Edwin Soko

309 posts

Edwin Soko

Edwin Soko

@EdwinSoko4

senior Journalist

mwanza Katılım Kasım 2019
269 Takip Edilen543 Takipçiler
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
K24 Journalist Catherine Wanjeri Kariuki has been Shot by Police in Nakuru while covering Youth-Led Protests.. Hello Tanzanian Journalists let us pray for our colleagues in Kenya
Edwin Soko tweet media
English
0
2
3
503
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Mwandishi Costantine Mathias wa Uhuru Media amekatwa na Jeshi la Polisi jana usiku, Mkoani Simiyu , baada ya kukaguliwa Nyumban8 na kunyang'anywa vifaa vya kazi alisafirishwa kupelekwa Mwanza. Ninatumai jeshi la Polisi litaweka wazi kukamatwa kwake @Nnauye_Nape
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
3
5
295
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Mwandishi wa habari Kazimbqya Makwega amekamatwa leo Mwanza na Maafisa wa Polisi kwa tuhuma za kuandika habari za uchochezi juu ya chuo cha Dodoma (UDOM). Free Makwega
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
0
62
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Happybirthday our President Samia Hassan Suluhu.
Edwin Soko tweet media
English
0
0
1
52
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Congratulations Catherine and God bless your Saint Journey.
Edwin Soko tweet mediaEdwin Soko tweet media
English
0
0
2
70
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
What is your comment for this results?
Edwin Soko tweet media
English
0
0
0
53
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
*Received H.E Huang Xia, Special Envoy of the UN Secretary-General for the Great Lakes Region. Discussed DRC. Shared H.E @SuluhuSamia view on dealing with the root cause of the situation. We agreed to pursue complementarity of multiple political and military initiatives for DRC.*
Edwin Soko tweet media
English
0
0
1
35
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Je hatua hii ya UWT dhidi ya Mbunge wa Babati ni sawa?
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
2
63
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
The Tanzania Government should join the Group on Earth Observations as a member as part of GEO WEEK 2023 in Cape Town because it has many benefits.
Edwin Soko tweet media
English
0
0
0
51
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
ATCL chukueni hatua kuondoka bad image kwa kuna kero kubwa kwa abiria wanao coonect kwa kutumia ndege za ATCL nimeachwa na Ethiopia Airline kwenda Capetown kwa uzembe wa ATCL kutokea Mwanza. Halafu mnahelewa kututafutia ndege nyingine. @AirTanzania
Edwin Soko tweet media
Filipino
0
0
0
73
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Namwandikia barua rasmi Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge ya katiba na sheria Mh.Mhagama kumshawishi awasilishe muswada binafsi wa sheria ya ulinzi wa waandishi wa habari wanapotimiza majukumu yao walindwe na sheria ili wawe salama. @bunge_tz
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
0
48
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Hii ndio tofauti wa kuwa na redio ya Taifa na redio ya Serikali.
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
0
45
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Hapa naipongeza Serikali kwa ufafanuzi huu lakini pia haitoshi lazima watendaji wa halmashauri ya Mji ifakara wachukulie hatua na waombe msamaha kwa upotoshaji. Pia wasome vizuri the Access to information Act na katiba pia . @Nnauye_Nape @UTPCtz @OJADACT2
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
1
82
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
It was another good time for me to meet the Swedish ambassador in Tanzania Charlotta Ozaki Mecias and congratulate 60 years of cooperation between Sweden and Tanzania
Edwin Soko tweet media
English
0
0
0
29
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Moja ya mafanikio ya ukusanyaji wa kodi kwa TRA ni kuongezeka kwa uelewa wa wananchi juu ya masuala ya kodi
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
0
29
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
The PPP  in the mining sector is very crucial. The link  between the government and the private sector will add value to the countries of the Great Lakes member states . PPP can touch processing, refinery or smelting. This was my concern today at the ICGLR Forum here in Kinshasa
Edwin Soko tweet media
English
0
0
1
50
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Pan-Africanism was the attempt to create a sense of brotherhood and collaboration among all people of African descent whether they lived inside or outside of Africa. Viva Africa
Edwin Soko tweet media
English
0
0
3
48
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Ushauri kwa Mkuu wa Majeshi Nchini(CDF) azuiwe maafisa wa Jeshi kutoa taarifa za ndani ya Jeshi zinazohusu (Imara au udhaifu) public , tabia hii haina tija kwani inazusha mijadala isiyo na ulazima. Taarifa ya Jeshi letu kuwa la 6 Duniani ingebaki kuwa ya ndani .
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
1
4
113
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Mwandishi wa habari Aloyce Nyanda baada ya kuhojiwa central police Mwanza kwa tuhuma za matumizi ya mtandao, simu yake inashikiliwa kwa uchunguzi. Polisi watumie hekima ili walinde uhuru wa vyombo vya habari .
Edwin Soko tweet media
Indonesia
0
0
1
76
Edwin Soko
Edwin Soko@EdwinSoko4·
Mwandishi wa habari na mchambuzi Aloyce Nyanda ni kweli alishikiliwa na jeshi la polisi Mwanza kwa tuhuma za matumizi ya mitandao na baadaye akaachiwa. Tunaendelea kufuatilia juu ya tukio hilo na usalama wake
Edwin Soko tweet media
Filipino
0
0
3
87