Sabitlenmiş Tweet
FesMofe
3.1K posts


@lifeofmshaba Mtasubiri sana ,Hamna tofauti na fisi anayesubiri mkono kudondoka.
Indonesia

@zoetjesheeftX Unachekewa Mama,Tumekosa uvumilivu .
Toa onyo kali kwa TEC pia waache kuigawa Tanzania.Wafundishe injili na si kupandikiza mbegu za kuwachukia viongozi wakuu juu Tanzania ,hasa Raisi na Raisi mstaafu.
Suomi

@mwananchidr Hivi TEC inataka Nini Tanzania?
Serikali chukueni hatua kali .Tumechoka na hawa maaskofu wanao tugawa
Indonesia

@mwananchidr Acheni upumbavu.Msiingize mambo ya siasa kwenye injili.Injili ni mambo ya kiroho
Indonesia

📌 MANGE KIMAMBI ACHAFUKWA TENA...
Mwanaharakati Mange Kimambi ameibua mjadala mzito kupitia ukurasa wake wa X, baada ya kuandika ujumbe unaogusa hali ya kisiasa na mustakabali wa nchi.
Katika ujumbe wake, ameandika:
“Aisee, hii inaitwa hakuna wa kunifanya kitu na sijali.
Watanzania nawaita mara 3, nchi imetekwa na majangili ni lazima kila mtu ajitoe. Hakuna namna.
Hii haina uCCM tena wala uChadema tena. Huu ni wakati wa Watanzania wote kuungana ili tuwaondoe hawa mashetani madarakani.
Aisee, mnajua kimama hana aibu wala hajui vibaya. In short she doesn’t care anymore. Kaamua kufirigisha nchi. Na bado kuna Watanzania wenye low IQ inadhaan kuna katiba mpya atayileta huyu mtu..
Kibaya zaidi kuna Watanganyika bado wanaendelea na uchawa sababu ya kuendeleza njaa za kijinga.”
🗣️ Kauli hii imezua mjadala mkubwa mtandaoni, huku baadhi ya watu wakiiunga mkono na wengine wakipinga vikali,
👉 Je, wewe una maoni gani kuhusu kauli hii??
Follow @zoetjesheeftX

Indonesia

@ayubu_madenge Maaskofu wameacha kutangaza injili na kujiingiza kwenye siasa.Tumfikushie habari hizi Papa .Ninashare na atafanya tafsiri mwenyewe .
Indonesia














