Peace
1.2K posts


Mkurugenzi Saudi Pro League🗣
Cristiano alikuja hapa kwa ajili ya pesa tu na malengo yake binafsi, si kwa shauku. Tunampa mshahara wa juu zaidi duniani kwa mchezaji, tukimsaidia kufikia lengo lake la mabao 1000. Hata baada ya MGOMO wake, tulikubali kumuunga mkono katika kushinda kombe. Bado, anatumia maneno kama hayo na kuipa ligi sifa mbaya duniani kote. Anaweza kuwa mwanasoka mwenye umaarufu mkubwa, lakini katika suala la uwezo, sidhani kama yeye ni hata kati ya wachezaji bora 20. duniani"

Indonesia

@fintanjr_ hawa vijana wenzetu ndo wanafanya tusiaminike kwenye kampuni za watu, sijuhi ni bange au nini kunatusumbua vijana
Indonesia

Nitakuwa serious kidogo✍💔,.
Kuna siku nilikuja humu X na kupost natafuta kijana wa kufanya nae kazi , well, Dm ikawa busy sana na vijana wengi wakaja so katika ile pool nliselect mmoja, ambaye kwenye kuzungumza nae nlihisi imani kumsaidia, ..ila kwa kuwa hakuwa na Guarantor wala makazi ya kudumu akiwa amepanga na rafiki yake sinza, for security nikamuomba kitambulisho OG (nida) na cheti nikawa nimehold
Bhas, kwa kuwa ofisi ilikuwa tayari , nikampa training na kuingia kazini,.. But kila siku vioja, ndani ya week moja ana loss kubwa tu,. nidhamu zero, nikaona sio kesi nimvumilie, hiyo siku kaingiza loss halafu anataka kuacha kazi,.. Sikudai hata mia, nikamwambia aje achukue kitambulisho na cheti, .. Kwa kifupi akaondoka vibaya sana while nlikuwa namtreat kama mdogo wangu wa damu,..
Leo anatuma hii sms, !! hivi ukipata kazi ndio uondoke hovyo mahali ulipo!? .. Vijana wenzangu, fursa ikija hata kama inakupa mia, we kuwa na adabu, maana hicho kidogo kwako ni ndoto ya mwingine na hata wewe hukuwa nacho ndio maana ulitafuta kazi .
Sitamtag handle yake ila nadhani iwe somo kwa kuwa mnatufundisha kuwa na roho mbaya na watu tuliowaona ukubwani🚮💔.
nb. nimeileta humu coz kijana nlimpata humu.

Filipino

#TajiriLaKihaya
Kama Tumeshindwa kuifanya hii kazi Wenyewe…
Basi Arsenal Tusahau UBINGWA WA LIGI…
Tuwekeze nguvu zetu UEFA…
Indonesia

@swahilitimes Kule ulaya ndomaana wameweka VAR, huyo refa nae ni binadamu siyo kipa tukio ataona na kutafsiri vzr
Indonesia

Leo tunakumbuka miaka mitano tangu kuondoka kwa John Magufuli. Lakini kumbukumbu ya kweli haiwezi kufutwa wala kupambwa lazima iseme ukweli. Kipindi chake cha uongozi kiliacha alama nzito , hofu ya kisiasa, kubanwa kwa uhuru wa kujieleza, na maswali makubwa juu ya haki katika chaguzi na ukatili mwingi. Haya si maneno ya chuki, ni kumbukumbu ya waliopitia mazingira hayo na waliolazimika kunyamaza.
Tuseme wazi bila kupepesa macho, mifumo ya ukandamizaji na hofu iliyojengwa kipindi hicho bado inaathiri namna siasa na uchaguzi vinavyoendeshwa hata leo. Hii si historia iliyopita tu ni sehemu ya changamoto tunazokabiliana nazo sasa. Kumkumbuka leo si kuhalalisha yaliyopita, bali ni kusisitiza wajibu wetu wa kuyakataa. Hatutaki taifa linaloongozwa kwa hofu, tunataka taifa linalojengwa juu ya haki, uhuru, na uwajibikaji. Kumbukumbu hii iwe wito. Tusinyamaze. Tusisahau. Tusirudie na kuendelea na makosa yale yale.

Indonesia





















