MANJU
22.4K posts

MANJU
@FkManju
🇹🇿 | Hiphop | Experienced in Sales & Marketing| Good kid from Mad streets| Philosophical sometimes

I’ve been told ukiota kitu ni vice versa yake, ukiota harusi basi msiba ila for unknown reason mimi nnachoota ndio kinachotokea kweli 🥺 niliwahi kuota my now ex ametembea na rafiki angu, nikamwambia rafiki angu akanicheka kumbe wametiana kweli 🤣🤣


October 16th, 2001. Happy 24th anniversary to Masta Ace's "Disposable Arts".

VIDEO: Kamati ya Uongozi wa Chama cha ACT Wazalendo @ACTwazalendo inatarajiwa kukaa kikao cha dharura usiku wa leo Oktoba 15, 2025 ili kujadili na kuamua ni namna gani wanachama wa chama hicho watapiga kura ya Urais au watampigia nani. Kikao hicho ambacho kitaongozwa na Kiongozi wa chama hicho Dorothy Semu, kimekuja baada ya uamuzi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala ya Dodoma kutoa uamuzi unaomnyima aliyekuwa mgombea Urais wa ACT Wazalendo Luhaga Mpina kugombea mwaka huu. Kiongozi Mstaafu wa chama hicho, Zitto Kabwe @zittokabwe ambaye ni Mgombea Ubunge jimbo la Kigoma Mjini na Mjumbe wa kamati hiyo alitoa taarifa akizungumza na wananchi na wakazi wa kata ya Kipampa jimboni hapo huku akieleza kuwa yale yatakayoamuliwa na chama atawatangazia wafuasi wake wa Kigoma Mjini kesho au wakati ujao(keshokutwa). "Usiku wa leo kamati ya uongozi wa chama chetu chini ya kiongozi wetu wa chama Dorothy Semu kitafanya kikao cha dharura kwa ajili ya kutoa maelekezo kwa wanachama namna gani tutapia kura ya urais na kama kamati ya maamuzi itafikia muafaka kama sio leo au kesho nitatangaza rasmi maelekezo hayo ya chama kuhusu nafasi ya mgombea Urais" amesema Zitto.





