#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!!
114K posts

#KitaaREJEX OUT NOW..!!!
@FidQ
The Top Of Rap's Elite | Tanzanian Hip Hop Artist | Vision Imple-Ment(e/o)r - Bookings: [email protected]
Tanzania Katılım Şubat 2010
592 Takip Edilen338.1K Takipçiler
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

🗣 @dicazzitz anasema kwa sasa rapa wakubwa Tanzania kama @FidQ na @StaminaTz ustaa sio kitu tena kwao.
#PlanetBongo
Indonesia
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

#Mwanamalundi @FidQ Uyu mzee anazeeka na makali yake km kisu cha buchani 🙌🙌🙌🙌
#BadoHipHop Cc @LucasOdero8 @BabuBomba4
Filipino
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Farid Kubanda maarufu kama Fid Q, amesema moja ya sababu kubwa inayofanya Muziki wa Tanzania kushindwa kupata Tuzo za Kimataifa kama Grammy ni Wasanii wengi kushindwa kudumisha utambulisho wa muziki wao na badala yake kuiga mifumo ya muziki kutoka Mataifa mengine kama Amapiano na Afrobeat.
Fid Q ameyasema hayo leo Mei 21, 2026 wakati wa uzinduzi wa Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Flava, litakalofanyika Julai 10, 2026 katika Ukumbi wa Mlimani City, Jijini Dar es Salaam ambapo amesema kuwa Tanzania ilisimama kidete kupitia muziki wa Bongo Flava uliokuwa na utambulisho wa kipekee uliobeba lugha, utamaduni na simulizi za maisha ya Mtanzania, hali iliyoufanya muziki huo kutambulika ndani na nje ya mipaka ya nchi.
“Miaka ya mwanzo ya Bongo Fleva ilijengwa na vijana waliokuwa wakielezea maisha halisi ya mtaani, ndoto, changamoto, mapenzi na matumaini ya jamii lakini kwa sasa aina hiyo ya muziki imepungua nguvu, huku baadhi ya wasanii wakiegemea zaidi katika maudhui yasiyo na uhalisia wa maisha yetu na kuhamasisha ngono, tujiulize swali, ukisikiliza Bongo Flava ya sasa, kweli inawakilisha sauti ya Tanzania? Wakati wasanii wengi wanafanya Amapiano na Afrobeat, bado tunaweza kusema tuna sauti yetu ya kipekee?” amesema Fid Q.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

The only thing I can request as a fan is a Vinly Records of his Albums.@FidQ ---#KitaaOLOJIA
English
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

Ile verse ya Fid q kwenye ukisikia Paah remix iko very underrated ila ni one of the best🔥
Eric Does@ErickKamihanda
Bongo top 20 ranking za verse Kali za Hip hop. 1. Hawatuwezi verse 1 - Lord eyes 2. Msela verse 1 - Ngwair 3. Hili game verse 1 - Juma Nature 4. Tunasonga Ist& Autro verse - Hashim Dogo 5. Hii Leo verse 2 - Mwana FA
Filipino
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

Zingua once ni ok,
Twice ni go go awaaaaaaay….
Pray by @FidQ
English
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

Chupa la Pray by @FidQ lipo youtube pale Twende tukalitazame 🙌🙌🙌🔥🔥🔥
#BadoHipHop Cc @gabyconscious @LucasOdero8 @BabuBomba4 @SharoGangstar
Filipino

#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

muda mwingi niko sober kazi na sala kama mkoba....!
naamini Mungu ni mmoja ndo maana, I am a professional....!
@FidQ
Indonesia
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi
#KitaaREJEX OUT NOW..!!! retweetledi

'STUKA' vya gizani navyo huja mwangani/ KUMBUKA
siri ya wawili huvuja kama mmoja bado yupo
duniani/
Kwa hilo nakuapia.. YALIYOTOKEA tutayasikia/hata
ukichimba shimo UKAONGEA na kuyafukia
@FidQ - #KitaaOLOJIA
Indonesia












