SALUM
1.6K posts

SALUM
@GiftMan4
Music Artist,songs writter Email: [email protected] Mobile: +254 729647035 Get my new songs on https://t.co/1d3jS8QVeM
Nairobi and Dar Katılım Aralık 2014
2.9K Takip Edilen380 Takipçiler

Rais wa Cameroon Paul Biya amemteua Mwanawe Franck Emmanuel Biya kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri na Mkuu wa Majeshi.
Hivi karibuni Bunge la Cameroon liliidhinisha kwa wingi marekebisho ya Katiba ili kurejesha nafasi ya Makamu wa Rais.
Makamu wa Rais atachukua kiti cha Urais moja kwa moja ikiwa Rais Paul Biya atakufa, kujiuzulu, au kutokuwa na uwezo.
Kulingana na sheria, Makamu wa Rais atateuliwa na kuachishwa kazi na Rais na atahudumu kwa muda uliosalia wa muhula wa Rais wa miaka saba endapo Rais atashindwa kuhudumu katika wadhifa wake.
Kurejeshwa kwa Makamu wa Rais kunaashiria marekebisho ya kwanza ya katiba ya Cameroon tangu mwaka 2008 wakati ukomo wa mihula ya Urais ulipotupiliwa mbali hatua iliyozua maandamano nchi nzima.
Makamu wa Rais hapo awali alikuwa sehemu ya muundo wa utawala wa Cameroon lakini ulifutwa mwaka 1972 kufuatia kura ya maoni ya Katiba.
#KitengeUpdates

Indonesia

@kalage_jr Toka lin mafuta yakapatikana mjin,mafuta yapatikana vijijin mtwala huko!
Filipino

Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila, amesema imekuwa changamoto kwa Mamlaka kubaini kama taarifa kuhusu wizi wa nyeti za baadhi ya Watu ni ukweli au uvumi hata yeye amekuwa makini na ameogopa kushikwa bega Kauli hiyo imetolewa mbele ya Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba.
RC Chalamila amesema, “Imetokea taarifa ya baadhi ya watu kuiba nyeti za watu. Hili jambo linaweza kuonekana la ajabu, lakini kule Sumbawanga watu wameuawa kwa tuhuma za kuhusika na vitendo hivyo. Hapa Ubungo nako kulikuwa na taharuki, na kama isingekuwa Jeshi la Polisi kuingilia kati, watu wangeweza kupoteza maisha. Mheshimiwa Waziri Mkuu, jambo hili limeleta taharuki kubwa kwa wananchi kwani inakuwa vigumu kubaini kama ni uvumi au ukweli. Tumemuachia SACP Muliro alishughulikie suala hili, kwa sababu kuna watu wanaamka wakiwa wazima lakini wanadai nyeti zao zimepotea,” amesema.
Kauli ya RC Chalamila inajia wakati serikali ikisisitiza umuhimu wa wananchi kubaki watulivu na kutoa taarifa sahihi kwa vyombo vya usalama badala ya kuchukua sheria mkononi.
#MillardAyoUPDATES
Indonesia

🏆Predict to Win - Real Madrid Vs Bayern Munich🏆
💰WIN: $50 (5 Winners)
⚽️Real Madrid Vs Bayern Munich⚽️
Rules?
- Follow @Gamblebulls @officialmoore7 , LIKE AND REPOST THIS!
- Anyone who comments more than once will be disqualified
- Make your predictions pre KICK OFF.
👇Winners announced after full time! 🏆

English

@zed_officially Ni kuweka mkataba mahakamani tu,mama umenikuta na Mali isijetokea umekuja kuniua kwa sababu ya Mali au kuachana kisa tugawane Mali,mnaweka mkataba atakayevunja imekula kwake
Indonesia

@EngMapundajr Tuwaseme Hadi waone aibu kama wezi wa pesa za umma,mama ameluusu tuwaseme!!
Indonesia

@bonifacejoseph_ Mungu anaangalia na yy akupe maskini kiharusi si utakufa chap bola ampe mwenye pesa atahangaika kujipambania
Indonesia

@Mwinshehe07 Kama anakupenda kwel mbona jambo dogo tu,mimba ndo suluhu hakuna jinsia ingien wazaz wenywe watasaluti kuluusu ndo a ifungwe!!
Indonesia

@Mikumifinest Relini Kuna devil mtoa roho,mm gari langu halina tatizo lolote ila sk iyo kufika hapo likazim na tren linakuja speed!!
Indonesia

@SuluhuSamia Pale si mwendo Kasi walitaka kuweka stend zao wale wakakomaa kutoondoka,sasa Nini tena kitawazuia kuondoka,mama tuwakumbuke kuwapa kifuta machoz miladi ya kimkakati iweze kujengwa!!
Filipino

Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya ajali ya moto ulioteketeza Soko la Mawasiliano (Simu 2000) lililopo katika Kata ya Sinza, Wilaya ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, jana Aprili 4, 2026.
Ninatoa pole kwa wafanyabiashara waliopoteza mali zao na wananchi wote walioathirika na ajali hiyo kwa namna mbalimbali. Nimeziagiza mamlaka za uchunguzi kufanya kazi ya kubaini chanzo cha moto huo, kufanya tathmini ya madhara na hasara iliyotokea na kuchukua hatua stahiki haraka.
Indonesia

@Roma_Mkatoliki Kumbe hii njia inawezekana,Kuna mtu namdai afu bosi nafanya NAE hii mbinu nimeikbal!!
Indonesia

Namdai Alex pesa yangu, ananizungusha hataki kunilipa.
Anasema pesa hana, ila yeye anamdai pia Becka, so anangojea siku Becka akimlipa ndio nayeye anilipe na mimi!!
Jana kuna kazi tumefanya mimi na Becka, tukalipwa!!
Wakati tunalipwa ile pesa ya Becka nikaichukua tena na mimi!!
Nikamwambia mimi ninamdai Alex, na Alex anakudai wewe…
so nimekata juu kwa juu!!
Nikamwambia Alex usimdai tena Becka na mimi sikudai tena, na Becka hudaiwi tena na Alex…..tumemalizana
NIKO SAHIHI?
AU NIMEKOSEA WAPI?
Filipino






















