OJADACT

351 posts

OJADACT banner
OJADACT

OJADACT

@OJADACT2

Non governmental organization that strengthen Journalists capacity in reporting against crimes in Tanzania. Stopping Crime is My Duty, Your Duty and Our Duty

Mwanza, Tanzania Katılım Mart 2022
117 Takip Edilen96 Takipçiler
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
" Nchi 23 kati ya Nchi 48 za Afrika zimepata wastani mbaya au mbaya zaidi kwenye kuheshimu uhuru wa vyombo vya habari Afrika hali hii inaashiria ulinzi na usalama wa waandishi wa habari sio nzuri Afrika" @EdwinSoko4 OJADACT @tanpol
OJADACT tweet mediaOJADACT tweet media
Indonesia
0
2
3
55
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
OJADACT leo imeshiriki kwenye kutoa mada ya uzoefu wa hali ya ulinzi na usalama kwa Nchi nyingine za Afrika; learning and knowledge sharing kwenye mdahalo wa kitaifa kuhusu ulinzi na usalama kwa waandishi wa habari ulioandaliwa na @UTPCtz
OJADACT tweet media
Filipino
0
1
2
33
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
Mwenyekiti wa OJADACT @EdwinSoko4 , akiwa na waandishi wa habari wa DRC Fistore Kongobame na Jogo mangongo , Hilton Hotel Kinshasa wakibadilishana mawazo juu ya hali ya usalama wa waandishi wa habari Nchini DRC. @UTPCtz
OJADACT tweet mediaOJADACT tweet media
Indonesia
0
0
2
63
OJADACT retweetledi
UN Office on Drugs & Crime
Globally, more than 296 million people used drugs in 2021 – a 23% increase over the previous decade. The vulnerable, the poor and the marginalized are most at risk. More facts in our World Drug Report.: bit.ly/DrugReport2023
UN Office on Drugs & Crime tweet media
English
4
14
24
3.1K
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
Agness Kayuni chief party wa @InternewsTz aliongea na waandishi wa habari wa Mkoa wa Mwanza kwenye warsha ya siku mbili baina vyombo vya habari na AZAKI
OJADACT tweet media
Indonesia
0
0
0
7
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
Washiriki wa warsha ya siku mbili ya kuboresha mahusiano baina ya AZAKI na Vyombo vya habari iliyoandaliwa na @InternewsTz kwa kushirikiana na OJADACT jijini Mwanza wakiwa kwenye kazi za vikundi.
OJADACT tweet media
Indonesia
1
0
0
14
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
OJADACT inashiriki mafunzo ya siku tatu ya kuwajengea uwezo wanachama wa mtandao wa mashirika ya kutetea uhuru wa kujieleza (CORI) yanayofanyika Mkoani kilimanjaro. @EdwinSoko4 @UTPCtz @mctanzania
OJADACT tweet mediaOJADACT tweet media
Indonesia
0
1
0
36
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
OJADACT yaipongeza Serikali kwa kuimarisha utendaji wa Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya Nchini(DCEA) inayoshughulika na uthibiti kwenye uzalishaji, usambazaji na utumiaji wa dawa za kulevya Nchini" pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti Edwin Soko.
OJADACT tweet mediaOJADACT tweet media
0
0
0
21
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
Rais Samia Suluhu amewaangiza wafanyakazi wa Mamlaka ya kuthibiti na kupambana na dawa za kulevya kufanya kazi kwa weledi na kujituma ila wasije ingia kwenye uonevu wa kuwabambikizia watu kesi za dawa za kulevya kwa chuki binafsi.
Indonesia
0
0
0
7
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
"Nayapongeza mashirika yasiyo ya kiserikali yanafanya kazi kubwa kwenye kutoa elimu juu ya athari za dawa za kulevya" Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani. @wizara_afyatz @Maelezo1 @AmrefTanzania @
OJADACT tweet media
Indonesia
1
0
1
31
OJADACT retweetledi
UN Office on Drugs & Crime
📣 Save the date Global launch of the 2023 #WorldDrugReport! Join as we take a deep dive into the impact of drugs on the environment in the Amazon, key drug trends by region & more! 📅 26 June 🕐 2 - 4 p.m. (CEST) 🔗 bit.ly/3Ch0PNp
UN Office on Drugs & Crime tweet media
English
0
30
57
6K
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemkabidhi tuzo Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yakiyofanyika jijini Arusha. @UNODC @AmrefTanzania @wizara_afyatz @Maelezo1
OJADACT tweet media
Indonesia
0
0
0
12
OJADACT
OJADACT@OJADACT2·
"Jukumu la kupambana na dawa za kulevya linaanzia kwa mzazi na mlezi wa watoto hivyo tubebe majukumu yetu kama wazazi" hayo yamesemwa na Rais Samia Suluhu kwenye maadhimisho ya kitaifa ya siku ya kupambana na dawa za kulevya Duniani yaliyofanyika Jijini Arusha. @wizara_afyatz
OJADACT tweet media
Indonesia
0
0
0
12