajua mmeshinda? Mjipange!
Mtawajibika!

English

















