George Job
13.7K posts

George Job
@GeorgeJob14
Sports analyst Wasafi Media
Dar es Salaam, Tanzania Katılım Ocak 2020
252 Takip Edilen211K Takipçiler

@mentor209 @TriciaAbou Kwahiyo hii misikiti tunaweza kuita sinagogi? Na wenyewe wanajua hilo tusije kuita sinagogi ukaanza ugomvi. Nijue hapo tu, maana mimi napendaga majina halisi.
Indonesia

@Laudrupszn I dont know much about history but he is among the top midfielders..in my list he is in those 5 yes.
English

Top 5 playmaker in the history of this sport
jf1@jf1_szn
Juan Román Riquelme - Copa Libertadores 2001
English

@hilaly_hassani Sisi tukatoa Fagioli tukabaki na Miretti mamaee..😂
Suomi

@bonifacejoseph_ Tupe na hesabu ya wanufaika wa bima kwa mwaka kuna kitu nataka kujifunza.
Indonesia

@vliandro_gerald Uta yaona hayo magoal mpaka siku utapo amua kuyacheza ndio uta shangaa na roho yako.
Filipino

@GeorgeJob14 Huko per day kuna over 24+ matches na nyingi zinatoa sana magoli... Ni mtu sasa kyfanya proper analysis na uchaguzi mzuri tu na bahat... 😂
Filipino

@daudi10emmanuel If they have same productivity on the pitch then what makes Messi be Messi and separate him from Neymar? I just want to understand better what u mean.
English

@Iric_WatchMe @JackRthythm 3 chache kaka..nashauri mechi 10, akikataa kuelewa inabidi nyie ndio muelewe au mheshimu mtazamo wake.
Filipino

@JackRthythm Jaribu kumuangalia akicheza walau 3 consecutive games utatuelewa
Indonesia

@JackRthythm @reallymagnifico Mtazame vizuri tu Leao kwenye mechi 10 uta elewa wanacho sema.
HT

@rayasel94 Kuna namna ukiangalia wengi walioibgia hiyo debate wamechukua maneno nusu na kuset ajenda. Ni pakukaa mbali tu.
Indonesia

@George_Ambangil @TouchlineX @Podpah @daudi10emmanuel @kompliketa @Andrewhandles Kama mtu alinyanyua kombe la dunia 2002 na kutaja jina la mke wake wakati wa kunyanyua kombe unapaswa kutegemea kitu kama hiki.
Indonesia


@thisistemidayo Nadhan Rooney alimalizia kwa kusema ubora wa kumlinganisha Neymar na wakina Ronaldo & Messi. Sio yeye as player kuwa hakua bora ila daraja lakina Messi hakufika.
Indonesia

@George_Ambangil @oneyjr6 @hereiseddy_ Kuangalizia mpira sehemu ambayo sauti ni muziki, mpira una ona kwa picha tu. Drury yale maneno yake yangekua kwa kiswahili ungesikia kejeli kama hizi. Anacho sifiwa zaidi Drury ni ushairi wake. Wakachukue goal la Manolas watupe tafsiri ya kiswahili.
Indonesia

@oneyjr6 @hereiseddy_ Hata Ulaya wanasema ila labda sio mara nyingi na kurudia rudia . Ila wanasema . Jana tu Liverpool Vs Spurs commentator kasema kuhusu Richarlison kutokea Everton ila tu harudii rudii sana😀
Indonesia

“ametokea stade malieee akiwa MVP, akaenda kwenye kikosi cha Kocha gamondi akiwa na depu” tf bro 💔
JOH✝️@JOH_MCI
Jamaa anatangaza bolu dakika tano, dakika 40 anasimulia mambo ambayo hayana ata umuhimu, kipindi kinakuwa kimeisha anaboa kisenge kmmk🖕🚮
Filipino

@icmail72 @fimboyamusa10 @11RoseniorEra Karudi tena kwenye hiyo tweet yangu..nilitaja baadhi ya wachezaji kwa majina kabisa. Inawezekana hamkuelewa ila mliamua tu kubishana. Kanakwamba haitoshi na wakamaliza juu yenu huo msimu.
Indonesia

@rayasel94 Kaka mpira ni mchezo tu, social media ni platform tu ya kujuana na kutoa mawazo pamoja na mijadala. Sasa kwanini tublockiane kwa kupishana mitazamo ya kimpira? Kwangu huwa naona ni jambo la kawaida. Labda tufikie hatua ya kuvunjiana heshima kwa dhamira ya dhati kabisa.
Indonesia

Bwana Job ni mtu mvumilivu sana, angekua mtu dhaifu wengi tunhekua kabatini ila jamaa aliishi na sisi hivo hivo mpaka leo hii 🙌
Denver@11RoseniorEra
Leicester saivi wapo wanapambana kubaki championship, mambo yanabadilika sana aisee. Nakumbuka kipindi kile George Job alikua anatoana damu kila siku na fans wa Arsenal baada ya kusema “Leicester wana project bora kuliko Arsenal” 😂😂😂
Indonesia














