BoT nimesikia wametangaza ajira kigezo cGPA ya 4.0 and above. Ninyi wenye viGPA vya kuombea maji nendeni mkawaambie kuwa na GPA ya 4.0 and above sio kigezo cha kuwa mfanyakazi bora. Heshima, maadili na huruma ndo muhimu. Kwamba mtu anaweza kuwa na 4.5 ila akawa hafai kuliko mwenye 2.6 tuone kama watawaelewa pumbavu nyie. Muwapelekee na stories fake za watu walioajiriwagwa kwa GPA kubwa alafu wakazingua
Maana mimi huwa nikisema kuhusu kuoa bikra mnasema bikira sio kigezo cha mke bora. Kwamba anaweza kuwa bikra ila akawa na tabia mbaya, mnajitungiaga na stories feki za mabikra waligeuka malaya walipoolewa
Wanangu hivi kama mtu hatumii pombe au kilevi chochote kile zaidi ya maji na 7up tu.
Akienda club kuna kitu gani ambacho ni unyama anaweza kufanya na akawa hajapoteza mda wake? 🤔
@ze_mandevu Gauni la harusi halivaliwi Kila siku ndio maana watu hukodisha, unapoamua kulinunua ukishamaliza shughuli Yako mambo ni mawili la kwanza lenye unafuu ulikodishe Kwa pesa, la pili uwe unaazimisha Bure
Siongelei Magauni na Harusi.
@EsirEid Cha muhimu nikujua sababu ya mchizi kumpiga mkewe , kama kazingua kwanini anyimwe mapigo?, sema Cha msingi zaidi tutafute PESA, Jamaa angekua ndo anaplovide kama Baba mkwe isingefika hapo