
@_sneakernyame Fransisco Alarcon Roman Suarez" Isco" is clear to cherki
English
PhilTech3297
1.1K posts

@GasperPhilbert
When the going gets tough,The Tough Get going







Nikki Mbishi kanyimwa Tu uwezo wa Kutoa Hits kama Jay ila Nikki anaweza Kua mkali Kuliko Jay 🤔













Chobwedo anastahili NT kabisa na anaweza kuongeza stability pale Kariakoo. Ana kasi inayohitajika kwa Mshambuliaji🙌🏻🙌🏻 Kibabage atalala amechoka sana kwa vile alivyochezeshwa. Anajua kuhold off defender kwenye duels Kitu cha kuboresha kwake ni End product yake tu. Mchezaji sana




