"Naona watu wanaihusisha sana Singida kwenye hili la Damaro lakini niwaulize kitu, ukiuziwa mali ya wizi utaachwa kukamatwa kama mwizi?
- Crescentius Magori (Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba)
𝐄𝐃𝐆𝐀𝐑 𝐊𝐈𝐁𝐖𝐀𝐍𝐀 ✊
Ukitaka kufahamu historia, kulijua soka la Italia na kila kitu kuhusu soka la Italia basi pata muda umskie Edgar Kibwana (Mtangazi wa CloudsFm) akiwa analielezea soka la Italia, hutojutia... ✍️🏽
He knows the Italian Football well and punch anayotoa 🔥