Sabitlenmiş Tweet

Nafasi za kazi⚠️⚠️💥💥
Wanahitajika mafreelancers wa kuuza bati.
Mwanza, Musoma, Simiyu, Geita
Kigoma, Bukoba, Shinyanga
Vigezo
Uwe na elimu kuanzia kidato cha nne.
Uwe na uwezo mzuri wa kuongea.
Mawasiliano; 0652594708 tuma meseji tu, (TUMA MESEJI TU!) @goligani @Benjaminkamo
Indonesia































