Elias Senso (Dr. Welsen) 🩺🇹🇿
12.6K posts

Elias Senso (Dr. Welsen) 🩺🇹🇿
@Dr_Welsen
|| Medical Doctor-St || Research Enthusiast || Mental Health Advocate || Humanitarian Actor || Farm is my home || Rotaractor ||






Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote. Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN. 1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN 2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote 3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN 4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao 5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN 6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN 7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN 8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN 9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand 🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN 1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN 1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN 1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN 1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN 1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN 🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi. Attention = currency. Ukikata support → nguvu inaisha. 👉 No support. Full BAN. #GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow












