Emmanuel

4.9K posts

Emmanuel

Emmanuel

@EmmanuelNasa

🐋🐋

Katılım Ocak 2017
1.3K Takip Edilen1.1K Takipçiler
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@Tweener003 Watu ni wezi sana mkuu, kioo kimoja anataka akuuzie bei ya kununua vitatu.. wizi na tamaa
Indonesia
0
0
0
86
PàChâ#1738 💫
PàChâ#1738 💫@Tweener003·
Nimeona jamaa anasema bei za vioo vya simu kule Tiktok kama A05 ni 16k tu , ila kuna watu wanamkasirikia kutaja bei kwamba anawaharibia biashara, sasa kosa lake lipi duuh .
PàChâ#1738 💫 tweet media
Indonesia
38
31
308
22.3K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@INFLUENCERjr Huyu Utopolo kampima sa ngapi Diara na kujua hajaumia
Indonesia
0
0
1
157
WHYMYCATISSAD
WHYMYCATISSAD@INFLUENCERjr·
Kitendo hiki kingefanywa na mzawa nina uhakika hii ndio ingekuwa game yake ya mwisho kuchezea hii timu ila ndo hivyo ni mgeni…!!!
Filipino
37
33
371
20.9K
richardfutbal
richardfutbal@richardfutbal·
Ooooh Waziri Jr King Of CCM Kirumba anapeleka maumivu makubwa Jangwani ooh Comeback ya Kimatafa 🙌🏽🔥😅
Indonesia
3
17
387
15.3K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@denniehanda Wengine wanaenda hadi na makombe 'fake' uwanjani.. sembuse hayo maandishi tu..
Indonesia
0
0
0
24
Dennie Handa
Dennie Handa@denniehanda·
Kweli nimeamini kuna agenda dhidi yetu, hii jezi ina shida gani? Mtu asiwe na matumaini mema juu ya chama lake? 😂
Telegraph Football@TeleFootball

✍️ 'Pre-emptively declaring your side to be title winners is not just embarrassing and naff: it’s the sort of presumptuous, entitled behaviour that invites the harshest of punishment from the footballing gods,' writes @alantyers And it's not just Arsenal fans who are guilty. Read Alan's column ⬇️ telegraph.co.uk/football/2026/…

Indonesia
6
0
8
1K
WelBeast
WelBeast@WelBeast·
@UtdFaithfuls We were helping your keeper raise his weak arm. Wilson was holding our keeper’s strong arm down.
English
56
136
3.2K
40.8K
UF
UF@UtdFaithfuls·
Here's Saliba doing even worse to our keeper. Feel sorry for West Ham because they've been absolutely ROBBED, and this single decision might get them relegated. All we ask for is consistency.
UF tweet media
English
300
842
5.5K
247.2K
Emmanuel retweetledi
WelBeast
WelBeast@WelBeast·
Arsenal fans are you enjoying the tears from rivals? These tears taste so delicious I tell you. 😂😂😂😂
English
1K
2.4K
15.7K
129.1K
B.
B.@InvertTheWing·
10/05/2026. I am announcing retirement from watching The Premier League. Do not ask me about anything Premier League related. The league is fucking corrupt. A complete and utter joke. I am cancelling my Manchester City season ticket, and I am also cancelling my nephew's. Dogshit product.
English
1.3K
488
8.1K
666.7K
lobistars🇳🇬
lobistars🇳🇬@john322226·
When Arsenal block goal keepers during corners, they allow the goals but when other clubs do same thing, they canceled the goal. This isn’t football, this is cheating.
lobistars🇳🇬 tweet media
English
835
187
1K
35.8K
Lea
Lea@Lea_EFC·
LETS ALL LAUGH AT ARSENAL 😂😂😂😂😂🤩🤩🤩🤩🤩🤩🤩😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂HOLD THAT MFS 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂LETS GET THIS PARTY STARTED😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
English
834
144
1.8K
290.3K
LERRY
LERRY@_AsiwajuLerry·
IT WILL GO DOWN IN HISTORY THAT ARSENAL NEEDED VAR AND PGMOL TO HELP THEM WIN THE LEAGUE.
English
3.5K
2.6K
18K
643.5K
Uzenvic
Uzenvic@IamUzenvic·
@WestHam Heartbreaking. Callum Wilson equalises in 90+5 and VAR disallows it for a soft foul on Raya. West Ham robbed of a massive point in the survival fight. The boys showed unbelievable CHARACTER and fight today. 💔💔💔💔😭😭😭😩 #WHU #COYI
Uzenvic tweet mediaUzenvic tweet media
English
28
2
46
9.8K
WEST
WEST@BlackRabbit_Cil·
@WestHam Arsenal has also be holding up the opposition keepers this season then all of a sudden now is the foul.
WEST tweet media
English
24
2
26
23.6K
Berneese
Berneese@theberneese·
Arsenal do this every game by the way
Berneese tweet media
English
1.4K
913
11.8K
390.8K
Emmanuel retweetledi
Arsenal
Arsenal@Arsenal·
ANOTHER BIG STEP.
Arsenal tweet media
English
5.1K
23.2K
94K
2.2M
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@mfc_mrpage They wont sacrifice anything, they will be battered 2mr.. Chill
English
0
0
0
32
Mr.Page™
Mr.Page™@mfc_mrpage·
West Ham United don’t sacrifice your season because of Arsenal title race. Fight for your survival, this is just another game, and you can absolutely win it. Let's do it.
English
191
169
2K
40.1K
Emmanuel
Emmanuel@EmmanuelNasa·
@Wakazi Mkuu umeandika Mengi sana, Itoshe kusema kuwa tuna Mfano HAI. HARMONIZE!..
Indonesia
0
0
3
286
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
BONGOSTAR SEARCH: HII HAPANA Hatuwezi kukuza VIPAJI VIPYA kama tutakuwa tunavi HUMILIATE, MISTREAT & UNDERMINE kwa this type of unfair judging & condescending approach. Huyu Binti anaimba, rap, na ni bilingual mwenye personality na exposure ya ulaya. Hizo ni Taarifa ambazo amezitoa ndani ya sekunde 20 za mwanzo; zilitosha kwa yeye kupewa BENEFIT OF DOUBT, na hata namna ya ku-engage nae ingeweza kuwa friendlier na yenye way more entertaining content than kum-shutdown hivi! IKUMBUKWE; Washiriki ni AMATEURS na WAKO NERVOUS. Unaweza kuwa INDIFFERENT & UNBIASED as a JUDGE ila sio kuwa CRUEL; you can KILL THEIR CONFIDENCE na hata kama anajua akafanya BAD PERFORMANCE. Ndio maana WAZOEFU humfanya Mshiriki a-relax, kumsifia alivyovaa, kumuuliza nini anaimba, kum-wish goodluck, ili a calm down kabla ya kuperform. MFANO mimi kama Judge, ningemtania kuhusu BRITISH ACCENT yake, au ningemuuliza LONDON alikuwa anafanya nini, etc. Way BETTER CONTENT for THE AUDIENCE. Alafu disqualification yake ni kuwa SAUTI IKO CHINI, Really? Hicho si ni kielelezo tosha kuwa SHE IS NERVOUS? 🤷🏾‍♂️ Mimi nimemsikia kuimba anajua (hajakosea kitu), na angeruhusiwa 5-7 more seconds ambapo wimbo ulikuwa unaenda ku-TRANSITION, ndio tungejua uwezo wake zaidi. Na hivyo hivyo kwenye ku-rap, ame-rhyme, ameflow na amekaa kwenye pocket; Mashairi yake kweli ni Explicit ila sio kiiivyo. Hata kina SIMON COWELL, wakiona RAW POTENTIAL, ila iko nervous, huwa wanasimamisha encourage them, then wanawapa second chance, na sio kuwa dismiss. Na mtu wa hivyo DEVELOPMENT & GROWTH ARC yake inaenda as anaendelea kuwepo kwenye Shindano na pia inawapa Audience nafasi ya ku-fall in love with Washiriki. Mimi, WAKAZI, as a former judge wa UNITALENT SHOW, huyo dada ANAJUA KUIMBA; anaimba kwa Mix ya “HEAD & CHEST VOICE” na LOWER REGISTER MEZZO ALTO ndio her VOICE TYPE. ANAWEZA KU-RAP pia na Content yake inashabihiana na Female Rappers wa kisasa (Meg The Stallion, Sexy Red, Latto) so hiyo VERSATILITY yake ni golden. Ana PERSONALITY and Particular SENSE OF FASHION with GOOD COMMUNICATION SKILLS (English & Swahili). Na hizo zote ndio QUALITIES ZA KUTENGENEZA A STAR. You can do better… The Leader
Filipino
206
212
1.1K
138K
GABBY
GABBY@IamGabby_01·
@shibobo___ Mtoto mng'ang'anizi sana kama hapendwi hapendwi tu
Indonesia
3
0
5
1.8K
R.M
R.M@shibobo___·
Na mwanangu amesoma sec mpaka chuo hamjui Baba yake kalelewa na Baba wa kambo, Kapiga mishe now ana pesa nzuri na kamtafuta Baba yake kampata, Mwezi ujao anaoa Mama anafosi Baba wa kambo asimamie ndoa dogo anamtaka Baba yake halisi, Final Baba halisi kakubali hatoshiriki ndoa
Filipino
44
52
599
36.5K