GiboG Lembee
13K posts

GiboG Lembee
@GiboUrio
Gibo=Haki, amani na furaha. Blue is the bomb.
Tanzania Katılım Haziran 2015
349 Takip Edilen296 Takipçiler

@PinguRahim @TayanahTibs Hivi mzee ukiukataa mali ulizokiwa unamiliki TZ wanazitaifisha au unabadilisha umiliki tu fresh.
Indonesia
GiboG Lembee retweetledi

Unahitaji kujifunza biashara ya Unenepeshaji wa Ng'ombe na uzalishaji wa mbuzi kisasa
Follow the TANZANIAN RED MEAT By Swahili Agribusiness channel on WhatsApp: whatsapp.com/channel/0029Vb…

Indonesia
GiboG Lembee retweetledi
GiboG Lembee retweetledi

@warden_13i @Mwinshehe07 @martinAbdul14 Yaani Warden nilijua hata nakutumia address ya exness uwekamo ili next week nikomae na broker, nakuta vilio tena
Indonesia
GiboG Lembee retweetledi

Ukipata nafasi yoyote kwenye maisha ya mtu
1. Jua jinsi ya kutunza hiyo nafasi.
2. Hakikisha unafanya jambo kwa nafasi hiyo ambalo litaacha alama kwenve moyo wake.
Tupo duniani kuacha alama kwenye mioyo ya watu kuliko viwandani.
#ElimikaWikiendi
Filipino
GiboG Lembee retweetledi
GiboG Lembee retweetledi
GiboG Lembee retweetledi

@Kicheche_jr Hamna. Na hii inatokana na Muislamu akipata hela kujenga msikiti ni moja ya jambo lenye thawabu, hivyo kila mkoa unao matajiri waislamu ambao hujenga misikiti.
Indonesia
GiboG Lembee retweetledi

@Bob_sanchoo Hapo ni simple tu hata TATA unaweza ingiza gear bila clutch.
Start engine
Kanyaga mafuta kiasi achia kisha brake then gear 1 achia brake nenda...
Gear 2 achia pedal ya mafuta kisha weka
Rudia hadi 6
Kushusha gear achia moto shusha normal tu
Indonesia
GiboG Lembee retweetledi

@TMnyama4_ @thomas_yona_ Na sisi wamasai tupo kwenye kundi la husband material
Filipino

@Ninja_Damour @gabyconscious @PinguRahim Bado muhuni tu jamaa. Kuna mwamba mmoja makuburi pale anasema jamaa kipindi anaendesha daladala Dar alikuwa mtata sio kidogo kabla la kusepa unyamwezini
Indonesia

@gabyconscious @PinguRahim Raheem was my classmate Primary😃😃 alikua anakaa backbencher... alkua mhuni tu maisha yanabadilika. Sio yule tena..
Indonesia

Brother @PinguRahim ananichekeshaga sana yeye kila kitu akitaka kuchangia lazima aje na ushahidi wa picha na VIDEO🙌🏽😄
Indonesia





















