Stay

11.3K posts

Stay banner
Stay

Stay

@FocusedKr

Liverpool Fc & Young Africans SC........ 🟡🟢 T.M.K's Favourite Son.

Dar Katılım Temmuz 2017
301 Takip Edilen398 Takipçiler
Stay
Stay@FocusedKr·
@DiianaD_ Damn by kendrick Lamar n Dreamville from J.Cole
English
0
0
0
10
DeeDee🌟
DeeDee🌟@DiianaD_·
Name an album where you can listen to every song from the beginning to the end and not have the urge to skip a song?
English
16.4K
2.4K
46.5K
7.9M
Stay
Stay@FocusedKr·
@bajabiri Longo longo nyiiingi..
Indonesia
0
0
0
6
PurelyFootball ℗
PurelyFootball ℗@PurelyFootball·
🗣 “In 2004, I was very close to joining Real Madrid. They promised me Figo's '10' shirt and the salary I wanted. My wife agreed and wanted us to make that life decision. But I took another path. The path of the heart, for my family, friends, and fans. I wanted to do something different. Everyone was going to Barcelona, Real Madrid, and Bayern Munich. I felt like a different player. I was already good, but different. That's why I chose to stay with my beloved team for my whole career.”
PurelyFootball ℗ tweet media
English
25
216
5K
210.5K
MSHAURI MKUU
MSHAURI MKUU@annamatari995·
@IAMartin_ Unaona sasa Lissu ni aina ya mtu anaependa masifa 😆😆 hamna mtu hapo Hii kesi ingekua chin ya akina Kibatala na ile timu yake kesi ingeenda kisomi sana. Lisu anaongea mambo mengi ambayo ni pumba nyingi na mbwembwe kibao..hafu nyumbu utasikia wanasema anafundisha sheria🙄
Indonesia
45
0
9
7.6K
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Jaji; wewe ni Tundu Antiphas Lissu, ni mwanasiasa ambaye ni Mwenyekiti wa CHADEMA? Tundu Lissu; usiishie hapo, ongeza maneno yafuatayo; siyo mwanasiasa tu, ni msomi wa sheria, hivyo ni mwanasheria, na wakili wa Mahakama Kuu. Ni wakili wa Mahakama hii tukufu.
Martin Maranja Masese tweet media
Indonesia
27
278
2.4K
61.5K
Stay
Stay@FocusedKr·
@spana_Konki 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
QME
0
0
2
135
Spana & V.A.R Movement
Spana & V.A.R Movement@spana_Konki·
Njooni tuwacheke Makolo hapa, huko mtapigwa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Filipino
29
29
439
10.9K
Stay
Stay@FocusedKr·
Kawaida ni kama sheria
Indonesia
0
0
0
8
Stay
Stay@FocusedKr·
@George_Ambangil FIFA wakimaliza kutunga tungunga vi sheria vyao wasisahau kuwatungia sheria wanaopaki ma Abood gorini.. shenzi kabisa
Indonesia
0
0
4
277
George Ambangile
George Ambangile@George_Ambangil·
Kazi ya ukocha ngumu sana . Imagine nini atakuwa anajisikia now scott parker ? Tactically kafanya kile alipaswa kufanya , make it hard for Liverpool . Chagua vita yako , huwezi kwenda punch for punch against the champion.
Indonesia
35
25
785
20.5K
FELIX JASON
FELIX JASON@Iamfelixtz·
"Nimeiona timu yetu kwenye Simba Day na Nimeona watani wetu kwenye tamasha lao la jana, nikiangalia naona kuna kila sababu ya Simba kufanya vizuri. Simba ikishinda tar 16, sisi kama Jayrutty tutatoa Milioni 100 na Golikipa akitoka na Clean Sheet atapata 10m" 🎙️ Joel Rwegasira
FELIX JASON tweet mediaFELIX JASON tweet media
Filipino
43
80
1.3K
21.2K
Stay
Stay@FocusedKr·
@IAMartin_ Kitu kikubwa ninachomshukuru Mungu sija follow hawa jamaa hata mmoja.
Indonesia
0
0
0
18
Martin Maranja Masese
Martin Maranja Masese@IAMartin_·
Baada ya kuwaona wasanii wa sasa karibu wote ni wafuasi kindakindaki wa CCM, mimi na nafsi yangu tukakubaliana kwamba, tutasikiliza oldies (ngoma za kitambo) na ngoma za mbele tu. Hata nikiwa na ‘mshirika’ karibu, atalazimika kusikiliza mikito hiyo. Hata siyo udikteta. Ni misingi tu nimeweka. Naelewa, siwapunguzii kitu katika mitkasi yao, lakini nimeamua kupunguza dhambi zangu. Tutaanza kuwapunguzia (wao) kitu siku tukiwa wengi tunaojitambua na kuacha kufuatilia shughuli zao. Unaweza kusikiliza hata ngoma za WAPOPO tu. Afro Beats kali nyingi. Hawa wasanii wa CCM wanawadharau kwa kuwa matamasha yao mnakwenda, ngoma zao mnasikiliza, mitandaoni akaunti zao mme’ follow na habari zao mnazipenda. Siku mkiwacheua, watajitambua. They won’t respect you until you make them respect you. Respect is earned, not given. #KataaWahuni
Indonesia
119
226
1.4K
39.8K
chizzo drama
chizzo drama@Chizzodrama·
NITABAKI JUU - Stereo Singa singa Vs INCREDIBLE ~ One the incredible???💨
Español
121
41
425
44.8K
Stay
Stay@FocusedKr·
@JumaAyoo Tulia sasa hivi unavyotikisika ndivyo unavyoikatikia
Indonesia
0
0
0
25
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Breakfast ya kimataifa kabisa
Juma Ayo tweet media
Indonesia
149
34
1.5K
79.8K
Geoffrey Lea
Geoffrey Lea@Geoffrey87Lea·
@mpomele31730_s 😂no wonder mashabiki wao wanajua zaidi kutukana kuliko hoja za msingi,u cannot debate in a civil manner with that group
Indonesia
6
1
19
2.6K
Geoffrey Lea
Geoffrey Lea@Geoffrey87Lea·
Yaani ukwame CAS halafu ur next resolution ni kwenda kwenye civil court😂,Mr Bean & Charlie Chaplin combined have never been this comical😂😂
English
101
63
1.1K
57.7K
Maulid Kitenge
Maulid Kitenge@mshambuliaji·
Ripoti Mpya ya Shirika la Waandishi wasiokuwa na mipaka ‘Reporters Sans Frontières’ (RSF), imeiweka Tanzania katika nafasi ya kwanza katika ukanda wa Afrika Mashariki Uhuru wa Vyombo vya Habari. Ripoti ya Shirika hilo la Ufaransa, iliyotolewa Jumamosi, siku ya kila mwaka ya Uhuru wa Vyombo vya habari iliyoanzishwa na Umoja wa Mataifa, inaiweka Tanzania katika nafasi ya 95 katika nchi 180 zilizofanyiwa utafiti. Burundi iko katika nafasi ya 125 na alama 45/100, ikishuka chini nafasi 17 kutoka nafasi ya mwaka jana, ilipoorodheshwa ya 108 na alama 51/100. Nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki Sudan Kusini ipo nafasi ya 109, Kenya 117, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 133, Somalia 136, Uganda 143 na Rwanda ya 146 duniani. #KitengeUpdates
Maulid Kitenge tweet media
Indonesia
227
21
464
55.4K
Stay
Stay@FocusedKr·
@JumaAyoo Ukiwa unakatwa sio lazima ututangazie kama unakatwa, km kibuyu
Indonesia
0
0
0
19
Juma Ayo
Juma Ayo@JumaAyoo·
Tuwe wakweli Yanga mnapaswa kujitafakari na maandiko mnayoyatoa,hii ligi ambayo mnacheza ndio inayoongozwa na viongozi ambao hamna imani nao,TFF ya Wallace Karia ina mchango mkubwa sana kwenye mpira huu na mafanikio mliyotapata Acheni maandiko yenye lengo lisilo jema kwa mpira Tz
Indonesia
385
41
845
91.3K
kijana mpole
kijana mpole@BesteNicolas·
Dodoma; kila mtu ni usalama Arusha ; kila mtu tour Guide Kahama; kila mtu ni muuza madini Dar ; kila mtu ni ………?? 🤔🤣
Indonesia
565
68
1.1K
115.5K
Stay
Stay@FocusedKr·
@shaffihdauda1 Endeleeni tu ipo siku kuna mtu au kundi la watu litakuwa mfano.
Indonesia
0
0
0
14
Shaffih  Dauda
Shaffih Dauda@shaffihdauda1·
Ikiwa haya ndiyo yanayoendelea nyuma ya pazia, basi soka letu liko hatarini. Huu si mpira, hii ni aibu!
Indonesia
429
154
1.2K
228.3K
LizyRomanio🤪
LizyRomanio🤪@ShirimaYvonne·
Natamani hapa Tanzania chakula kiishe kabisa zibaki nguruwe tu😃😃
Filipino
103
30
564
41.2K
Stay
Stay@FocusedKr·
@bajabiri Kama hawataki vya laki + wakachukue KIKE 😂😂😂
हिन्दी
0
0
0
26
The SPECIAL ONE ™️
The SPECIAL ONE ™️@bajabiri·
😁😁😁😁😁 Hawa ndo wanaulizaga "kina TV ndani?" Haya sasa hii KIKE ndo ina TV mkanunue Kariakoo
The SPECIAL ONE ™️ tweet media
Filipino
17
5
87
5K
Lil Jizzy
Lil Jizzy@heisliljizzy·
@Wakazi Kwaiyo Wakazi wewe ni Rapper mkali hapo mitaa ya Chicago au ulikua unajaribu kusema nini!?.
Indonesia
1
0
14
1.7K
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader
Siku ya kwanza nakutana na Gsan ilikuwa northside of Chicago, kwenye rap battle ya Wamarekani na sisi. Wanyamwezi walimtambua from the BET cypher so wakataka kushindana nae… ila walilazimika kwanza kushindana na mimi. So nilivyowashinda kaka mkubwa hakuhitaji tena kuchana, na automatically nikawa nime win his respect kabla hata hatujaanza kuongea chochote. From that day, akanishika mkono na kunileta karibu na ulimwengu wao wa Xplastaz; introduce me to Ziggy Lah, J4 Thomas, producer wao (DJ 360), akanipa historia yao, Kifo cha Faza Nelly, Changamoto za Safari yao, story za Bongo Records, Sugu, Hashim Dogo (Walifanya nae ngoma kama 3), etc Ila muhimu zaidi ni kunifundisha jinsi ya kufanyia mazoezi punch ya sauti ili nisikike vizuri zaidi hasa wakati wa performances. #RememberingGSAN #XPZ
Webiro Wakazi Wassira #TheLeader tweet media
Filipino
21
28
310
20.7K