Eligius Kitatwile
77 posts

Eligius Kitatwile
@ElyKitatwile7
Student at MUHAS|Minister of Education and Schools Coordination@muhasso 2024/2025|Aspired Researcher.
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Haziran 2023
190 Takip Edilen76 Takipçiler

@mkainerugaba God will punish you the same way. Power is transient.
English
Eligius Kitatwile retweetledi

Heshima haiombwi, inafanyiwa kazi. Ukipewa nafasi na ukashindwa kuonyesha jitihada zako, usitarajie huruma za umma zitaziba pengo la bidii usiyowahi kuweka.
#ItendeeHakiNafasiYako.
Indonesia
Eligius Kitatwile retweetledi

Nawatakia nyote kheri katika Sikukuu ya Krismasi. Tusherehekee na kujumuika na familia, ndugu, jamaa na marafiki kwa furaha na upendo.
Historia ya kuzaliwa kwa Yesu Kristo itupe pia tafakari juu ya mwanzo mpya katika utekelezaji wa majukumu yetu ya kila siku, juu ya upendo kwa ndugu na jirani, juu ya uzalendo kwa Taifa letu, juu ya kuishi katika kweli, juu ya unyenyekevu tunapojaaliwa nafasi za kuwatumikia wenzetu, na juu ya shukrani. Tuungane pia kuiombea nchi yetu iendelee kudumu katika amani, umoja na utulivu.
Mwenyezi Mungu awabariki nyote.

Indonesia
Eligius Kitatwile retweetledi

Tamasha la pili la IJUKA OMUKA 2024 (KUMBUKA NYUMBANI) Bukoba. Limefanikiwa sana kuhamasisha maendeleo na utamaduni wa vyakula na mavazi asilia mwendelezo wa BUHAYA FESTIVAL iliyofanyika Oktoba Mlimani City DSM. Shukrani mgeni rasmi Mhe Dotto Biteko naibu Waziri Mkuu. Pongezi muandaaji RC wetu hodari Mhe Hajat Fatma Mwassa - Ma KATALEMWA (asiyechoka), Waziri Mambo ya Ndani Mhe Innocent Bashungwa. Kwa kauli moja wadau wote tumempongeza Mhe Rais Samia kumteua "Ma Katalemwa" kuinua mkoa kwa hamasa zake chanya kutupa moyo na matumaini mapya.
"Tweyememu. TWAKILA".. KAZI IENDELEE.
Vazi la wanawake miaka ya 50 liliitwa LIBATA EMPIYA (max dress) ndilo hilo. Tofauti na Rwanda Muhaya anajisitiri mabegani na mtandio wake.

Indonesia

@Nassirjr753 Birthday blessings to you Hon. Nassir @Nassirjr753
English









