Sabitlenmiş Tweet
Devota Minja
1.1K posts

Devota Minja
@DevotaMinja
Professional Journalist- ITV /Radio One 2002-2015/To date 2025-2030 MP ( special seat ) Morogoro Region l Vice Chairperson- CHAUMMA .
Morogoro, Tanzania Katılım Şubat 2017
8.5K Takip Edilen19.7K Takipçiler
Devota Minja retweetledi

Kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, Mgombea Makamu wa Rais Mheshimiwa Devota Minja ameendelea na shughuli za kampeni ambako leo hii Oktoba 24 amefanya mikutano mikubwa miwili kwenye majimbo ya Kinondoni na Mbagala.
Mheshimiwa Devota amenadi ilani ya CHAUMMA huku akiwaomba wananchi wakipe dhamana ya kuongoza nchi Chama cha Ukombozi wa Umma katika ngazi zote wakiwemo wagombea ubunge Moza Ally wa Kinondoni, Khadija Mwago wa Mbagala.
Mheshimiwa Devota pia amewaeleza wananchi kuwa na matarajio ya kesho mpya chini ya CHAUMMA na kuahidi kutafutia ufumbuzi changamoto mbalimbali zinazowakumba Watanzania.
#UwakilishiMakini




Indonesia

Uthubutu wetu leo ni msingi wa kesho bora ambayo tunaweza kujivunia.
Asanteni wananchi wa Ilemela na Nyamagana kwa imani yenu kwa @ChaummaT. Oktoba 29 kila mmoja wetu akapige kura ya ukombozi.
#UwakilishiMakini




Indonesia

Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, mwanasiasa nguli Raila Odinga.
Pole nyingi kwa Wakenya na kila mmoja aliyeguswa na msiba huu mkubwa.
#RIPRailaOdinga

Indonesia

Ahsanteni jimbo la Kisesa hakika tarehe 29 ni wakati wa kupiga kura ya ukombozi✊🏼✊🏼@ChaummaT




Indonesia
Devota Minja retweetledi

Nikiendelea na kampeni za kijiji kwa kijiji. Wana Serengeti wako tayari kwa mabadiliko
#SerengetiMpyanaMsubhati




Filipino
Devota Minja retweetledi

Devota Minja retweetledi

Mgombea Uraisi kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA Mh.Salum Mwalim Leo October 7,2025 Ameendelea na Kampeni zake Feri,Jijini Dar es salaam kwenye Jimbo la Kigamboni.
Mwalim amesema endapo atapewa ridhaa atahakikisha kufutaa tozo Za kuvuka daraja la Kigamboni.
#UwakilishiMakini
#Chaumma2025




Indonesia
Devota Minja retweetledi
Devota Minja retweetledi

Mgombea Makamu wa Rais Devota Minja leo Oktoba 2 ameshiriki mkutano wa kampeni kwenye Jimbo la Kivule.
Mheshimiwa Devota ameongelea changamoto mbalimbali za Watanzania hasa wakazi wa Dar es Salaam ikiwemo kero sugu ya usafiri ambako Serikali ya CCM imeshindwa kuendesha kwa ufanisi. Hakuishia tu kwenye kuibua kero bali pia Mheshimiwa Devota ametoa dira na suluhisho ya changamoto hizo na kuwasihi wananchi wa Kivule na Tanzania kwa ujumla kukiamini Chama cha Ukombozi wa Umma kwenye uchaguzi mkuu wa Oktoba 29 ili kiingie madarakani na kuleta mageuzi yanayohitajika.
#UwakilishiMakini




Indonesia












