Joseph L. Haule

31.8K posts

Joseph L. Haule banner
Joseph L. Haule

Joseph L. Haule

@ProfessorJayTz

Hip Hop Artist

HANDS UP ft Gnako Video Link👇 Katılım Aralık 2010
1.6K Takip Edilen807.2K Takipçiler
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
MASKANI KIMARA watu kila siku Mamtoni, Jonas Kiwia wasalimie Washington, Ukiweza Pita Texas Mpe HI Chief SAM na mkumbushe uzushi wa BONGO DAR ES SALAAM💣💣💣🔥 #maskanikimara @jidejaydee @masterjtz
Joseph L. Haule tweet media
Indonesia
38
174
1.5K
31.4K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Tukiwa kwenye mwezi wa Figo duniani,Kama Mwenyekiti wa taasisi ya @professorjayfoundation inayotekeleza programu ya AFYA AWARENESS CORPORATE itafayofanyika March 14, nimekutana na kufanya mazungumzo na @barakashelukindo Mkurugenzi wa Masoko @dstvtanzania, Elimu ya afya kwa umma🙏
Joseph L. Haule tweet media
Indonesia
3
48
672
15.1K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Hakika chama chetu pendwa kimeshinda na tumefanikiwa kuionyesha Dunia nini maana halisi ya DEMOKRASIA, Hongereni sana viongozi wetu wapya wa chama Mh. mwenyekiti @TunduALissu na Makamu wenyekiti wa Bara @hechejohn na wa visiwani Mheshimiwa Said Mzee Said #STRONGERTOGETHER ✌️✌️
Joseph L. Haule tweet media
Indonesia
20
209
2.1K
29K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Asante sana Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema kwa kunifikisha mpaka leo hii nauona tena mfanano wa SIKU yangu ya Kuzaliwa , narudisha SIFA na UTUKUFU kwako eeeh Mola wangu, Nakuomba sana umilinde zaidi na zaidi na unibariki miaka mingi yenye furaha na Mafanikio tele, AMEN🙏🙏
Joseph L. Haule tweet media
Indonesia
210
295
3.4K
69K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Hongera sana mdogo wangu @tharealsimplex Mzee wa Ngano kwa kupata Masters degree ya PUBLIC ADIMINISTRATION leo, Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akuongoze vema kwenye Maisha na majukumu yako🙏🙏
Joseph L. Haule tweet media
Indonesia
7
31
661
15.6K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Jimbo la MIKUMI kata za Ruaha, Ruhembe, kidodi,Tindiga, Mabwerebwere, Masanze, Zombo mpaka sasa hivi saa 4 na robo karatasi za kupigia kura bado hazijafika na vituo havijafunguliwa, kata za Kilangali, Ulaya Na Mhenda uchaguzi umesimama eti karatasi zimekwisha haya si maajabu?
Indonesia
32
132
674
31K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
WAGOMBEA WOTE WA CHADEMA WILAYA YA KILOSA MAJINA YAO YAMEENGULIWA Tunawasisitiza wasimamizi wa uchaguzi wayarudishe mara moja majina ya wagombea wetu wote wa CHADEMA walioenguliwa makusudi wilayani KILOSA la sivyo tusije kulaumiana JOSEPH HAULE Mkiti wa CHADEMA wilaya ya Kilosa
Indonesia
40
287
1.5K
50K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
Ni Dada mkuu na Kaka mkuu🔥🔥🔥🔥 Je lingekuwa kundi mngetupa Jina gani??? Lady Jaydee CALLING feat @officialalikiba Official Video IS OUT NOW Link youtu.be/UlnGgLfBlZE LETS GO on YOUTUBE 💪💪💪
YouTube video
YouTube
Joseph L. Haule tweet media
Filipino
28
71
794
22.3K
Joseph L. Haule retweetledi
EastAfricaTV
EastAfricaTV@eastafricatv·
Pale Kenya @KHALIGRAPH anasema Respect the OG's na hivyo walivyofanyiwa 'GOAT' wa muziki Tanzania Komando @JideJaydee baada ya kumpandisha stejini @ProfessorJayTz kwa mara ya kwanza. Chemistry yao (Jide x Professor Jay) imetoa hits kibao kwenye muziki kama Bongo Dar es Salaam, Nimeamini,Joto Hasira ambazo wamezipiga Live show ya BongoFlava Honors. Kwa shangwe hilo la mashabiki kupitia picha hizi unahisi walikuwa wanaperforme ngoma yao gani stejini? #BongoFlavaHonors #LadyJayDee #ProfessorJayTz
EastAfricaTV tweet mediaEastAfricaTV tweet mediaEastAfricaTV tweet mediaEastAfricaTV tweet media
HT
1
8
45
6.7K
Joseph L. Haule retweetledi
Lady JayDee
Lady JayDee@JideJaydee·
Sikutegemea Prof. J angeweza kufika kwa show yangu tena akiwa kajiandaa kabisa na mavazi ya Kikomando. Siku chache nyuma tulikua tuna chat mambo mengine tu ila sikuwaza hata kumuomba afike kwakua sikua nadhani yuko stable kiasi hicho. What a surprise ❤️❤️.
Lady JayDee tweet mediaLady JayDee tweet media
Dar es Salaam, Tanzania 🇹🇿 Indonesia
66
142
2.3K
58.8K
Joseph L. Haule
Joseph L. Haule@ProfessorJayTz·
The HEAVYWEIGHT👑👑👑 Wingi wa Report zaidi ya Gazeti, Akili zaidi ya Server na link za INTERNET , Nimevuka sana Maji ya shingo, Nasaka Bingo, Amani kwa KILLA B , MANDOZA Na KAI SINGO @datdudekb @bongoflavahonors
Joseph L. Haule tweet media
Filipino
77
195
1.8K
46K