
MKATA UMEME
29.7K posts

MKATA UMEME
@FullDose3
Nafollow back ndani ya sekunde tu, yaani unikigusa tu nimoo
Katılım Ekim 2019
5.8K Takip Edilen10.6K Takipçiler

@anuskills3 Ni basi tu kazi na michongo havipatikani kirahisi mtaani ila kiukweli mshahahara wa 600k ni mdogo sana. Hapo bado hujalipa kodi ya gheto , nauli, kula , na matumizi mengine madogo madogo . Labda hiyo kazi iwe na posho nyingine nyingine ila bila hivyo kupiga hatua inakua ngumu
Filipino
MKATA UMEME retweetledi
MKATA UMEME retweetledi

@zizujo01 Nakukumbusha Tuchel alifeli na Mbappe, Neymar , Messi ila aliipa Chelsea UEFA
Indonesia

Hii kubwa sana
Young Africans SC@YoungAfricansSC
Muonekano wa Uwanja wa Klabu yetu ambao unatarajia kujengwa katika Makao Makuu ya Young Africans SC Jangwani kwenye eneo la Uwanja wa Kaunda ukitarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000. #MkutanoMkuuYASC2023 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
Eesti

Wametisha wataonesha mechi zote 104🙌
SANUKAnaCHAPO@chapo255
Wenetu wame win haki za kuonesha Kombe la Dunia🙌
हिन्दी

@ThomzJoseph Wanasemaga hivyo hivyo subiri game zianze unakuta wanaonesha baadhi
हिन्दी

@fubusa68237 @maestrochance_ Utakua umepita njia ya mzunguko sana mkuu
Filipino
MKATA UMEME retweetledi

Oktoba 21 ya mwaka 2019 ndio ilikuwa siku ya kwanza kwa GEORGE AMBANGILE kuhamia Wasafi Media nikiwa " Football Analyst " . Nilipokelewa vizuri , nikapewa platform ya kuonesha kipaji changu , nikakua zaidi .
Baada ya miaka takribani Saba , cycle yangu imefikia tamati ndani ya Wasafi Media . It was quite a journey na najivunia , nashukuru , na kuthamini kila dakika niliyotumikia Wasafi Media .
Naishukuru sana Kampuni , imenipa vitu vingi sana ,moyo wangu umejaa shukrani .
Kipekee kabisa namshukuru CEO @diamondplatnumz kwa thamani uliyonipa , i will never forget it . Asante sana Boss .
Bila kusahau nawashukuru wafanyakazi wenzangu wote ambao tumefanya kazi kwa pamoja Wasafi Media kuanzia kipindi cha michezo mpaka wa vipindi vingine na wafanyakazi wa idara tofauti , mchango wenu kwangu una thamani kubwa sana . God bless you all .
Wale wote ambao walinipa thamani ya muda wao , masikio yao kusikiliza kazi yangu Radioni , cha kuwalipa sina maana bila nyie ngumu kuwa na George Ambangile bora , nawashukuru sana tena sana . Ambangile hayupo tena Wasafi Media lakini naomba muendelee kuwa " LOYAL " kwa Wasafi Media . ASANTENI SANA
THANK YOU SO MUCH WASAFI MEDIA AND GOODBYE
" The World is Yours "
GEORGE AMBANGILE 🤝

Indonesia
MKATA UMEME retweetledi

@emabilly2001 Sis wenye mpango wa kumiliki Taser inahitaji lesen kwan
Indonesia

















