Dismas kifaru

147 posts

Dismas kifaru banner
Dismas kifaru

Dismas kifaru

@DismasDc01

MY LIFE MY STORY

Mbeya, Tanzania Katılım Kasım 2019
30 Takip Edilen36 Takipçiler
Dismas kifaru retweetledi
Daktari Wa Manesi 💉💊
Daktari Wa Manesi 💉💊@McinikaWaLamar·
BRO TO BRO Maisha ni magumu sana hayana huruma na mtu , kaka. Kila siku huja na mapambano mapya. Kuna siku unaanguka, kuna siku unachoka, kuna siku unaumia kimya kimya Lakini sikiliza vizuri ugumu wa maisha haumaanishi mwisho Ugumu unaonyesha bado umesimama imara na unapambana. Wanaume wengi tunakata tamaa njiani. Wewe usifanye hivyo. Onyesha ujasiri wa kweli wa kupambana na vita vyako mpaka kieleweke. Ushindi upo njiani 💪
Filipino
7
54
245
9.7K
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
This year, Hata kama ni kubet, we bet tu lla hakikisha hupotezi zaidi ya unachoingiza. Kanji akifurahi Kanunue zako kuku na mbuzi shamba, halafu tulia kama haupo yaani.🏆 Let's Goo 2026 Wanangu 🚀
Indonesia
0
0
2
22
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
MAN TO MAN TALK PIGA KAZI kimya kimya WEKA AKIBA kimya kimya WEKEZA kimya kimya PATA PISI YAKO MOJA KALI, YENYE AKILI🧠, IWEKE MBALI NA MITANDAO UNLESS INATENGENEZA MKWANJA PIA HUKO. ipende sana kimya kimya. LEAVE HOME TO CHANGE HOME Si unajua hiyo Yes kimya kimya!WIN, INVEST🏆
Filipino
0
0
2
26
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
@FKihamu Sheria za mpira kaka hamna penalt pale Yule mchezaji wa misri alikuwa teyar anaenda chini na asingewesa kwenda chini bila mkono wake kuwa chini mkuu
Indonesia
6
1
20
1K
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Ukinywa maziwa siku 99 siku ya 100 ukanywa sumu UNAKUFA . Hivo basi Watu nao haijalishi utawatendea mema vipi lakini baya moja tuu bango kila kona🧠
Indonesia
0
0
2
23
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
10,000 reasons to keep pushing. This is more than just numbers...it's a community, a family, it's impact, inspiration, and real support. Every follow, every comment, every share, it all means something. Grateful for this community. Let's keep building.❤️🚀
English
0
0
0
26
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Wakuu sio siri wapenzi wenu ni wabaya 😂💔🙌🏼
Indonesia
1
0
1
51
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Heshima mara nyingi hufuata uhuru, na utulivu wa kifedha ndio ufunguo wa uhuru huo. Kama mwanamume, zingatia kujenga utajiri—si kwa ajili ya kupenda mali, bali kulinda hadhi yako na kuishi maisha kulingana na masharti yako. Pesa ni zaidi ya chombo; ni ngao inayolinda heshima yako
Indonesia
0
0
2
131
Dismas kifaru retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
Kuoa mwanamke mzuri ni jambo jema na wanaume wengi tunapenda hivyo. Lakini, tukishawaweka ndani wanaanza kuchakaa na baada ya muda wanakuwa hawajizingatii na kuchakaa kiasi cha kukosa mvuto kabisa. Hapo ndio mwanaume anaanza tamaa nje japo sio wote wenye tamaa chanzo ni icho japo inachangia. Tupate nafasi ya kuwapongeza wanaume mliosimama kwenye nafasi zenu hata baada ya kuoa basi mke anabaki safi na kuwa na mvuto pasipo kuchakaa. Mimi nitajitahidi, kwanza mwanamke mchafu mara zote havutii na inakata sana no wonder wanawake wa bar wanakula pesa za wanaume wenye wake waliojitelekeza kwa sababu ya kuoga na kujiweka safi.
Indonesia
6
10
185
8.2K
Dismas kifaru retweetledi
ProsperNow.
ProsperNow.@prossoff·
BIASHARA YOYOTE UTAONA HELA KAMA UKIISIMAMIA NA KUFANYA KAZI MWENYEWE. UKIFUNGUA DUKA UKAUZA WEWE NA AKAUZA KIJANA TOFAUTI YA HESABU UTAIONA.
Indonesia
20
30
486
15K
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
@FKihamu 😂😂😂iv lile la aziz K ni goal kwel or ofside!
HT
1
0
0
1.3K
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Unajua Brother wewe ni Refa mzuri sana ila ulipokubali kuingia mtego wa kubalance matukio kuanzia kadi za njano na offside ndipo ulitoka mazima mchezoni, ukaenda kubalance mpaka penati ya wazi kabisa ya Simba tena dakika za mwisho kabisa, wewe ni Refa mzuri sana Kaka wakati mwingine simamia sheria zote 17 tu, umeona kilichotokea penati ya Simba? Mchezo wa kubalance umeumiza matokeo, huwezi kubalance kote wewe chezesha mechi Kaka.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
582
121
2.9K
282.9K
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Kuomba ni aibu ya kwanza, kunyimwa ni aibu ya pili, na kutangazwa ni aibu ya tatu. Pambana sana kutafuta pesa, umaskini unadhalilisha mno.📌
Indonesia
0
1
5
59
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
@FKihamu or me sijui mpira dogo mbona anacheza kawaida!😂
Indonesia
0
0
0
139
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Huyu Dogo Boateng kuna kama task kapewa kutembea na Fabian Ruiz au macho yangu tu, kamejitahidi anaishi nae kibishi😀
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
50
34
1.5K
26.1K
Dismas kifaru retweetledi
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Ukiwa kama kijana Unatakiwa kuwa na muda wako mzuri wa kutambua maisha ya Vijana wenzio.... Unatakiwa kuishi maisha yako binafsi na Sio ya kuigaiga kumbuka kuwa Hivyo vioo Unavyosema mnajitaza, Vioo vingine vinaonesha picha za Uongo🏆
Indonesia
0
1
2
0
Dismas kifaru retweetledi
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Kuridhika na kidogo Sio kwamba hutaki kikubwa,bali Nikutambua Kua kikubwa ni mkusanyiko wa Vidogo Vingi,Hivyo uko kwenye mstari Sahihi,Huna haja ya kujipa Stress na kuteseka Na vikubwa ambavyo Sio vyako Na sio muda wako🏆
Filipino
0
1
2
0
Dismas kifaru
Dismas kifaru@DismasDc01·
Ukumbushe moyo wako kila wakati kuwa hakuna kitu cha milele, kila kitu huisha, ubabe huisha, dhiki huisha, cheo huisha, umri huisha, pesa huisha, pumzi nayo ipo siku itakata. Ila mema ya mtu huishi muda mrefu...Tuishini kwa upendo muda wetu ni mchache sana hapa Dunian 🎯🤍
Indonesia
0
0
4
52
Farhan Kihamu Jr
Farhan Kihamu Jr@FKihamu·
Baada ya kufuatilia kwa Watalaam wa mfumo wa TMS ( Transfer Matching System) nimewasiliana na TMS Manager wa timu ya Ligi Kuu nae akanipa uzoefu wake juu ya hili suala. Cha kwanza YANGA hawawezi kupokwa alama zozote kutokana na kumtumia Mchezaji huyo aliyepo kwenye mabano kwakuwa kilichopo sio uhalali wa Mchezaji kutumika bali taarifa za malipo kwenda FIFA kupitia TMS. Kilichopo ni nini? Kilichopo ni kuwa Mchezaji ni mali halali ya YANGA ila kuna kanuni za FIFA kuhusu uhamisho kwa ajili ya Integrity ya mchezo, uoneshe makubaliano yenu ni kiasi gani, mnalipana vipi na mmeshalipana kiasi gani. Nikamuuliza swali TMS Manager wa hii timu kubwa kuwa kwenye scenario kama hii kwanini imetokea nyakati kama hizi? Majibu yake ni kuwa kuna vitu viwili cha kwanza huenda Mchezaji ameclaim malipo yake ama cha pili FIFA wamepitia na kuona kuna vitu havikukamilika hivyo ndio maana waliwatumia ujumbe Yanga. Baada ya kuridishwa na majibu yake ya kiuzoefu nikamuuliza kwanini Mchezaji hajatajwa? Kwa mujibu wake ni kuwa sio lazima Mchezaji kutajwa kwakuwa hii ni Internal communication (taarifa ya ndani) umma unapaswa tu kutaarifiwa kuwa kuna hiki na hiki lakini sio lazima waambiwe jina kwakuwa sio maslahi ya umma bali ni FIFA hapa. Akanipa mfano zamani FIFA walikuwa kwenye adhabu wanaipa adhabu timu kwa kuitumia taarifa timu bila kupitia TFF, mfano Biashara United lakini baada ya sakata lile rasmi taarifa zilikuwa zinapitia TFF, hivyo hakuna ulazima wa TFF kutaja jina la Mchezaji kwakuwa haina ulazima huo. Mwisho nikataka kujua athari za mambo kama haya! Kwa yeye alichonijibu ni kuwa sio sifa nzuri klabu kupelekwa Kamati ya Nidhamu ya FIFA ila nje na hapo hakuna matokeo yoyote ya Yanga ambayo yataathirika.
Farhan Kihamu Jr tweet media
Indonesia
119
70
1.4K
182.4K